It could have been more, Arsenal walikosa ukatili mwingi.
Hii mechi huwezi kujua uanzie wapi na uishie wapi, ila ni siku mbaya sana ofisini.
Bado narudi pale pale, kosa analofanya Klopp ni kulazimisha wengine wafanye kazi mara mbili mbili ili tu Trent asiwe kwenye mitego ya kusumbuliwa.
Inabidi Konate afanye kazi mara mbili, na yeyote atatakaye kaa upande wa Taa afanye kazi mara mbili. Ime tugharimu leo Konate kadi nyekundi. Trent amepikwa sana na Martinelli not only him imekuwa hivyo misimu yote tu.
Trent ni moja ya wachezaji wameumia mno kuondoka kwa Klopp, makosa yale na kwa top top manager unasugua bench tu tumeona hivyo kwa kina Conte, Tuchel, Pep, Mou ila kwa Klopp anatafuta namna Trent acheze hata kwa kuwaumiza wengine. Na bad thing amekataa ku improve defensively kwa itategemea na kocha ajaye.
Ngumu kuona madhara ya Trent lkn yeyote atakaye cheza no. 4 au RCM lazima afanye kazi mara mbili. Sasa leo imekuwa balaa zaidi kwa kuanza Graven , da da da.
We were poor overall my best player on the pitch today was Macca.
N.B Nunez anakosa magoli sana lakini huwezi kumuondoa kwenye wachezaji hatari pale LFC, Saliba and Gabriel wali relax vya kutosha leo mpaka alipoingia Nunez timu ikaanza kupata njia, ila hivyo ukiwa na siku mbya ni mbya tu.
Magoli tuliyofungwa dah.!!! Ni aibu