Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Itategemea na upepo, wa ligi ya wasaudi ila mpaka sasa imepoteza mvuto, kulinganisha na miezi mitano nyuma
Yaani haivutii kwa kweli
Kama anataka aue kipaji chake basi aende huko.


Ligi za uingereza waongeze pesa aisee,waache ubahili

Inasikitisha wachezaji wengi wazuri wanakimbilia uarabuni.
 
Hii game Nunez atatupia ndani yani ikiwezekana ndiyo game ya kujipigia Hat trik hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…