Liverpool FC (The Reds) | Special Thread



😆😆👆
#Liverhampton jogoo kashindwa kutembea na mkiendeleza kelele atakufa huyu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 


IshaAllah.....

Hatuna sababu ya kuandikia mate....I might be wrong...ila historia huwa haina makosa!!
 
Ukweli nikwamba tutakua nahali ngumusana msimu huu kutokana na nahatua tuliofikia msimu ulioisha.
 

Na huu ndo ukweli,wanaKop wenzangu wanajitia upofu,Man city wana team nzuri sana,we have to be realistic
 

take like
 
Kiukweli hii game ya mancity imekuja mapema sana,br bdo ajapata first eleven hopfully uko mbele tutatisha,gud game thou,still kuna finishing problems..
 
Huu mpira Moreno nilijuwa hatoendelea itakuwa kaweza kuukanyagia tunacheza Kama ilivyokuwa Totenham na Totenham sasa wanacheza Kama sie hii Game Kama zile za City wakipiga United zile game za 4-1 na 6-1 LFC imecheza ovyo Kabisa.

Niwazuri mno Totenham ss iv wala ucshangae tukipoteza hio gam tatizo cc imekua kama tuna anza
 

Acha kulialia, tulia sindano iingie...nadhani hizo sindano 4 ulizodungwa ni dozi tosha. Kwani hao wachezaji unaowakandia wao walisajiliwa kucheza mechi laini tu?
 
Du ni kwel mkuu Belo ni lazma 2wape pole ndugu zet 3-1 c mchezo ni nyingiiii
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli hii game ya mancity imekuja mapema sana,br bdo ajapata first eleven hopfully uko mbele tutatisha,gud game thou,still kuna finishing problems..

Gemu tulianza vizuri mambo yalikuja kugoma kuanzia dakika ya 40 ila tusikate tamaa man city wametumia makosa tuliyofanya.
 
Ulevi ni noma nenda kapumzike wewe!

goli la 4 kafunga nani kama sio mMan City? unajua football wewe? nenda kacheze BEDBALL ulale, muda umewadia---hilo ndio unalijua wewe. Mambo ya FOOTBALL waachie wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…