Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Captain Marvelous eehh Bwana O’neil amepata suluhisho la kufunga. Last two matches win 2/2, conceded 1, & scored 5, 1 cleansheet,.

Home vs S’ton
Away vs Fulham.

Jamaa amemsulubu Fulham pale Craven Cottage 1-4,

Its a nice turn up best of luck to them. Napenda wanavyocheza jamaa, mpira mksubwa sanaa.
Cunha n Larsen wamnetengeneza sssi nzuri sana
TaKnow You Can.

Ynwa’
Kuna sababu jamaa pamoja na kuanza msimu kwa kuyumba bado wamiliki wana imani nae na ukizingatia wameuza ku balance vitabu na pia walibet vimbaya kununua wachezaji ambao hawajawasaidia sana.

Kazi kwake awe na consistency.

YNWA
 
Ila Mourinho ana records zake ngumu ngumu na nyingi zimekaa kudefend zaidi as a team and as individual. Concede 15 goals per season hii kuvinja kwa modern football sio kazi rahisi. Kama ile Invicible ya Wenger, japo Klopp tried alot only remained with one match achukue invicible all of a sudden Watford wakagoma, tukapigwa 3 saaaafi.

Ynwa’
😂😂🙈Ule msimu Deeny na Sarr wanafanya yao that beating was coming bro yaaani the signs were there every game we could see how boys had that aura kwamba we are unbeatable kumbe its was a slim hope we were to beat Wenger record..

Just like now mate a few signs are heading south.. Gravenberch need help somehowly either gaffer trust Endo ama aingie sokoni otherwise i can foresee some bad omen ahead.

In the meantime let's enjoy Slot joyride, its coool its epic.

YNWA
 
January Man City tunaziba viraka na baada ya hapo ni vichapo mfululizo kwa yeyote yule atakayekuja mbele yetu kwahiyo hakikisheni mnetuacha pointi za kutosha la sivyo mtaishia kuwa runner-up.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Hatukua contenders especially kwa bookies hivyo tuna enjoy mpira aisee. Wachezaji hawana presha wana utulivu maana hata hao bookies walituweka nafasi ya 3 mpaka 5 kumbe hao so called contenders wako hoi bin taaban so Liverpool wamechukua fursa kwa mikono miwili and here we are 8 points clear haha...
Safari ni ndefu tunajua na tupo tayari.
Maisha ni kudaka fursa na kusepa nayo.

YNWA
 
Supersport wanaonyesha channel gani? Au kwa kifurushi changu cha 64,000 siwezi kuipata hii mechi?
Hadi nimeamua kustream kwa simu.
 
Back
Top Bottom