Relax mkuu. Mko 2 points mbele. Au umesahau kuwa 2 points ni muhimu kuliko GD? Mnataka mmpige Sheffield wa watu nyingi wakati tayari maisha yake magumu kinoma?Next ni SHEFFIELD UTD tunahitaji kuwa more clinical zaidi kwenye attacker, Ni lazima tupunguze GD yetu na Arsenal GD ya +6 ni nyingi sana.
Unajua kwa nini anapooza koo?Huyu mwamba anaitwa Ramsdale.
Hadi sasa hana kombe lolote hata kombe la kawaha huko arse8
Ameona isiwe noma,ajiunge nami kupooza koo na fanta OrangeView attachment 2950692
Urafiki gani wakati tukipoteza mnafurahiaSisi tunawaombea nyie mema ila nyie mbatuombea mabaya na njaa. Kidooogo tunawarudishia mara moja moja ila kikubwa kwetu ni kipara asishinde.
Sasa wema wetu nyie wenyewe mnalazimisha uwe ubaya. Tunawaombea dua, Saint Anne anaziita dua zetu ramli. Tunaleta urafiki ila nyie mnalazimisha uadui π.
Mjue tu kwamba mkitukana tukiwa bado mechi 9, na sisi tutawakana wakati tunanyanyua kwapa π
Hatufurahi ni ile kuchekelea kidogo kama ukimuona rafiki yako ameteleza na kuanguka ila hajaumiaUrafiki gani wakati tukipoteza mnafurahia
Nyeusi it's nyeusi...nyeupe ni nyeupe...sasahvi ni kuwaombea njaa Hawa kuku videri...na watateleza tu...Manyumbu kwny hili yatatusaidia hiyo j2π€ π€Hatufurahi ni ile kuchekelea kidogo kama ukimuona rafiki yako ameteleza na kuanguka ila hajaumia
Hebu waambie waonyeshe vikombe vyao walivyopata mwaka huuUnajua kwa nini anapooza koo?
..
View attachment 2950994
Wababe wa ligi tukitoa Ramsdale tunaweka Raya. Waswahili wanasema 'toa chuma, weka chuma'. Na bado next season tutaongeza vyuma vingine sekta mbali mbali. Watu wataelewa kwa nini mkorea anasemaga 'watu wataita maji mma' na 'timu hazitaingia uwanjani'
MacAllister =Macca.Bila McAllister?
Konate!?
EL CAPTINO WA MALAFYALE