mahindi hayaoti mjini
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 2,120
- 2,709
Tottenham weupe, sema everton akicheza kama leo, basi mtatoshana nguvuGemu ngumu hapo ni ya totenham na everton, man utd najipigia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tottenham weupe, sema everton akicheza kama leo, basi mtatoshana nguvuGemu ngumu hapo ni ya totenham na everton, man utd najipigia.
Kabisa, ila wanaeza poteza point kwa brighton leo usikuBalaa la city hakuna ambae halijui, huwa wapo vizuri sana.
FaMlimfunga eti?
Ooohh, okeeeee
Kuna baadhi ya team au mechi ni kama vile kuna uchawi.Derby na iheshimiwe.
Gemu zilizosalia kwa Arsenal, ngumu, ngumu, ngumu mno. Arsenal tuna mlima wa kupanda.😢
View attachment 2973209
Nikiweka ushabiki pembeni kwa mechi zilizosalia Manchester city ana nafasi kubwa sana ya kuchukua ubingwa.
View attachment 2973210
Watu hawaogopi hata mashemejiSasa hv wahuni wanakugonga hapo hapo nyumbani kwako mbele ya watoto na mke wako 😂
Hiyo Tradition way ndio imesababisha hata makombe yakauke, mtu kama klopp alitakiwa awe alishatimuliwa kitamboTuchel huyu huyu one season wonder ama yupi. Liverpool hua tuna traditional ways ya kufanya yetu hatutaki kocha wa leo kesho hayupo anaanza mara hiki mara kile ndio maana huoni akitajwa Murinho, Conte au Tuchel.
YNWA
Sio ubingwa tena? Ligi bado mechi nneSasa mjadala uhamie kwa New Head Coach.
Amorin vs Slot
Kura yangu kwa Slot
Mambo ya gengeni bwana mtuachie tu akina mama wanunua mboga mboga 😂💔Miss Liverpool tangu lini TenH alitua na gengen khaa acha kuota wewe.
Kwa sasa tuna Amorim au Slot ni hao tu na nina amani kabisa na hao jamaa
Wwe subiri Gerrard wako ndoton ndio atapewa mikoba.
YNWA
Walisema Nunez ni New version ya TorresNunez is a great finisher. One day, he might finished Liverpool
Nimelala niacheniNaam wapi Saint Anne
Hili kombe achukue arsenal tuLiverkuku akicheza mashabiki wake duniani kote wanatapika na kuharisha kama kuku mwenye kideri
Ee hii kali na usingizi unapata kabisa?Nimelala niacheni