Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna baadhi ya team au mechi ni kama vile kuna uchawi.

Chelsea hata awe mbovu vp kln kwa Tot lazima apate matokeo mazuri na Man City ht awe na ubora vp lazima apate shida kwa Tot ambaye n mbovu.
 
Tuchel huyu huyu one season wonder ama yupi. Liverpool hua tuna traditional ways ya kufanya yetu hatutaki kocha wa leo kesho hayupo anaanza mara hiki mara kile ndio maana huoni akitajwa Murinho, Conte au Tuchel.

YNWA
Hiyo Tradition way ndio imesababisha hata makombe yakauke, mtu kama klopp alitakiwa awe alishatimuliwa kitambo
 
Miss Liverpool tangu lini TenH alitua na gengen khaa acha kuota wewe.

Kwa sasa tuna Amorim au Slot ni hao tu na nina amani kabisa na hao jamaa

Wwe subiri Gerrard wako ndoton ndio atapewa mikoba.

YNWA
Mambo ya gengeni bwana mtuachie tu akina mama wanunua mboga mboga 😂💔

Ila tuwe serious,mbona kama jamaa mwenyewe anaogopa kwanza,mnapamba akianza kuvurubda mumuoshe
Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…