Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Nunez the great🔥
Weka hapo Nunez, Bajetic, Doak.Injuries za kikosi cha kwanza 👇
1) TAA
2) Alison
3) Szobo
4) Matip
5) Jota
6) Jones
Mungu ajaalie zisiongezeke
Alivyotua ilikua Milner na Thiago ndio walikua wa nampa kampani kutafsri lakini pia back room ya Klopp iko vizuri sana kwenye hii ya lugha... Alianza Diaz kama unakumbuka.Kwahiyo alikuwa anaongea vipi na Mwalimu na wenzie?
Dah masikini kametia huruma
.ndio kama mimi leo niende uingereza
Mbona nipate tabu sana, ntakuwa naongea na Def tu.
Weka hapo Nunez, Bajetic, Doak.
YNWA
I pray for Arsenal to remain in their form till they meet Man City
HahahaaaaaaaI pray for Arsenal to remain in their form till they meet Man City
Hatuhitaji ubingwa wa kusaidiwa na timu nyingine.I pray for Arsenal to remain in their form till they meet Man City
Upara anavuta pumzi ya moto na cheche .Marastafarian, leo wamepiga cha Arusha 😄 🤣
Ni balaa babuUpara anavuta pumzi ya moto na cheche .
Subiri tu.Pole sana
Kelleher unamjua?
Haya sasa matokeo si umeyaona?