Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Huyu mwamba anaitwa Ramsdale.

Hadi sasa hana kombe lolote hata kombe la kawaha huko arse8
Ameona isiwe noma,ajiunge nami kupooza koo na fanta OrangeView attachment 2950692
Unajua kwa nini anapooza koo?
..
1711983429204.png

Wababe wa ligi tukitoa Ramsdale tunaweka Raya. Waswahili wanasema 'toa chuma, weka chuma'. Na bado next season tutaongeza vyuma vingine sekta mbali mbali. Watu wataelewa kwa nini mkorea anasemaga 'watu wataita maji mma' na 'timu hazitaingia uwanjani'
 
Sisi tunawaombea nyie mema ila nyie mbatuombea mabaya na njaa. Kidooogo tunawarudishia mara moja moja ila kikubwa kwetu ni kipara asishinde.

Sasa wema wetu nyie wenyewe mnalazimisha uwe ubaya. Tunawaombea dua, Saint Anne anaziita dua zetu ramli. Tunaleta urafiki ila nyie mnalazimisha uadui 😂.

Mjue tu kwamba mkitukana tukiwa bado mechi 9, na sisi tutawakana wakati tunanyanyua kwapa 😂
Urafiki gani wakati tukipoteza mnafurahia
 
Hatufurahi ni ile kuchekelea kidogo kama ukimuona rafiki yako ameteleza na kuanguka ila hajaumia
Nyeusi it's nyeusi...nyeupe ni nyeupe...sasahvi ni kuwaombea njaa Hawa kuku videri...na watateleza tu...Manyumbu kwny hili yatatusaidia hiyo j2🤠🤠
 
◼ Liverpool injury updates

🔴 Alison Becker, Trent Alexander Arnold, Diogo Jota hawa wanarudi mazoezini wiki hii

🔴 Ibrahima Konate alichelewa siku ya mwisho ya mazoezi kuelekea mchezo na Brighton hivo hakuweza kutumika,

🔴 Curtis Jones tayari amerejea zoezini tangu wiki iliopita, Andy Robertson alipata maumivu ya Enka akiwa na Scotland lkn Klopp anasema sio serious na atarejea wiki hii zoezini

🔴Stefan Bajcetic kijana ataendelea kupata fitness katika kikosi cha Liverpool U21 na badae atarejeshwa timu ya wakubwa kuendelea pale alipo ishia

➡ Kiufupi nikwamba wachezaji wote muhimu wa Liverpool waliokuwa majeruhi wame rejea rasmi kuipambania Liverpool kasoro tu Thiago Alcantara ambae muda wake rasmi hauja tajwa
 
Unajua kwa nini anapooza koo?
..
View attachment 2950994
Wababe wa ligi tukitoa Ramsdale tunaweka Raya. Waswahili wanasema 'toa chuma, weka chuma'. Na bado next season tutaongeza vyuma vingine sekta mbali mbali. Watu wataelewa kwa nini mkorea anasemaga 'watu wataita maji mma' na 'timu hazitaingia uwanjani'
Hebu waambie waonyeshe vikombe vyao walivyopata mwaka huu
Hata vya kahawa kama vipo
 
Back
Top Bottom