Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,153
- 10,670
Etoo kakabidhiwa mkataba wa 80,000/week with performance benefits.
Sasa sijui itakuwaje maana naona kama namba zitagombewa si mchezo.
nadhani BR kaona kitu kwa sturridge hasa attitude ndio kaamua kuifanyia kazi mapema