Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Malafyale...pokea pole zangu mkuu!!
Mkuu asante sana na rafiki wa kweli huonekana kipindi kama hiki cha matatizo!

Yale yale ya 2009 yanataka kujirudia!BR anataka kuonyesha Management kuwa hajakosea kununua wachezaji na wote anawaanzisha!Unamtoa Agger na Coates bila sababu zozote za msingi na unawapa mechi za msimu Sterling na Coutihno!

Leo nawatakia mafanikio kwenye game yenu
 
Nakuja kwa Skirtel,yule jamaa ni beki mzuri sana,sema anakosa mtu wa kumpatner wa maana,kama Dagger! SKIRTEL anahitaji kusaidiwa...
 
Dogo Moreno ni jembe...he only needs time,na niseme wazi,kati ya wachezaji 9 LFC iliyosajili,huyu pekeyake,labda na Manquillo,ndo wameonyesha uhai...
 
MIGNOLET ni bomu...yes,hafai hata kwa limao! Yule mpuuzi anaboa jamani,angalia lile goli against Ludo! Afu angalia yale magoli mawili ya jana...dogo hana competition...japokuwa sometimes anaponzwa na mabeki wake
 
Wakuu marafiki zangu poleni sn!

Lkn taratibu mtaanza kumkubali The Magnificent Kwa kumlaumu BR Kua anamapungufu sn! Na Kwa mambo km haya Yani ubingwa msahau kabisa na mtarudi ktk namba yenu ya ligi namba 7 ata top four itakua ngumu sn kwenu km msipobadirika!

Poleni sn wadau na Karibuni ETIHAD Leo muone timu ambayo iko makini ktk kuusaka ubingwa!

Cc: Pazi Malafyale MosDef Gwamahala osokonoi Okhondima nguvu Mr. Wise The Magnificent na wana liver woote
 
Last edited by a moderator:
Raheem nae keshajiona supastaa..hahahahaha! Miingereza ndo maana haifanikiwagi...yeye ndo yeye! Anapewa pasi,anataka kudrible uwanja mzima..wenzake wanasubiria pasi hawapi! Mpk ananyang'anywa mpira...na akishanyang'anywa anasimama tu,anasubri watu wamkabie,wampe tena afanye ujinga..
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu asante sana na rafiki wa kweli huonekana kipindi kama hiki cha matatizo!

Yale yale ya 2009 yanataka kujirudia!BR anataka kuonyesha Management kuwa hajakosea kununua wachezaji na wote anawaanzisha!Unamtoa Agger na Coates bila sababu zozote za msingi na unawapa mechi za msimu Sterling na Coutihno!

Leo nawatakia mafanikio kwenye game yenu

Pole mkuu na Asante Kwa dua zako nzuri!
 
Raheem nae keshajiona supastaa..hahahahaha! Miingereza ndo maana haifanikiwagi...yeye ndo yeye! Anapewa pasi,anataka kudrible uwanja mzima..wenzake wanasubiria pasi hawapi! Mpk ananyang'anywa mpira...na akishanyang'anywa anasimama tu,anasubri watu wamkabie,wampe tena afanye ujinga..

Mkuu pole sn niliwahi kusema Huyu dogo Hana lolote Lkn wenzako walinipinga sn!

Dogo anahitaji Muda wa miaka kadhaa angalau afikie uzuri huo Lkn Kwa mambo Yake anayofanya anaghalimu timu sn!
 
Hendo anahitaji kupumzishwa atleast..anafanya kazi ngumu sana week in week out! Ana mapafu ya mbwa...lakini hyo haimuondolei haki ya kupumzika,tatizo linakuja hapa,akipumzishwa nani atacheza??? Hendo ni jembe...
 
Super Mario is misused! Yule jamaa ni natural no.9,ni mtu wa kupewa pasi za mwisho na kufunga,anatakiwa achezeshwe kama Diego Costa anavyochezeshwa pale chelsea! Balo ni mchezaji mzuri sana...but if and only if,akitumika sahihi
 
My view on Liverpool Perfomance!!!

Kiukweli ni aibu sana kumtegemea mtoto wa miaka 19 kututoa kwenye majanga ya kufugwa magoli mengi kila wiki……aibu aibu aibu sana.
Hata kama hatuwezi kufunga magoli lakini vilevile hatutakiwi kuruhusu magoli kiasi hiki. Mechi ya jana kila mchezaji alifanya makosa kwa nafasi yake lakini kuna wachezaji ambao makosa yao yamekua ya kudumu. Naanza kuwachambua wachezaji wanaofanya makosa kila game.

Simion Mignolet
Huyu jamaa hachezi krosi kabisa refer goli tuliofungwa na Aston Villa na goli la kwanza jana tuliofungwa na WestHam.
Nini cha kufanya? BR anatakiwa kuanza kumtumia JONES ili tu kufanya Mignolet kutambua kua hana nafasi wala namba ya kudumu pale Liverpool.
Kama mnakumbuka ata Man City walishawahi kufanya hivyo msimu ulioisha…Joe Hart alisugulishwa bechi kwa muda.

Sakho
Sakho ni mchezaji ambaye ana pretend kua accurate sana especially anapokua na mpira na kutoa pasi za uhakika…..lakini ndio hua anaongoza kutoa back pass ambazo sometimes ni hatari….refer pass ya kichwa ya jana was very terrible. Ukabaji wake umekua wa mashaka sana anatetemeka sana sijui tatizo nini? Jana wameumizana bila sababu yeyote ya msingi…..hakuna communication kati ya CBs zetu.Poor partnership na Lovren.
He should not be trusted anymore!!

Lovren
Lovren hua mara nyingi anashindwa kufanya clearance anapokua na adui one against one sijui kwanini? Na hii imejizihilisha kwenye mechi nyingi alizocheza…… He needs to step up and improve his games.

G8
Kwa upande wangu G8 is not inspiring anymore. "SG is getting marked every game because he creates danger. Its predictable he needs to be rested. Hendo should be played at DM till Emre Can is back otherwise tutaendelea kudrop points kila weekend.

Lucas and Borini
Lucas na borini hakuna kitu kabisa……Lucas is right off kabisa kama sio sklepa…..Borini is not very creative….BR alifanyakosa kubwa kubadili mbinu yake ya kumuitroduce Lucas na Borini na kumuacha lalana na markovic nje.

Ushauri wangu

"Please Brendan Rogers with all due respect, Markovic and Lallana are the future of this club, not Lucas and Borini. Play Hendo for Gerrard (sorry buddy najua G8 tunampenda sana) and start Allen, Sterling Lallana and Markovic as an attacking creative midfield! When that team "gels" we will succeed. Lucas& SG8 will be subs along with Contihno. Also, I'd rather start Brad Jones over Simon Mignolet.

YNWA
 
Kushinda,kufungwa na kudraw ndio mpira......lakini.....tuongee ukweli BR needs to do something very quickly to the team..... maana sasa hivi tuna struggle mechi zote si za home wala away.....sijui tukikutana na madrid itakuaje?........team leo imefanya makosa mengi sana.YNWA
Huko Madrid Mbona mbali na level nyingine? Anzeni kufikiria mtaa wa pili kwa jirani zenu kwanza!
 
My view on Liverpool Perfomance!!!

Kiukweli ni aibu sana kumtegemea mtoto wa miaka 19 kututoa kwenye majanga ya kufugwa magoli mengi kila wiki……aibu aibu aibu sana.
Hata kama hatuwezi kufunga magoli lakini vilevile hatutakiwi kuruhusu magoli kiasi hiki. Mechi ya jana kila mchezaji alifanya makosa kwa nafasi yake lakini kuna wachezaji ambao makosa yao yamekua ya kudumu. Naanza kuwachambua wachezaji wanaofanya makosa kila game.

Simion Mignolet
Huyu jamaa hachezi krosi kabisa refer goli tuliofungwa na Aston Villa na goli la kwanza jana tuliofungwa na WestHam.
Nini cha kufanya? BR anatakiwa kuanza kumtumia JONES ili tu kufanya Mignolet kutambua kua hana nafasi wala namba ya kudumu pale Liverpool.
Kama mnakumbuka ata Man City walishawahi kufanya hivyo msimu ulioisha…Joe Hart alisugulishwa bechi kwa muda.

Sakho
Sakho ni mchezaji ambaye ana pretend kua accurate sana especially anapokua na mpira na kutoa pasi za uhakika…..lakini ndio hua anaongoza kutoa back pass ambazo sometimes ni hatari….refer pass ya kichwa ya jana was very terrible. Ukabaji wake umekua wa mashaka sana anatetemeka sana sijui tatizo nini? Jana wameumizana bila sababu yeyote ya msingi…..hakuna communication kati ya CBs zetu.Poor partnership na Lovren.
He should not be trusted anymore!!

Lovren
Lovren hua mara nyingi anashindwa kufanya clearance anapokua na adui one against one sijui kwanini? Na hii imejizihilisha kwenye mechi nyingi alizocheza…… He needs to step up and improve his games.

G8
Kwa upande wangu G8 is not inspiring anymore. "SG is getting marked every game because he creates danger. Its predictable he needs to be rested. Hendo should be played at DM till Emre Can is back otherwise tutaendelea kudrop points kila weekend.

Lucas and Borini
Lucas na borini hakuna kitu kabisa……Lucas is right off kabisa kama sio sklepa…..Borini is not very creative….BR alifanyakosa kubwa kubadili mbinu yake ya kumuitroduce Lucas na Borini na kumuacha lalana na markovic nje.

Ushauri wangu

"Please Brendan Rogers with all due respect, Markovic and Lallana are the future of this club, not Lucas and Borini. Play Hendo for Gerrard(sorry buddy najua G8 tunampenda sana) and start Allen, Sterling Lallana couts and Markovic as an attacking creative midfield! When that team "gels" we will succeed. Lucas& SG8 will be subs along with Contihno. Also, I'd rather start Brad Jones over Simon Mignolet.

YNWA
Sakho ni defender poa sana.....naomba nikubaliane kutokubaliana na wewe kwa Sakho...mimi nitakuwa MTETEZI na SHABIKI wa kwanza wa SAKHO popote pale atakapokuwa.....hivi nikuulize kitu,unaweza kumtofautishaje Sakho wa FRANCE national team na huyu wa LFC? na kwanini kuna utofauti mkubwa kati ya Sakho wa National team na huyu wa LFC? Naomba tazama performance ya Sakho wiki mbili tu zilizopita akiwa National team dhidi ya SPAIN kwenye link hii https://www.youtube.com/watch?v=Fh7dh02GnYI,baada ya hapo nadhani utakuja na mawazo tofauti na kumfikiria Sakho vile ninavyomfikiria mimi na wanaLFC wachache tunaomuangalia sakho kwa jicho tofauti kabisa......!!!!!!!!

Blue:hapretend,ana accuracy ya hatari sana......muangalie vizuri..
Kijani:Hakuwa na kosa pale,kosa lilikuwa kwa yule aliyetakiwa kuwepo eneo lile....na hakuwepo....sakho alipiga pasi kwenye nafasi,watu na mawenge yao sijui walikuwa wapi.....it was not Sakho s fault......
Purple:Are you sure Tores? angalia takwimu mchezaji gani LFC anaongoza kwa succcessful tackles zaidi yake.....uje hapa utuambie....
Red:You must be joking...................!!
 
Dogo Moreno ni jembe...he only needs time,na niseme wazi,kati ya wachezaji 9 LFC iliyosajili,huyu pekeyake,labda na Manquillo,ndo wameonyesha uhai...
Mkuu nadhani lallana pia ni mchezaji mzur hata alivyoingia kidogo game ilichange..mi nalia nakocha tu wala sio wachezaji .
 
.................dahhh!? standby your manager and players bana YNWA!
wapi Blac kid? jamaa hua ana madongo sana kipindi cha mavuno,
hiki kiangazi kimyaaaaaaa!.....
 
Last edited by a moderator:
Sakho ni defender poa sana.....naomba nikubaliane kutokubaliana na wewe kwa Sakho...mimi nitakuwa MTETEZI na SHABIKI wa kwanza wa SAKHO popote pale atakapokuwa.....hivi nikuulize kitu,unaweza kumtofautishaje Sakho wa FRANCE national team na huyu wa LFC? na kwanini kuna utofauti mkubwa kati ya Sakho wa National team na huyu wa LFC? Naomba tazama performance ya Sakho wiki mbili tu zilizopita akiwa National team dhidi ya SPAIN kwenye link hii https://www.youtube.com/watch?v=Fh7dh02GnYI,baada ya hapo nadhani utakuja na mawazo tofauti na kumfikiria Sakho vile ninavyomfikiria mimi na wanaLFC wachache tunaomuangalia sakho kwa jicho tofauti kabisa......!!!!!!!!

Blue:hapretend,ana accuracy ya hatari sana......muangalie vizuri..
Kijani:Hakuwa na kosa pale,kosa lilikuwa kwa yule aliyetakiwa kuwepo eneo lile....na hakuwepo....sakho alipiga pasi kwenye nafasi,watu na mawenge yao sijui walikuwa wapi.....it was not Sakho s fault......
Purple:Are you sure Tores? angalia takwimu mchezaji gani LFC anaongoza kwa succcessful tackles zaidi yake.....uje hapa utuambie....
Red:You must be joking...................!!

Mkuu magnficient.......nimemuangalia sana SAKHO tena kwa jicho la tatu.....na ndio maana nikafikia kumuweka kwenye group la wachezaji ambao hawafanyi vizuri kwa sasa pale liverpool.

Sikatai kuwa ana accuracy nzuri ya passing.....but sometimes he becomes very slow when he is looking where to pass a ball....na by the time anatoa pass tim pinzani imeshakaba voids zote na anaakua tayari ameslow down the all movement ya tim.

Najua unafahamu vizuri ....English football and especially liverpool style of football is speed and you must be very quick in thinking and making decision at a right time.

Naamini SAKHO ana-possess sifa nyingi nzuri especially akiwa na national team kama CB mfano….. anjua sana heading, tackling, influence and ana-strength ya kutosha lakini anakosa vitu kama good marking and determination.

Mimi nasapport kauli ya Jamie Carragher……kua SAKHO is being metally weak na hii sio tu kwa sakho but also kwa Skatel. Refer game ya crystal palace na sisi msimu ulioisha ya 3-3.

In modern football….utakiwi kupiga au kutoa pass kwa kuassume/kuhisi kua kuna mtu sehemu Fulani……you must be confident and smart enough katika kutoa pass…..hakikisha kuna mtu yupo au atatokea na kupokea pasi at a right time depending on the formation you play.

Mkuu Magnificent…..Either Sakho or our defence in general has to look at a team like Chelsea and adapt some of their defensive ideology, obviously we have different personnel, but the philosophy is universal.

Chelsea hua hawana kulemba na kuupaka mafuta mpira wanapokua kwenye upande wa goli lao.hawana kulemba kabisa na kupaka wese mpira ili utafute records and statistics za kwenye makatarasi……ukiuupata mpira tuliza toa pasi faster tena ya mbele.

YNWA
 
Daaah hata kama BR anataka kufanya watu tusiwe tunaangalia mechi kwa style hii ya leo kweli kwenye derby na Everton tutaweza?

Kuna hiyo na UCL dhidi ya Real Madrid nahisi tumbo la kuhara. Naona mzigo waluobebeshwa
Super Deportivo utaangukia kwetu kwa defence hii...
 
.................dahhh!? standby your manager and players bana YNWA!
wapi Blac kid? jamaa hua ana madongo sana kipindi cha mavuno,
hiki kiangazi kimyaaaaaaa!.....

Hahahahaha! Mkuu Mbu mbona mie nimejaa tele hii ligi ngumu ila bado mapema ngoja zifike gemu 10 ndo tutajtathimini vizuri.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom