Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Captain nasikia hata yule Stewart Downing alikuwa ni Mhamasishaji halafu alikuwa ni Mathematician ni kweli hii ?
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Ila pale tulipigwa aisee japo alikua kiraka fulani akicheza dynamic LB na LW lakin hakua levo za Liverpool.. Alishinda League Cup Liverpool...

Sijamfanyia back ground check kama kweli mathematician au mhamashishaji kweli... Na kama kweli sitoshangaa sanaa kwa yule dogo maana zipo tetesi kuna klabu alikua anacheza sikumbuki vyema akimfukuzisha kocha kazi πŸ˜‚πŸ˜‚utaona hapo ana ushawishi wa hali ya juu sanaaaa.

YNWA
 
Wee
Yaani hata afunge magoli gani
Mitattoo sijawahi ipenda.


Trent mwenyewe alivyofuga Ras akawa kama mvuta bangi nikaacha kumpendaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nunez nywele zinamtosha..akianza kufunga mabao ntajitolea kumsuka twende kilioni,mara tatu kichwa, Kilimanjaro.

Ila Kuna muda huwa namuonea huruma maana kujituma anajituma sana.
 
Ni Miss Trent huyo baada ya kumsaliti Matip.
Nilianza kumpenda Trent jamani hata kabla sijakuja kwenye uziπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ilikuwa uzi wa likes na akina Numbisa kule,walimpost..nikasema huyu kaka gani mzuri hivi?
Wakasema tena ni mchezaji wa Liverpool πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mie huyo ndukii nikaja humu.. kiukweli mimi Toka miaka ya kina Gerrard,sikuwahi kufuatilia tena mpira,hata watu nilikuwa siwajui ..Bobby huyu ndio alianza kunifahamisha mchezaji mmoja baada ya mwingine.
Nilivyowakariri kidogo na mimi nikaanza kusumbua watu,wananiona deep huku magroup ya kitaa🀣🀣🀣🀣🀣
Kumbe nakujaga tu kucopy na kupaste maadishi ya kina Def


Huyo matip nimemkutia hukuhukuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
I feel you Miss Liverpool unachotaka ni ushindi tu hakuna kingine... King Ngwaba alichukua Mech ya Liverpool vs Newcastle kumsoma vyema huyu bwana mdogo na amekiri bila kupepesa maneno dogo kipaji kipo lakin pia na bahati inakimbia vile maana anafanya kila kitu inavyotakiwa ila ikifika kufunga tu huyooo anapaisha ama kipa anaokoa... Anachosema Klopp ni Nunez aedelee na kasi, mishe hivi hivi na magoli yatakuja ingekua Klopp ana mashaka na dogo nadhani angekosa kujiamini nk lakin kitendo cha kupewa hug na Klopp kinampa faraja kubwa kwamba kazi yangu inaonekana nijitume mazoezini zaidi niwe na utulivu na magoli yaja.

YNWA
 
Tatizo ni mzubavu mno
Amepoa kama uji wa mgonjwa🀣🀣

Namuombea sana apone kaka wa watu,, na vile alivyo mpole atakuwa anatia huruma sana huko alipo πŸ₯Ί
Hakuna cha forever wewe ulikimbia shingo ya msomali wetu kwa kufuata baby face TAA sasa soon unasepa kwa Nunez magoliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
 
Three goal involvements, three clean sheets and the joint-most chances created ✊

Trent has been nominated for Premier League Player of the Month πŸ’ͺ

Supporters can vote for Alexander-Arnold here until 12pm GMT on Monday January 8.
 
Tatizo ni mzubavu mno
Amepoa kama uji wa mgonjwa🀣🀣

Namuombea sana apone kaka wa watu,, na vile alivyo mpole atakuwa anatia huruma sana huko alipo πŸ₯Ί
πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌKama asemavyo Def huyu dogo ni usajili bora kabisa wa bure klabuni chini ya Klopp.
Apone tu maana lile jeraha hua sio powaaa aisee.

YNWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…