ππ Acha abamizwe tu tuzidi kuongeza gap mpaka tuje tukutane na city si ajabu arsenal atakuwa kashaangusha tena point kwingine.Kesho anabamizwa, Man City wa moto asaivi ni balaa, sijui kama hata sisi tutatoka hata suluhu.
Ndio maana wanajifikiria sana juu ya mkataba mpya.View attachment 3221955
Muafrika anayesumbua Wazungu
Tulihitaji na bahati pia janaManyanza
Unakumbuka nilikuambia kuhusu game vs B'mouth na nikasema LFC watashinda nikawa confidence enough kusema 90% LFC watashinda??
Didn't watch the match but through highlights, comments, stats and gurus analyst unaona Iraola alicheza kama nilivyofikiri atacheza. That's why I love Iraola hana uoga anakuja mzima mzima ila kwa akili kubwa.
It could be easy kwenda 1-1, VAR rescue it legally.
Ynwa.
Kwa kweli mna safari ndefu sana. Kocha mmepata mzuri kilichobaki mpeni muda angalau miaka mitatu asuke kikosi cha kusaka ubingwa.Ni huzuni sana vipigo daily. Tunapumzika mara chache sana napo kwa droo
Yani Marmoush ndio aiokoe City[emoji1787][emoji1787]Kila nikitazama mateso wanayopata Manchester City pamoja na ma dolali yote na bado wanae Nguli Txiki Begiristain mtalaam wa soko n network pana ya ma scout nk naona mwanga fulani hivi kwamba hata Klopp hakua miracle worker aisee alifanya makosa kama haya yanayomgharimu Kipara lakin FSG bado wakawa na imani Klopp atashangaza dunia na kupindua meza kibambe matokeo yake tukawa wasdikizaji kwa kipara na leo hii na yeye yamemkuta yaani Mansour anategemea kipara afanye miujiza kufuta haya matokeo mambaya akiwa na hawa wachezaji mmh wa sahau.
Its well documented Udhaifu wa Manchester City ni kiungo mzuiaji yaani bila Rodri jamaa hawana komeo ni weupe pee sasa unajiuliza swali dirisha limekua wazi na hao ma DM wapo sokoni wazuri tu lakini kipara na jopo lake wanakwenda kusajili beki na winga tena kwa ela nyingi tuu binafsi nimeshangaa kuona Kipara akijishika kichwa kuvurugwa na matokeo yaani like how hakika inashangaza sana.
YNWA
π€π€π€π€π€π€Raha sanaaa kuona Pep akiteseka hivi yaani raha sana.Yani Marmoush ndio aiokoe City[emoji1787][emoji1787]
Kwanza goli 3 kati ya 5 ni makosa binafsi haikua mipango ya Arsenal
Pep anahitaji misimu miwili kuirudisha City