Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
😂 😂 😂 😂 Ila pale tulipigwa aisee japo alikua kiraka fulani akicheza dynamic LB na LW lakin hakua levo za Liverpool.. Alishinda League Cup Liverpool...Captain nasikia hata yule Stewart Downing alikuwa ni Mhamasishaji halafu alikuwa ni Mathematician ni kweli hii ?
Sijamfanyia back ground check kama kweli mathematician au mhamashishaji kweli... Na kama kweli sitoshangaa sanaa kwa yule dogo maana zipo tetesi kuna klabu alikua anacheza sikumbuki vyema akimfukuzisha kocha kazi 😂😂utaona hapo ana ushawishi wa hali ya juu sanaaaa.
YNWA