Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
😂😂 Acha abamizwe tu tuzidi kuongeza gap mpaka tuje tukutane na city si ajabu arsenal atakuwa kashaangusha tena point kwingine.Kesho anabamizwa, Man City wa moto asaivi ni balaa, sijui kama hata sisi tutatoka hata suluhu.