Mkuu asante sana na rafiki wa kweli huonekana kipindi kama hiki cha matatizo!Malafyale...pokea pole zangu mkuu!!
Mkuu asante sana na rafiki wa kweli huonekana kipindi kama hiki cha matatizo!
Yale yale ya 2009 yanataka kujirudia!BR anataka kuonyesha Management kuwa hajakosea kununua wachezaji na wote anawaanzisha!Unamtoa Agger na Coates bila sababu zozote za msingi na unawapa mechi za msimu Sterling na Coutihno!
Leo nawatakia mafanikio kwenye game yenu
Raheem nae keshajiona supastaa..hahahahaha! Miingereza ndo maana haifanikiwagi...yeye ndo yeye! Anapewa pasi,anataka kudrible uwanja mzima..wenzake wanasubiria pasi hawapi! Mpk ananyang'anywa mpira...na akishanyang'anywa anasimama tu,anasubri watu wamkabie,wampe tena afanye ujinga..
Huko Madrid Mbona mbali na level nyingine? Anzeni kufikiria mtaa wa pili kwa jirani zenu kwanza!Kushinda,kufungwa na kudraw ndio mpira......lakini.....tuongee ukweli BR needs to do something very quickly to the team..... maana sasa hivi tuna struggle mechi zote si za home wala away.....sijui tukikutana na madrid itakuaje?........team leo imefanya makosa mengi sana.YNWA
Sakho ni defender poa sana.....naomba nikubaliane kutokubaliana na wewe kwa Sakho...mimi nitakuwa MTETEZI na SHABIKI wa kwanza wa SAKHO popote pale atakapokuwa.....hivi nikuulize kitu,unaweza kumtofautishaje Sakho wa FRANCE national team na huyu wa LFC? na kwanini kuna utofauti mkubwa kati ya Sakho wa National team na huyu wa LFC? Naomba tazama performance ya Sakho wiki mbili tu zilizopita akiwa National team dhidi ya SPAIN kwenye link hii https://www.youtube.com/watch?v=Fh7dh02GnYI,baada ya hapo nadhani utakuja na mawazo tofauti na kumfikiria Sakho vile ninavyomfikiria mimi na wanaLFC wachache tunaomuangalia sakho kwa jicho tofauti kabisa......!!!!!!!!My view on Liverpool Perfomance!!!
Kiukweli ni aibu sana kumtegemea mtoto wa miaka 19 kututoa kwenye majanga ya kufugwa magoli mengi kila wiki……aibu aibu aibu sana.
Hata kama hatuwezi kufunga magoli lakini vilevile hatutakiwi kuruhusu magoli kiasi hiki. Mechi ya jana kila mchezaji alifanya makosa kwa nafasi yake lakini kuna wachezaji ambao makosa yao yamekua ya kudumu. Naanza kuwachambua wachezaji wanaofanya makosa kila game.
Simion Mignolet
Huyu jamaa hachezi krosi kabisa refer goli tuliofungwa na Aston Villa na goli la kwanza jana tuliofungwa na WestHam.
Nini cha kufanya? BR anatakiwa kuanza kumtumia JONES ili tu kufanya Mignolet kutambua kua hana nafasi wala namba ya kudumu pale Liverpool.
Kama mnakumbuka ata Man City walishawahi kufanya hivyo msimu ulioisha…Joe Hart alisugulishwa bechi kwa muda.
Sakho
Sakho ni mchezaji ambaye ana pretend kua accurate sana especially anapokua na mpira na kutoa pasi za uhakika…..lakini ndio hua anaongoza kutoa back pass ambazo sometimes ni hatari….refer pass ya kichwa ya jana was very terrible. Ukabaji wake umekua wa mashaka sana anatetemeka sana sijui tatizo nini? Jana wameumizana bila sababu yeyote ya msingi…..hakuna communication kati ya CBs zetu.Poor partnership na Lovren.
He should not be trusted anymore!!
Lovren
Lovren hua mara nyingi anashindwa kufanya clearance anapokua na adui one against one sijui kwanini? Na hii imejizihilisha kwenye mechi nyingi alizocheza…… He needs to step up and improve his games.
G8
Kwa upande wangu G8 is not inspiring anymore. "SG is getting marked every game because he creates danger. Its predictable he needs to be rested. Hendo should be played at DM till Emre Can is back otherwise tutaendelea kudrop points kila weekend.
Lucas and Borini
Lucas na borini hakuna kitu kabisa……Lucas is right off kabisa kama sio sklepa…..Borini is not very creative….BR alifanyakosa kubwa kubadili mbinu yake ya kumuitroduce Lucas na Borini na kumuacha lalana na markovic nje.
Ushauri wangu
"Please Brendan Rogers with all due respect, Markovic and Lallana are the future of this club, not Lucas and Borini. Play Hendo for Gerrard(sorry buddy najua G8 tunampenda sana) and start Allen, Sterling Lallana couts and Markovic as an attacking creative midfield! When that team "gels" we will succeed. Lucas& SG8 will be subs along with Contihno. Also, I'd rather start Brad Jones over Simon Mignolet.
YNWA
Mkuu nadhani lallana pia ni mchezaji mzur hata alivyoingia kidogo game ilichange..mi nalia nakocha tu wala sio wachezaji .Dogo Moreno ni jembe...he only needs time,na niseme wazi,kati ya wachezaji 9 LFC iliyosajili,huyu pekeyake,labda na Manquillo,ndo wameonyesha uhai...
Sakho ni defender poa sana.....naomba nikubaliane kutokubaliana na wewe kwa Sakho...mimi nitakuwa MTETEZI na SHABIKI wa kwanza wa SAKHO popote pale atakapokuwa.....hivi nikuulize kitu,unaweza kumtofautishaje Sakho wa FRANCE national team na huyu wa LFC? na kwanini kuna utofauti mkubwa kati ya Sakho wa National team na huyu wa LFC? Naomba tazama performance ya Sakho wiki mbili tu zilizopita akiwa National team dhidi ya SPAIN kwenye link hii https://www.youtube.com/watch?v=Fh7dh02GnYI,baada ya hapo nadhani utakuja na mawazo tofauti na kumfikiria Sakho vile ninavyomfikiria mimi na wanaLFC wachache tunaomuangalia sakho kwa jicho tofauti kabisa......!!!!!!!!
Blue:hapretend,ana accuracy ya hatari sana......muangalie vizuri..
Kijani:Hakuwa na kosa pale,kosa lilikuwa kwa yule aliyetakiwa kuwepo eneo lile....na hakuwepo....sakho alipiga pasi kwenye nafasi,watu na mawenge yao sijui walikuwa wapi.....it was not Sakho s fault......
Purple:Are you sure Tores? angalia takwimu mchezaji gani LFC anaongoza kwa succcessful tackles zaidi yake.....uje hapa utuambie....
Red:You must be joking...................!!
Daaah hata kama BR anataka kufanya watu tusiwe tunaangalia mechi kwa style hii ya leo kweli kwenye derby na Everton tutaweza?
Kuna hiyo na UCL dhidi ya Real Madrid nahisi tumbo la kuhara. Naona mzigo waluobebeshwa
Super Deportivo utaangukia kwetu kwa defence hii...