Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nashindwa kupata logic, kwanini baada ya hapo VAR wasimkumbushe kwamba ni maamuzi ya usahihi wa goli ili arudi ku review? Kwani maamuzi ya VAR ni ndani ya sekunde au dakika ngapi?
Wanasema Refa akishaamua na Freekick ikishapigwa haiwezekani tena kureverse maamuzi.

Lakini swali la msingi ni kama la kwako wengi tunajiuliza kama VAR haikuhusika kutuhujumu kwanini kabla ya Free kick kupigwa VAR Officials hawakumwambia Referee kuwa lile ni goli?
 
We unapenda mtu hupendi team achana na chelsea yetu [emoji1787]
Chelsea kwani nayo ni timu?Kikosi Cha wavuta bangi nahamia vipi watu wa Jah marasta[emoji1787]
Mie nimeokoka nampenda Yesu.
Chelsea unatafuta Nini huku kwa wakubwa?


Nimekuwa shabiki wa Liverpool kabla huyo mtoto Trent hajazaliwa.

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
 
😂 😂 😂 😂 😂 MosDef heloo comrade.... Saint Anne anaomba konection ya Trent...

YNWA
 
Huyu refa anyongwe aisee
Tuandamane.,afungwe jela.


Almanusura nimtungue na ngumi kwenye tv hapa[emoji13]
Ngekuwa Jota ningemtoa damu huyu refa.
Hata nyie Ni wanufaika wakubwa wa VAR

Unakumbuka fainal ya FA cup , Goli la lukaku linakataliwa ,

Yale Ni makosa ya kibinadamu tu
 
Hata nyie Ni wanufaika wakubwa wa VAR

Unakumbuka fainal ya FA cup , Goli la lukaku linakataliwa ,

Yale Ni makosa ya kibinadamu tu
Halikuwa goli lile, mlivizia.


Sisi sasa goli , kadi, tena zote 2.
Refarii ni mwendawazimu.
 

[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]

Dah.! Kweli mambo ni mbaya wakati mwingine mzuri.
 
Its a part of a game for Sure. Hivi hivi ndio inatuongezea ile Mentality ya kimonster.
Hapo tumejua mipango ilivyo juu yetu ahead this season.

Good squad to battle for EPL.

Ile comment ya Darwin after the game uwaahh this dude is something else when it comes to strong mentality.

Guys we all have to accept Klopp has implemented new mentality and system this season, we are solid enough atleast to challange EPL and EUROPE. With 9 men still Spurs failed totally to penetrate us.

We could have been better if we had signed quality DM (Doucoure/Andre).

Robbo has improved last 3 games,
 
Hata nyie Ni wanufaika wakubwa wa VAR

Unakumbuka fainal ya FA cup , Goli la lukaku linakataliwa ,

Yale Ni makosa ya kibinadamu tu
Hili sakata kwa stage liliyofikia sio Liverpool tu bali litaokoa Timu nyingi za EPL kutoka kwenye unazi wa unaofanyika kwenye Ligi.
Hili tukio limeivua nguo FA hivyo hawtokubali kutokee tena upuuzi.
Hivyo usijekushangaa kuwa Ubingwa wa Man City ulikuwa staged msimu huu wakaanza kuukosa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…