Amiliki
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,085
- 1,005
Chelsea ya sasa hamfungi rejuvinated Newcastle St Andrew Park
Chelsea mwenyewe now ana struggle sana sio kama alivyo anza(Ref mechi zake na Man United na QPR)
Chelsea HANIFUNGI Anfield
Huu ni ubishi tu. Uchezaji wetu kwasasa ni very disgusting. Brendan Rodgers ameprove failure na alikuwa anabebwa na Sturridge na Suarez kwa uwezo wao binafsi. Nimemchukia sana huyu manager. Hana mbinu zozote za mashambulizi. Mechi karibu zote tunashika roho mwanzo, mwisho. Hata QPR bila kujifunga wenyewe ilikuwa tumeondoka.