Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Cc OllaChuga OcMaisha ya football burudani sana unaweza kuwa na kitu inaitwa "spell " na referee,sisi Chelsea ndio wahanga wakubwa Sasa ivi tuna wachezaji vidagaa hata kutuonea wanaona aibu ila tukizubaa tunapigwa matukio
Soma kwa makini nilipoweka bold.. Ni kwamba refa alivyotoa foul kwa Spurs kwamba Diaz aliotea basi VAR hawakujua kama refa hajaweka mpira kati na muda wanakuja kustuka sheria zinakataa VAR kurudisha lile tukio nyuma kwa kua refa alishatoa maamuzi tayari.... Habari zinasema karibu jopo lote la marefa walioshiriki hii gemu ya Liverpool walikua wamesafiri Saudia kikazi na wamerejea UK ijumaa sasa hilo nalo linatazamwa kama walikua na uchovu fulani pia..Nashindwa kupata logic, kwanini baada ya hapo VAR wasimkumbushe kwamba ni maamuzi ya usahihi wa goli ili arudi ku review? Kwanini maamuzi ya VAR ni ndani wa sekunde au dakika ngapi?
How about red card? Mimi naona bado hata wapambwe vipi, ni kwamba inaonyesha tu Refa ana roho mbaya, sina cha ziada.Soma kwa makini nilipoweka bold.. Ni kwamba refa alivyotoa foul kwa Spurs kwamba Diaz aliotea basi VAR hawakujua kama refa hajaweka mpira kati na muda wanakuja kustuka sheria zinakataa VAR kurudisha lile tukio nyuma kwa kua refa alishatoa maamuzi tayari.... Habari zinasema karibu jopo lote la marefa walioshiriki hii gemu ya Liverpool walikua wamesafiri Saudia kikazi na wamerejea UK ijumaa sasa hilo nalo linatazamwa kama walikua na uchovu fulani pia..
Ipo hivi... Huyu Chief VAR hata hakujua kama mpira haujawekwa kati mbali ni foul je alisinzia kazini ama niaje haya yote ni maswali yanayohitaji ma jibu
.......... It remains unknown when England and Cook first realised their mistake. Following England's message of 'check complete' to on-field referee Simon Hooper, the game restarted less than a minute after Diaz had scored his goal with a free-kick to Tottenham.
With the game 'live' again, it is thought that the VAR team felt unable to intervene.
Sheria inasema hivi...
The IFAB rules on VAR state play cannot be brought back in a case like this. Rule 10 says: "If play has stopped and been restarted, the referee may not undertake a 'review' except for a case of mistaken identity or for a potential sending-off offence relating to violent conduct, spitting, biting or extremely offensive, insulting and/or abusive action(s)."
YNWA
Uwe unacheki game...Finally
Nimemaliza kuangalia mechi ya Jana.
I can't handle unnecessary pressure[emoji13]Uwe unacheki game...
Safari hii tupo vizuri
ππ hayaaI can't handle unnecessary pressure[emoji13]
Mie yangu marudio.
Mechi pekee ntayokaa kuangalia hadi mwisho ni mechi dhidi ya manyumbu FC .[emoji2][emoji2] hayaa
π π π π π π π Noma sana.Itungwe sheria ya kurudia mechi
Vinginevyo hawa vichaa wa kuitwa referee wataendelea na wendawazimu wao.
Ikiwezekana wakatwe mshahara wao mechi hata Tano.
π π π Sijui alinyoa apate na kubebeleza mkataba mpya lol...Trent wangu jamani
Karudi kwenye mmuonekano niliompendea mwanzo[emoji7]
Heri ametoa Ile minywele
Mirasta awaachie wale wazee wa reggae wa darajani.
Huyu mtoto wayback 2019 huko nilimpenda sana kwa kweli.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sijui alinyoa apate na kubebeleza mkataba mpya lol...
Na ameupata soon anaanza kula poud laki 2 kwa wiki plus bonus.
YNWA
Huyu refa anyongwe aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Noma sana.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Matip piga kazi baba waoneshe rangi yako halisi