Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

kuna sehemu mnapishana haujamuelewa si kwamba man city hafanyi hivyo la hasha mmiliki wa man city kuna nanmna ana inject pesa nyingi kwa njia ya janjajanja ndio anamaanisha.
 
Mnaanza kutupangia na namna ya kucheza nao...tukifunguka mnasema tutafungwa..tukikaa nyuma tutafungwa..Sasa tuchezaje ndugu zetu[emoji1783][emoji1783]..basi hatutaingiza timu uwanjani Ili hayo yte tusiyafanye
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Bora tu msiingize timu uwanjani maana fedheha mtakayo kutana nayo itaenda kuchafua hali ya hewa kwenye jukwaa lenu la matusi.
Ila Pep anamjulia sana Arteta linapokuja suala la minded game, nina uhakika siku 2 kabla ya mechi Pep atafanya press conference ya kumsifia Arteta kua ndie kocha bora kuliko wote Epl, bila kusahau atawasifia wachezaji wa Arsenyo na timu yote kwa ujumla, kumbe anawajaza ujinga wakifika Ettihad wafunguke vizuri halafu awagonge goli 4+
 
Naona unatumia nguvu nyingi kutusakama kwlikwli na miksa kutishia mara Porto mara Pep...Sasa muda unayoyoma...tunaanzia leo na Pepe kupeleka taarifa kwa viumbe vyte vilivyobaki vya ligi kuu kwmba mkikutana na sisi mjipange🤠🤠
 
Michael Edwards official position will be Head of Football Operations.

[@_pauljoyce]
Michael Edwards has AGREED on his return to Liverpool, with his first priority being confirming the arrival of Richard Hughes as Sporting Director.

[@_pauljoyce]
 
Michael Edwards is back at LFC. One of the architects of the Anfield renaissance led by Jurgen Klopp has agreed to return to the club in a senior role. Significant coup for FSG to persuade him to oversee the post-Klopp era. Full story @TeleFootball
 
Naona unatumia nguvu nyingi kutusakama kwlikwli na miksa kutishia mara Porto mara Pep...Sasa muda unayoyoma...tunaanzia leo na Pepe kupeleka taarifa kwa viumbe vyte vilivyobaki vya ligi kuu kwmba mkikutana na sisi mjipange[emoji1783][emoji1783]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sio kuwatisha broo, ninachofanya ni kuelezea hali halisi ya Arsenal linapokuja suala la kucheza mechi za pressure.
Kikubwa jitahidini leo mumfunge Porto ita boost confidence mkikutana na City, ila leo mkitolewa Uefa mtakua very desperate, mechi inayofata na City Guardiola atakua kama anamsukuma mlevi tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…