Hii ndio wazungu wanaiita konsistensi sasaLast season tuliambulia point 1 kutoka kwa Arsenal.
- Kipigo Emirates
- Draw Anfield
This season tunaambulia tena point 1 kutoka kwa Arsenal.
- Draw Anfield
- Kipigo Emirates
Kuna watu humu juzi juzi tu walisema eti siyo wa muhimu sana,hata asipokuwepo timu inacheza vizuri.Mo Salah ni mmoja tu.
Hizi ndio mechi unamuona.
Anakupa goli sehemu usiyotegemea.
Unasema? 😂😂😂Kuna watu humu juzi juzi tu walisema eti siyo wa muhimu sana,hata asipokuwepo timu inacheza vizuri.
timu imecheza vizur juzi tu hapa na yeye kaiona Leo kawaacha wachezaji karibia wanne nje...ntamwelewa kwa szobo ambaye alikuwa anaumwa ila kwa Nunez na Bradley amekosea aisee
Grav's naye bado Hana Ile fluidity ya EPL Bora hata dogo Elliott
Timu yako ni ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?Unasema? 😂😂😂View attachment 2894661
Jamaa yupo Slow sanaGRAVENBERCH [emoji16][emoji16][emoji16] Nilishasema na nitaendelea kusimamia nilichowahi kusema, This man has no Mentality for a top team like LFC.
GRAVENBERCH is the worst signing in recent years .
Umeongea vizuri sanaIt could have been more, Arsenal walikosa ukatili mwingi.
Hii mechi huwezi kujua uanzie wapi na uishie wapi, ila ni siku mbaya sana ofisini.
Bado narudi pale pale, kosa analofanya Klopp ni kulazimisha wengine wafanye kazi mara mbili mbili ili tu Trent asiwe kwenye mitego ya kusumbuliwa.
Inabidi Konate afanye kazi mara mbili, na yeyote atatakaye kaa upande wa Taa afanye kazi mara mbili. Ime tugharimu leo Konate kadi nyekundi. Trent amepikwa sana na Martinelli not only him imekuwa hivyo misimu yote tu.
Trent ni moja ya wachezaji wameumia mno kuondoka kwa Klopp, makosa yale na kwa top top manager unasugua bench tu tumeona hivyo kwa kina Conte, Tuchel, Pep, Mou ila kwa Klopp anatafuta namna Trent acheze hata kwa kuwaumiza wengine. Na bad thing amekataa ku improve defensively kwa itategemea na kocha ajaye.
Ngumu kuona madhara ya Trent lkn yeyote atakaye cheza no. 4 au RCM lazima afanye kazi mara mbili. Sasa leo imekuwa balaa zaidi kwa kuanza Graven , da da da.
We were poor overall my best player on the pitch today was Macca.
N.B Nunez anakosa magoli sana lakini huwezi kumuondoa kwenye wachezaji hatari pale LFC, Saliba and Gabriel wali relax vya kutosha leo mpaka alipoingia Nunez timu ikaanza kupata njia, ila hivyo ukiwa na siku mbya ni mbya tu.
Magoli tuliyofungwa dah.!!! Ni aibu
Muda utasemaTimu yako ni ya ngapi kwenye msimamo wa ligi?
Nakuhurumia sana. Yaani sijui hata ulikuwa unawaza nini. Yaani kweli ulifikiri...au ulikuwa umetumia kileo...au basi acha tu...
Muda utasema View attachment 2894723
You sound emotional bro!This season Arsenal will never finish the League above Liverpool FC regardless the outcomes if we'll conquer the trophy/EPL or not.
Kuna watu humu juzi juzi tu walisema eti siyo wa muhimu sana,hata asipokuwepo timu inacheza vizuri.
You sound emotional bro!
Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,😀. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.This season Arsenal will never finish the League above Liverpool FC regardless the outcomes if we'll conquer the trophy/EPL or not.
Mkuu hii game ilikuwa tricky sana kwetu Arsenal acha tufurahi.Mkuu hawajamaa bado washamba aisee. Yaani kutufunga leo sisi ndio wanaona watachukua ligi,[emoji3]. Wanashindwa kukumbuka mpaka sasa wamefungwa mechi ngapi? (Hawanasifa ya kuwa bingwa-wapo,kwenye hiyo nafasi ratiba imewabeba tu) Na wana mechi bado pale etihad.
Naona pia hata kupata ushindi kwa wenzetu ni taabu sana ndio maana wakipta ushindi tu wanaweuka.
Timu yako iko nafasi ya ngapi? Mpaka sasa Liverpool kufungwa mechi 2 away,wewe mpaka sasa timu yako ikefungwa mechi ngapi? Kile pole wewe mwenyewe Liverpool are still on track.Poleni sana wadau kwa kichapo...
Mimi niliona tulivyowafunga zile 2 bila ,hii mechi nilijua lazima mtabadilika sana tu,na tupo ugenini .Mkuu hii game ilikuwa tricky sana kwetu Arsenal acha tufurahi.
Mngetufunga gape lingekuwa points 8. Na City bado angetuacha zaidi.So ushindi ulikuwa muhimu zaidi kuzingatia hilo.
Mengine ya kawaida tu kwa timu bora zikukutana.
Pia Bingwa ni City msimu huu kila mtu anajua hilo.
Mkuu hii game ilikuwa tricky sana kwetu Arsenal acha tufurahi.
Mngetufunga gape lingekuwa points 8. Na City bado angetuacha zaidi.So ushindi ulikuwa muhimu zaidi kuzingatia hilo.
Mengine ya kawaida tu kwa timu bora zikukutana.
Pia Bingwa ni City msimu huu kila mtu anajua hilo.