Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuna sababu jamaa pamoja na kuanza msimu kwa kuyumba bado wamiliki wana imani nae na ukizingatia wameuza ku balance vitabu na pia walibet vimbaya kununua wachezaji ambao hawajawasaidia sana.

Kazi kwake awe na consistency.

YNWA
 
Mohamed Salah's goals & assists have been worth 17 points to Liverpool this season, the most of any player in the division. Without them, Chelsea would lead the league table, and Liverpool would be 13th.🀯
View attachment 3162061
Pound for pound goals... Hit em Moo Salah... πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯

YNWA
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆUle msimu Deeny na Sarr wanafanya yao that beating was coming bro yaaani the signs were there every game we could see how boys had that aura kwamba we are unbeatable kumbe its was a slim hope we were to beat Wenger record..

Just like now mate a few signs are heading south.. Gravenberch need help somehowly either gaffer trust Endo ama aingie sokoni otherwise i can foresee some bad omen ahead.

In the meantime let's enjoy Slot joyride, its coool its epic.

YNWA
 
January Man City tunaziba viraka na baada ya hapo ni vichapo mfululizo kwa yeyote yule atakayekuja mbele yetu kwahiyo hakikisheni mnetuacha pointi za kutosha la sivyo mtaishia kuwa runner-up.
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Hatukua contenders especially kwa bookies hivyo tuna enjoy mpira aisee. Wachezaji hawana presha wana utulivu maana hata hao bookies walituweka nafasi ya 3 mpaka 5 kumbe hao so called contenders wako hoi bin taaban so Liverpool wamechukua fursa kwa mikono miwili and here we are 8 points clear haha...
Safari ni ndefu tunajua na tupo tayari.
Maisha ni kudaka fursa na kusepa nayo.

YNWA
 
Supersport wanaonyesha channel gani? Au kwa kifurushi changu cha 64,000 siwezi kuipata hii mechi?
Hadi nimeamua kustream kwa simu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…