Chelsea ya sasa hamfungi rejuvinated Newcastle St Andrew Park
Chelsea mwenyewe now ana struggle sana sio kama alivyo anza(Ref mechi zake na Man United na QPR)
Chelsea HANIFUNGI Anfield
Chelsea ya sasa hamfungi rejuvinated Newcastle St Andrew Park
Chelsea mwenyewe now ana struggle sana sio kama alivyo anza(Ref mechi zake na Man United na QPR)
Chelsea HANIFUNGI Anfield
J4 unapigwa na Madrid ktk UEFA utoke kabisa ktk hayo mashindano...... Alafu Sisi j5 Tunakwenda kupata sare tu na Marbor kwa kikosi chepesi kabisa Alafu tunakuja kwako kukushusha kabisa nafasi yako ya zamani....!
You dreaming!
CL sitoki na nitavuka kama mshindi wa pili!!Chelsea hanifungi Anfield
Mwenzako Hapo juu amekiri kua ni ubishi lkn hamna lolote na kocha wenu ni boya tu....!
Ktk UEFA umeshinda mechi moja na umefungwa mechi mbili na Uko nafasi ya tatu.... Na j4 unafungwa tena... Yani ndo utazidi kuporomoka na kua nafasi ya 4 ktk kundi lenu.... Huko kifuzu kwa mshindi wa pili utakutoa wapi?
Tarehe 8 nakupiga Vzr kabisa...!
Simple math:
Madrid anatufunga wote kwenye kundi hili then mm namchapa Lugo na Basel
We mkuu una mahesabu makali sana
Simple math:
Madrid anatufunga wote kwenye kundi hili then mm namchapa Lugo na Basel
Wakati huo wewe kesho ukipigwa Basel anashinda... Utamfunga Lugo lkn sio Basel.... Hiyo hesabu yako mpk Hapo Itakua imegonga mwamba....!
Kumekucha tena.... Tutakua ktk hii thread ya LFC mpk game yetu iishe hiyo tarehe 8......!
Wenye Nyumba mmpo? Ngoja niwaite majembe yangu Viol na Grand PA majembe ya ukweli yanayoshabikia Timu ya ukweli Timu isiyokua na Plesha wa mawaa... Timu inayotupa RAHA kila siku na kila kona...! Chelsea Fc....!
Grand PA Viol yani hii Nyumba Jana tu imekwenda na Maji na j4 pale kwa Madrid itakwenda na Upepo Alafu tarehe 8 itapitiwa na Tetemeko kubwa sn na kuanguka... Khe Khe Khe Khe Khe
Cc: Malafyale Baba Kelvin nguvu osokonoi Okhondima Asprin Gwamahala
hivi lugo mnacheza nae anfield au ugenini kule alikomkosakosa madrid? teh ngoja tuone, basel anatoa draw na wewe lugo anatoa drawSimple math:
Madrid anatufunga wote kwenye kundi hili then mm namchapa Lugo na Basel
hivi lugo mnacheza nae anfield au ugenini kule alikomkosakosa madrid? teh ngoja tuone, basel anatoa draw na wewe lugo anatoa draw
Danny amesafiri na team leo!!
kaenda kuangalia game tu huyo jamaa,sidhani kama atacheza.
W'd You want Yohan Cabaye at LFC in january????
Hell no!W'd You want Yohan Cabaye at LFC in january????