Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jukwaa la Livakuku ndio the new jukwaa la Ze Ganaz. Yaani huku hakupoi kila dk notifications

Tatizo la Jukwaa lenu mashabiki wengi ni mbumbumbu wanamtukana hamis77 wakiamini kumtukana yeye ndiyo suluhisho la Matatizo wakati hawafikii hata asilimia 5% ya anavoujua mpira hamis77.

hamis77 ni hazina kuwepo kwenye ule uzi wenu lakini wengi hawajui.

Mimi binafsi ni big fan wa hamis77 hupenda kuona maandiko yake.

Ni sawa na kwenye uzi huu kumshambulia Mosdef utaonekana ni Kichaa tu.
 
Kukaa kileleni kuna raha yake. Asikuambie mtu. Ukiwa kileleni huna adui. Ukitoka hapo sasa...

Ndiyo yanayotukuta mara kwa mara sisi
 
Mashabiki wa Aseno wakishavurugwa na wakikandwa,Kila mtu akiingia anaenda kumaliza hasira kwa kumtukana Hamis.

Hamis kwa kweli anajitahidi sana kuchambua mpira kama Def tu,
Tofauti ya Hamis na Def,
Hamis tunashinda naye kule mwanitesa kuwacheka nyumbu..jambo ambalo huwezi kumkuta Def au Bobby anafanya.
 
Mashabiki wa Aseno wakishavurugwa na wakikandwa,Kila mtu akiingia anaenda kumaliza hasira kwa kumtukana Hamis.

Hamis kwa kweli anajitahidi sana kuchambua mpira kama Def tu,
Tofauti na Hamis na Def,
Hamis tunashinda naye kule kuwacheka nyumbu..jambo ambalo huwezi kumkuta Def au Bobby anafanya.
 
Jukwaa la Livakuku ndio the new jukwaa la Ze Ganaz. Yaani huku hakupoi kila dk notifications
Hili jukwaa lina watu wenye akili wengi wanaojua mpira

Na sisi vilaza wachache😂
Tunabebwa na wanaojua,tukiquotiana basi wanatuzibia madhaifu.

Arse 8 ukimtoa Hamis,sijui na nani yule..karibia wote wanaobaki ni vilaza.,hawajui mpira kama mimi 🤣🤣🤣🤣

Ukija majukwaa mengine nako ni hivyohivyo.

Kule unyumbuni ni kama wana stoo ya matusi,,itategemea tu mbuzi wa kafara ni nani hiyo siku,, Rashid Mpemba,Profesa wa gengeni ama Kobe Mauno wanamwita.

Kule mama Cita sijui kama kuna yeyote anayejua mpira.
Eti KD Davet ,kule kwenu nani anajua mpira?
 
Na hizo vurugu zake ndo zinazomcost huyu mchambuzi wenu

Nyumbu wanaruka naye, hana pa kupumua
Akirudi huku washkaji wa Ramsdale nao wamemshikilia.

Jamaa japo mpira anajua,ila huwa anaendeshwa na ushabiki zaidi kuliko ukweli.
 
Ni mwenzetu tu anaye enjoy mmwembwe za ushabiki zikiwemo kukera wapinzani. Ila mawazo yake si lazima yafuatwe na kila mtu. Tupo tunaosema Kai bado si mchezaji, wapo wanaosema Kai bonge la chezaji. Ndiyo raha ya mpira. Kujua mpira kwa level ya uchambuzi siyo muhimu kwenye ushabiki huu wa kukerana.
 
Nimekumiss sana Nkamu wangu jamani mweee
Pacha hajambo?

Nunez lile goli ya mwisho lilikuwa linaenda kugonga mwamba kama kawaida yake,Sema Mungu siyo Athuman mwee🤣😂
Agholosya
bahati ndio inapiga hodi sasa kama ingekuwa haijaanza kufiga hodi hata mwamba lisingeukaribia kabisa
 
Kabisa yaani
Siyo lazima wote tujue kuchambua

Wengine tukipiga kelele inatosha.
 
Jukwaa la Man united... Chief Mkwawa alikuwa best kwenye uchambuzi...siku hizi kalikimbia jukwaa...Jukwaa la Chelsea pia kuna wajuzi wa mpira
 
Chelsea wapo wanaojua jua akina Lembu
Sema timu yao inawavuruga kila siku,wameacha kuchambua mpira wanamtukana kocha, wachezaji na tajiri wao 🤣🤣🤣
Jukwaa la Man united... Chief Mkwawa alikuwa best kwenye uchambuzi...siku hizi kalikimbia jukwaa...Jukwaa la Chelsea pia kuna wajuzi wa mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…