Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Captain nasikia hata yule Stewart Downing alikuwa ni Mhamasishaji halafu alikuwa ni Mathematician ni kweli hii ?
😂 😂 😂 😂 Ila pale tulipigwa aisee japo alikua kiraka fulani akicheza dynamic LB na LW lakin hakua levo za Liverpool.. Alishinda League Cup Liverpool...

Sijamfanyia back ground check kama kweli mathematician au mhamashishaji kweli... Na kama kweli sitoshangaa sanaa kwa yule dogo maana zipo tetesi kuna klabu alikua anacheza sikumbuki vyema akimfukuzisha kocha kazi 😂😂utaona hapo ana ushawishi wa hali ya juu sanaaaa.

YNWA
 
Screenshot_2024-01-03-20-22-54.png

Inawezekana msimu huu tukawa sawa na Manjesta 😂😂😂
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Miss Liverpool mara pap ukageuka ukaanza kupenda wafunga nywele na wenye matatoo ukageuka ukawa miss Nunez🔥🤣🤣🤣🤣 ndani ya mwaka huu hili linakuja Hahaha nipo hapa nakuchora.

YNWA
Wee
Yaani hata afunge magoli gani
Mitattoo sijawahi ipenda.


Trent mwenyewe alivyofuga Ras akawa kama mvuta bangi nikaacha kumpenda😂😂😂😂

Nunez nywele zinamtosha..akianza kufunga mabao ntajitolea kumsuka twende kilioni,mara tatu kichwa, Kilimanjaro.

Ila Kuna muda huwa namuonea huruma maana kujituma anajituma sana.
 
Ni Miss Trent huyo baada ya kumsaliti Matip.
Nilianza kumpenda Trent jamani hata kabla sijakuja kwenye uzi😂😂😂😂
Ilikuwa uzi wa likes na akina Numbisa kule,walimpost..nikasema huyu kaka gani mzuri hivi?
Wakasema tena ni mchezaji wa Liverpool 😂😂😂😂
Mie huyo ndukii nikaja humu.. kiukweli mimi Toka miaka ya kina Gerrard,sikuwahi kufuatilia tena mpira,hata watu nilikuwa siwajui ..Bobby huyu ndio alianza kunifahamisha mchezaji mmoja baada ya mwingine.
Nilivyowakariri kidogo na mimi nikaanza kusumbua watu,wananiona deep huku magroup ya kitaa🤣🤣🤣🤣🤣
Kumbe nakujaga tu kucopy na kupaste maadishi ya kina Def


Huyo matip nimemkutia hukuhuku😂😂😂😂😂
 
Wee
Yaani hata afunge magoli gani
Mitattoo sijawahi ipenda.


Trent mwenyewe alivyofuga Ras akawa kama mvuta bangi nikaacha kumpenda😂😂😂😂

Nunez nywele zinamtosha..akianza kufunga mabao ntajitolea kumsuka twende kilioni,mara tatu kichwa, Kilimanjaro.

Ila Kuna muda huwa namuonea huruma maana kujituma anajituma sana.
I feel you Miss Liverpool unachotaka ni ushindi tu hakuna kingine... King Ngwaba alichukua Mech ya Liverpool vs Newcastle kumsoma vyema huyu bwana mdogo na amekiri bila kupepesa maneno dogo kipaji kipo lakin pia na bahati inakimbia vile maana anafanya kila kitu inavyotakiwa ila ikifika kufunga tu huyooo anapaisha ama kipa anaokoa... Anachosema Klopp ni Nunez aedelee na kasi, mishe hivi hivi na magoli yatakuja ingekua Klopp ana mashaka na dogo nadhani angekosa kujiamini nk lakin kitendo cha kupewa hug na Klopp kinampa faraja kubwa kwamba kazi yangu inaonekana nijitume mazoezini zaidi niwe na utulivu na magoli yaja.

YNWA
 
Tatizo ni mzubavu mno
Amepoa kama uji wa mgonjwa🤣🤣

Namuombea sana apone kaka wa watu,, na vile alivyo mpole atakuwa anatia huruma sana huko alipo 🥺
Hakuna cha forever wewe ulikimbia shingo ya msomali wetu kwa kufuata baby face TAA sasa soon unasepa kwa Nunez magoli😂😂😂😂

YNWA
 
Three goal involvements, three clean sheets and the joint-most chances created ✊

Trent has been nominated for Premier League Player of the Month 💪

Supporters can vote for Alexander-Arnold here until 12pm GMT on Monday January 8.
 
Tatizo ni mzubavu mno
Amepoa kama uji wa mgonjwa🤣🤣

Namuombea sana apone kaka wa watu,, na vile alivyo mpole atakuwa anatia huruma sana huko alipo 🥺
🙏🏼🙏🏼🙏🏼Kama asemavyo Def huyu dogo ni usajili bora kabisa wa bure klabuni chini ya Klopp.
Apone tu maana lile jeraha hua sio powaaa aisee.

YNWA
 
Back
Top Bottom