Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasema Refa akishaamua na Freekick ikishapigwa haiwezekani tena kureverse maamuzi.Nashindwa kupata logic, kwanini baada ya hapo VAR wasimkumbushe kwamba ni maamuzi ya usahihi wa goli ili arudi ku review? Kwani maamuzi ya VAR ni ndani ya sekunde au dakika ngapi?
We unapenda mtu hupendi team achana na chelsea yetu [emoji1787]Trent wangu jamani
Karudi kwenye mmuonekano niliompendea mwanzo[emoji7]
Heri ametoa Ile minywele
Mirasta awaachie wale wazee wa reggae wa darajani.
Chelsea kwani nayo ni timu?Kikosi Cha wavuta bangi nahamia vipi watu wa Jah marasta[emoji1787]We unapenda mtu hupendi team achana na chelsea yetu [emoji1787]
Cool down Miss Liverpool....Huyu refa anyongwe aisee
Tuandamane.,afungwe jela.
Almanusura nimtungue na ngumi kwenye tv hapa[emoji13]
Ngekuwa Jota ningemtoa damu huyu refa.
😂 😂 😂 😂 😂 MosDef heloo comrade.... Saint Anne anaomba konection ya Trent...Huyu mtoto wayback 2019 huko nilimpenda sana kwa kweli.
Alivyosokota mirasta kama mvuta bangi akawa mbaya[emoji3064]
Sasahivi narudisha majeshi[emoji7]
Ongea na Def vizuri anipee koneksheni kwa kaka yake Trent maana aisee hawa machotara wazuri mno jamani
.....
Heri ameongezewa
Dogo ni mzalendo sana na anastahili.
Nyie mna timu Bora Sana ,yanini kupigizana kelele Kama tunajazana ujinga ,muda utaongeaNimepitia uzi wa Arsenal wanajazana ujinga tu huko [emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nyie Ni wanufaika wakubwa wa VARHuyu refa anyongwe aisee
Tuandamane.,afungwe jela.
Almanusura nimtungue na ngumi kwenye tv hapa[emoji13]
Ngekuwa Jota ningemtoa damu huyu refa.
Halikuwa goli lile, mlivizia.Hata nyie Ni wanufaika wakubwa wa VAR
Unakumbuka fainal ya FA cup , Goli la lukaku linakataliwa ,
Yale Ni makosa ya kibinadamu tu
Trent amekuwa msupu😂
Nilikuwa na expectation kubwa ya kupanda pale juu kileleni .Cool down Miss Liverpool....
Loads of games ahead..
Loads of points to play for...
YNWA
Huyu mtoto wayback 2019 huko nilimpenda sana kwa kweli.
Alivyosokota mirasta kama mvuta bangi akawa mbaya[emoji3064]
Sasahivi narudisha majeshi[emoji7]
Ongea na Def vizuri anipee koneksheni kwa kaka yake Trent maana aisee hawa machotara wazuri mno jamani
.....
Heri ameongezewa
Dogo ni mzalendo sana na anastahili.
Kweli Ile mirasta yake aliyemshauri alimpoteza dogo[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]
Dah.! Kweli mambo ni mbaya wakati mwingine mzuri.
Hili sakata kwa stage liliyofikia sio Liverpool tu bali litaokoa Timu nyingi za EPL kutoka kwenye unazi wa unaofanyika kwenye Ligi.Hata nyie Ni wanufaika wakubwa wa VAR
Unakumbuka fainal ya FA cup , Goli la lukaku linakataliwa ,
Yale Ni makosa ya kibinadamu tu