Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Aseno Bwana
Kipigo kidogo tu Arterta mitusi hiyoo..

Baadaye mtarudi pale pale kwenye stori zenu za kusadikika..
Utasikia ooh "Tunafocus na UEFA"
Unajua nini...
Inawezekana 7hag anaupiga mwingi kuliko Arteta...😀
Hivi 7hag angeshindwa kweli kushikilia bomba?
 
Aseno Bwana
Kipigo kidogo tu Arterta mitusi hiyoo..

Baadaye mtarudi pale pale kwenye stori zenu za kusadikika..
Utasikia ooh "Tunafocus na UEFA"
Kumgeuka Arteta ni kazi rahisi sana kuliko mtihani wa kiswahili. Baahati yake nzuri ni kuwa kumpenda na kumsapoti ni rahisi zaidi. Ataweka mambo sawa tu ila kwa sasa jukwaa letu linapoa hivyo tunamshambulia tu ili jukwaa liwe active.
 
Kumgeuka Arteta ni kazi rahisi sana kuliko mtihani wa kiswahili. Baahati yake nzuri ni kuwa kumpenda na kumsapoti ni rahisi zaidi. Ataweka mambo sawa tu ila kwa sasa jukwaa letu linapoa hivyo tunamshambulia tu ili jukwaa liwe active.
Mchambuzi nguli hamis katokomea wapi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Never in doubt about Nunez tena kwa Klopp na Marcelo watakomaa nae tu mpaka atakaa sawa...
Boy is a fighter..

Captain Chaos Unleashed [emoji91] [emoji91] [emoji91] ...

YNWA
Nilishangaa kuna kipindi huku zililetwa stats za kumlinganisha Suarez na Nunez

Ishu ya Nunez sio bahati wala jambo la kisaikolojia bali ana lack character ya lethal striker kitu ambacho hufundishwi na kocha

Anachokosa Nunez ni ile hali ya kujua apige vipi au achague angle ipi ambayo itampa shida kipa kuokoa, anachofanya Nunez ni kupiga tuu mpira golini, ama akitafuta angle anakosa target

Siku makipa wakiwa hawapo vizuri atafunga kama ile mechi ya kwanza na Newcstle, ila kipa akiamka vizuri ndio yale ya jana

Otherwise timu itengeneze nafasi ambazo Nunez atakua ana tap in tuu mpira uingie golini kama anavyotengenezewaga Halaand
 
Napenda mikimbio yake uwanjani
 
Mosdef anatupa false hope tuu kama Hamis kule Arsenal

Szoboslai
Nunez

Ni average players hawa

Brother, you are a grown man with 2 working eyes and stable mind, nawezaje kukupa false hopes kuhusu certain players, wakati na wewe pia unawaangalia/kuwaona kila.siku?

Opinions zangu, hazitakiwi kuwa kipimo chako cha kupima mchezaji/wachezaji.

Personally, naamini they are good players, ninachofanya ni kujaribu kusimamia opinions/views zangu (personally), sikulazimishi kuamini, kile ninachoamini, its football, tujaribu kujenga taswira ya kuruhusu mipishano ya kimtazamo katika opinions.

Then, kwenye case ya Dominik, nilikuwa nakupa false hopes zipi wakati stats za kuback his performances kuanzia August mpaka November zipo?

Nili-share hapa, kwanini nadhani Dominik form imeshuka (Change of roles, getting run into the ground), na God knows, kuna post yangu humu, nilsema, kuwa jinsi anavyokuwa overplayed, atapata fatigue problems na zitapelekea hammy injury, na ndiyo kilichotokea, at LFC mpaka sasa ni Dom & Salah ndiyo wanaongoza kwa kucheza minutes nyingi, siyo nzuri kwa a 22 year-old player, matumaini ni kuwa Injury yake haitakuwa serious sana.

Then, Again, from August to November, Dom was one if not the best Midfielder in the league, nilikuwa sihitaji kukupa false hopes kuhusu hili, na kama unaona mimi kutetea/kusimama against baseless criciticims directed kwa mchezaji ambaye alikuwa in good form just one month ago, na kusaidia sana sisi kufika hapa now, ni kukupa false hopes, then you are doing it all wrong.

Halafu jifunze kuwa na your personal judegement kwa mchezaji, mpira ni mchezo mgumu sana, players ni binadamu kama wewe siyo machines, playing/running for 90 minutes kila weekend/mid-week siyo kitu rahisi, yes they are paid a lot, but the bottom line ni kuwa wao pia ni human-beings, wanachoka, wanapata fatigues, so wanaruhusiwa kuwa na bad patch/form, Dominik anapitia kwenye bad patch/form, siyo wa kwanza, Salah/VVD/Trent/Robertson/Konate/Mane/Firmino/Fabinho etc wote hii state inawakuta/iliwakuta, its football, na kama nilivyosema kwenye my other post, bad form inachangiwa na vingi tu, so ukiwa kama sports-man, hivi ni vitu vidogo sana kuelewa.

Then kwa hizi stats za Dom kabla ya mwezi uliopita, nilikuwa nakupa False hopes zipi? stats are everything kwenye football, stats ndio zinatoa ajira millions kwa scouts/profilers/Data collectors etc, stats ndiyo zinaamua how the team gets set up, ndiyo maana kila World clas/big team/big sport firms/agencies zimewekeza sana kwenye upande huu, Firmino/Gini/Fabinho/Mane/Salah/Konate/Robertson etc, wote hawa walisainiwa kwa kutumia stats/data/sample size, ni the same kwa kina Nunez/Dom/Diaz/Macca/Endo etc.

Hizi ni stats za Dom, kabla hajaingia kwenye bad patch, false hope ni ipi hapa brother?

You have a very good football mind, and i respect that, but kwenye football, reactionary takes wont take you anywhere.

 
Alitutapeli sana bwana KEITA, mbaya zaidi Klopp kama kawaida yake akautoa msimu mzima sadaka ili amsubirie Keita

Klopp hakutoa msimu sadaka.

Tunasahau mapema sana.

Naby Deco Keita, had Barcelona, Bayern Munich, Manchester United, Juventus, PSG, on his ear, they all wanted him, na walijaribu, haikuwa tu INTEREST.

Mike Edwards (Ex-Liverpool DOF na DATA guru) was the one ambaye ali-engneer na kufaciltate the whole move, huyu ni data guru ambaye ndiyo alikuletea kina Coutinho, Sturridge, Robertson, Firmino, Matip, Fabinho, Wijnaldum, Van Djik, Alisson, Mane, Salah, Konate, Shaqiri etc,

Tunasahau kuwa Klopp choices zilikuwa ni Jonas Hector at LB (we signed Robertson), Gotze, Brandit, Draxler (We signed Mane & Salah, tena hawa walikuwa ni second choices, achana na mane, Edwards & Fallows had to seat down with Klopp in his office na kumconvince kuhusu Salah), Klopp liked Zielinski (We signed Gini) hizi siginings zote zimefanyika kwa kutumia data/sample size, na ndiyo zimetupa PL & CL.

We wanted Keita, but Leipzig hawakuwa tayari kumuachia kipindi kile, wakati huo DOF wa Leipzig alikuwa ni RALF RANGNICK, na unajua jinsi alivyo msumbufu, hence tukakubali ile deal, na the reason ya kufanya vile ilikuwa ni ku-wave competition kali ya Barcelona, na tulilipa a record fee kipindi kile, sasa kama Mike Edwards, one of the best negotiators in the game, alikubali kulipa record fee, na tena kumuacha at Leipzig for a season, unatakiwa ujue Keita alikuwa ni mchezaji wa aina gani.

Keita career at LFC took a bad turn baada ya injury aliyoipata against Barcelona (tackle ya Ivan Rakitic), tangia hapo akaanza kupata muscular injuries, injury iliyokuwa inamsumbua Keita, ni kama hii ya Bajcetic, but ilikuwa ngumu kwa Keita kuheal, because lets be honest his actual age is not 28, so hakuwa 22 wakati Ivan Rakitic anamfanyia ile tackle at Camp Nou, so Injuries ndiyo zimemkwamisha Keita at LFC, kwa suala la umri, factor yake ni ndogo sana, wenzake kina Mane, Yaya Toure, Falcao, Luis Suarez, Fabinho etc, wamecheza kwa mafanikio makubwa tu, despite kudanganya umri halisi.

Naby Keita, was a WORLD CLASS player kabla ya his injuries, ndiyo maana your World class coach hakuwahi kumkatia tamaa, na hata Keita kuondoka LFC ni yeye aliamua, because Klopp alimpa offer ya extension.

Klopp got rid of Gini & Hendo, the minute walivyosema wanataka kuondoka, but he had 2 extension offers kwa Fabinho & Tapeli Keita on the table.

But, maybe Klopp hajui kitu kuhusu football.
 
Nilikuwa nikimlaumu sana Nunez lakini naona niache kumlaumu bali niseme tu Nunez pia hana bahati amepatwa na kama nuksi hivi.
Huenda hii nuksi ikamuondokea akarudi mchezoni.

Huwa tukifanya sajili mpya, huwa nakuja humu haraka sana, kuangalia verdict yako na ya Captain Marvelous kuhusu mchezaji husika, because i trust na kuheshimu sana judgement zenu kuhusu players.

So i was suprised kuona your stance on Nunez mara ya kwanza, bacause you never miss.

Nunez, ana big, big, big, big potential, and i believe atafanikiwa at liverpool.
 

Perspectives.

DARWIN NUNEZ, mpaka sasa ana miezi 18 at LFC.

Tufanya kulinganisha miezi yake 18 na ile 18 ya LUIS SUAREZ at LFC? ni kwaajili ya perspectives.

Maana, LFC fans tunaongea as if Suarez alihit the ground running at LFC, tuonaongea as if, LFC fans walikuwa hawasemi/kuponda kuwa he wasnt good enough kumreplace Torres at LFC, tunasahu na kujisahaulisha sana.

Then, miezi 18 ya kwanza at LFC ya Luis Suarez.

15 goals
3644 minutes

Miezi 18 ya kwanza at LFC ya Darwin Nunez.

14 goals
2949 minutes

Means katika miezi yao 18 ya kwanza, Nunez amecheza fewer minutes kuliko Suarez.

Msimu wake wa kwanza (ofcourse alikuja Janury) 2010/11 alifunga goals 4 katika 13 apps, msimu wake wa pili full, (2011/12) alifunga goals 11 katika 31 apps, msimu wake wa 3 sasa ndiyo akaanza kuevolve, 23 goals in 31 apps, na msimu alioexplode ni 2013/14 ambapo alifunga goals 31 kwenye apps 33, sasa hapa sifananishi ubora wa Suarez na Nunez, nafananisha projections zao, Suarez had to find his feet kwenye league, it took him a while kuadjust his presence kwenye league, na tulikuwepo tuliompa muda.

Na ikumbukwe, kupindi kile ambacho Suarez anajaribu kufind his feet kwenye league, tulikuwa na record signing Andy Carroll, ambaye aliondoka LFC akiwa ni total flop, na baada ya Suarez kuondoka, we signed Balotelli, Origi, Benteke, Lambert etc, katika hizi signings zote aliyekuja kuwa na afadhali ni Origi pekee, then Klopp had to switch Bobby at #9 and the rest was history.

Now we have Nunez, the reason why naamini he will come good, ni vitu anavyo offer uwanjani.

Yes, he's not scoring goals, yes, he misses easy chances, but why hatuangalii vitu vingine anavyooffer? tuna a reliable goal scorer (Salah), na he compliment him a lot, si ndiyo alivyokuwa anafanya Firmino? complimenting Mane & Salah? why ni tofauti kwa Nunez?

Nunez is our counter-trigger, Nunez is one main/pivotal runner, Nunez is our pivotal chance generator, Trent/VVD/Alisson/Konate/Matip ndiyo wanamtumia ku-trigger counters.

Jana, he missed big chances (yes), but he was the PIVOTAL creator wa one first goal, na goal lilikuwa muhimu sana, kabla Newcastle hawajasettle kwenye their game plan, tena baada ya kumiss penalty in the first half.


Newcastle were attacking us kwenye our box, Jones intercepts, mpira unafika kwenye mguu wa Trent, Trent anainua jicho, na kupin-point mpira kwa Nunez, ambaye hapa ameshuka deep kwaajili ya kutrigger counter, mpira unamfikia Nunez, then anm-set up Dom, Dom anadrive/progress kwenda kushoto, sababu ya kudribble ni ku-drag Newcastle MFs/DEfs, anamuachia Diaz, na Dom anaendelea na false runs kwenye box na kufanikiwa kudanganya 3 newcastle defenders, Diaz anapata space ya ku-cut in, na kumpata Nunez, ambaye TAYARI ameshatengeneza a safe channel, mpira unamfikia Nunez, na anapress kwa Salah kwa easy tap in.

So, swali hapa ni kuwa, Haaland ni better goalscorer than Nunez, but Haaland anaweza kufanya alichofanya Nunez jana? yes anaboa kwenye kukosa magoli, but atleast hebu tuwe tunaacknowledge mchango wake mkubwa tu uwanjani, tunatamba na stats za Salah now, but Nunez amechangia kwa asilimia 70%, kitu ambacho Diaz/Jota/Gakpo hawawezi, na ndiyo maana Salah huwa anakuwa at his best akiwa na Nunez upfront.

Again, mbona Nunez anajituma sana uwanjani, anafanya kila alichokuwa anafanya Firmino, suala la kufunga litakuja tu, mpeni jamaa a break Aisee, anasaidia sana team, kama huoni msaada wake its fine.

Kuna msemo huwa anapenda sana kuutumia Gary Neville, "Dont watch the game, SEE the game".
 
Hii clip, inaonesha movement ya goal la kwanza la Salah.

Na walioset hili goal, ndiyo ambao wanakuwa attacked kila siku kuhusu their form (understandable)

But, ni vitu vidogo sana kama hivi ambavyo vinakupa quality ya mchezaji, hata kama anapitia bad patch.

Trent, anatoa a long pass kwa Nunez, angalia sehem ambayo Nunez alipokea huu mpira, kimfumo/shape hili ni eneo ambalo alitakiwa awepo Salah, but Nunez was there, because anatakiwa kudrop deep, kupotea mipira ili ku-trigger counters, Nunez plays the ball to Dom (ambaye yupo kwenye bad form), sasa imagine kama huyu aliyepokea huu mpira angekuwa ni Henderson? angepata akili ya progress/drag the ball? (well Henderson hawezi kudribble/drag/progress the ball), Henderson hapo agerudisha mpira nyuma, au angehoof kwa Nunez au Salah, na kuua kabisa counter, but Dom drags the ball, moving/manipulating the pockets, anaacha mpira kwa Diaz, na kuendelea na false/bait runs, ambazo zinawachanganya Newcastle defenders, na kumpa a good roam Diaz ya kutembea na mpira ndani, na kuuachia kwa Nunez, ambaye yupo kwenye good channel, then easy goal kwa Salah.

Hii, move aliyetrigger ni Nunez, strikers wangapi wana hiyo awareness/anticipation kwenye deep areas? why Klopp amuamini Nunez (ambaye anaonekana si chochote JF) kuwa his counter attacking triggering point? na most of all, kwanini Salah aliamini kabisa kuwa Nunez atampata kwenye ile pocket? because that is not an easy pass (kama umewahi kucheza mpira). na pia why Trent hakufikiria hata mara mbili kuutupa ule mpira kwa Nunez tena Nunez akiwa man marked? our world class passer aliamini Nunez atafanya kitu mpira ukimfikia, and Trent had a lot of time ku-move ule mpira sehem nyingine safe, but he decided to risk it kwa kumuamini Nunez (ambaye hapa JF anaonekana hajui hata kupiga mpira).

Sasa, a young striker anayekuoffer hiki kitu, unamuonaje si chochote? Isak jana alifunga, but when Howe moved Antony Gordon at LW, Trent alipata tabu kidogo, but most of the times Isak alikuwa anamiss/fail kulead transitions zao/runs za Gordon, kitu ambacho hakipo kwa Nunez, hence akiwa uwanjani tunagenerate volume kubwa ya chances.

Diaz & Dom hawapo kwenye good form, lakini hii movement inatakiwa ikuoneshe ni jinsi gani WC talents zinavyofanya kazi.

hata kwenye hii team yetu now, Macca/Jones/Elliott/Endo/Gravenberch ndiyo wangekuwa wamepokea ile pass ya Nunez kwa Dom, wasingefanya alichofanya Dom, because hawana progressive drafts/volumes kwenye their locker, na ndiyo uzuri wa kuwa na different profiles kwenye MF.
 

Attachments

  • ssstwitter.com_1704231254506.mp4
    5.1 MB
Dom is 22
Alexis is 24
Curtis is 22
Eliott is 20
Gravenberch is 21
Bajcetic is 19

Our MF is still very young, bado ni students kwenye game, so kuna kipindi watakuwa na games mbaya, kuna kipindi watafanya bad decisions, na kuna kipindi watakuwa na strechs za bad form, etc, ni kawaida kwa umri wao.

Dom, Macca, Gravenberch, Endo, ni new players, ndiyo kwanza wana miezi si chini ya 6 at the club, just because wamekuja na kuanza kuperform well, haitupi mamlaka ya kuwacall out wakiwa na bad games, kwasababu bado wanaadjust kwenye mfumo/mazingira mapya, muhimu ni kumshukuru Mungu, kuwa wamekuja na kuanza vizuri right away, ni NEEMA sana.

Hawa wachezani ni wapya na bado ni wadogo (ukimtoa Endo), so bado wanakuwa, bado wanahitaji a lot of coaching, kama ilivyokuwa kwa Kina Fabinho & Gini.

Tujifunze kuwapa time wachezaji, Curtis Jones, tumetoka nae wapi? mbona tumempa muda wa kutosha sana? na sasa tunaona matunda? kuna mtu alitegemea Jones atakuja kutupa performance kama ile ya monday?

Elliott, mbona amekomaa sana msimu huu, anaperform at a very good level, last summer tulikuwa tunaongelea suala la kumloan out, but now shabiki gani atakubali Elliott kuwa loaned out?

Kuna furaha, ya kuwapa hawa vijana nafasi, wanapenda na wenyewe kufanikiwa na kushowcase vipaji vyao.

Tunapoanza kuwasema, tena hizi new signings ambazo hazina hata seven months at the club, tunaonekana vichaa, na kibaya sana, wanajitahidi sana, tunaongoza league, na wao ndiyo wanaocheza kila week.

Tunaongoza league, na hakuna shabiki hata mmoja wa LFC ambaye alikuwa anategemea hili, huu ulikuwa msimu wetu wa transition, target ilikuwa ni top 4, but tupo kwenye title race, kwasababu vijana wanapambana, kwenye hiki kikosi cha LFC hakuna hata lazy player mmoja, hakuna egos, hakuna walalamishi, unaona Gomez msimu mpaka sasa amecheza at CB, RB, LB na anapafom kwa ubora ule ule, Dom hapa kati alibadilishiwa role (understable) lakini alikuwa anapambana, hakuna malalamiko, Gakpo kacheza at 8/9/LW/10 na anapambana na huoni malalamiko, Gravernberch ana find his feet, but unamuona akicheza anatry so hard kuimpress, Endo amestep up sana kipindi ambacho Alexis hakuwepo, huyu Alexis hakusajiliwa kucheza at DM, eventhough unaona kabisa kucheza at DM kunaeffect game yake, lakini anajitoa sana na huoni malalamiko, tupo hapa tulipo kwasababu players wanajitoa sana, sana.

Tuheshimu wanachokifanya, na pia Klopp anajitahidi sana.
 
Hii ni list ya Arsenal top scorers.

Ok, tufanye ni 20 games (Saka alifunga against Fulham), so ana goals 6.

Sasa, kwenye hii list ukiachana na Saka, nani ana goals kumzidi Nunez? striker namba moja wao Gabriel Jesus ana 3 goals.

 
Current Injury List.

Dominik
Robertson
Matip
Tsimikas
Bajcetic.

Thiago anarudi soon.

Our next league game away at Bournemouth itakuwa ni tarehe 21, so hope Dom injury haitakuwa serious sana, pia Robertson atakuwa amerudi/anakaribia kurudi.
 
1. Jorrel Hato.

We are scouting him.

2. Leny Yoro.

Pia, we are scouting him.

3. Hayden Hackney

We are scouting him.

4. Morten Frendrup

We are scouting him.

5. Rayan Ait-Nouri.

We are scouting him.

6. Goncalo Inacio

We are scouting him.

7. Joao Neves.

We are scouting him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…