Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kesho anabamizwa, Man City wa moto asaivi ni balaa, sijui kama hata sisi tutatoka hata suluhu.
😂😂 Acha abamizwe tu tuzidi kuongeza gap mpaka tuje tukutane na city si ajabu arsenal atakuwa kashaangusha tena point kwingine.
 
IMG-20250202-WA0004.jpg

Mohamed Salah in the Premier League this season:
â—‰ Most touches in opp. box (259)
â—‰ Most goals + assists (34)
â—‰ Most goals (21)
â—‰ Most big chances created from open-play (17)
â—‰ Most assists (13)
 
As i said Liverpool will win i gave them 90% to win vs B'mouth.

Cleensheet imekuwa bonus kwangu (Didn't expect), baada ya kuchungulia game before it hadn't played kwenye camera za babu.

Game vs Everton heheh inaogopesha, hawa toffees watacheza kama it's there last game in their life.
Last four matches za toffees under D. Moyes;

Kafungwa 1-0 vs Villa
Wameshinda 3-2 vs Spurs
Wameshinda 1-0 vs Fulham
Wameshinda 4-0 vs Leicester.

Moyes anainusuru Everton kutoka huko chini kimya kimya. Wamempa mkataba wa miaka miwili maana yake they trusted him alot.

Everton vs Liverpool

Hii mechi ngumu but still LFC have my faith to win this match atleast 65%.

Ynwa
 
Manyanza

Unakumbuka nilikuambia kuhusu game vs B'mouth na nikasema LFC watashinda nikawa confidence enough kusema 90% LFC watashinda??

Didn't watch the match but through highlights, comments, stats and gurus analyst unaona Iraola alicheza kama nilivyofikiri atacheza. That's why I love Iraola hana uoga anakuja mzima mzima ila kwa akili kubwa.

It could be easy kwenda 1-1, VAR rescue it legally.
Ynwa.
 
Mkuu The MoNA nimesadiki, hii mechi kwangu nilikuwa naiona itakuwa ngumu sana kutokana na matokeo ambayo Bournemouth walikuwa wanayapata kabla ya jana. Vipi analysis ipo Mkuu?
YNWA
 
Manyanza

Unakumbuka nilikuambia kuhusu game vs B'mouth na nikasema LFC watashinda nikawa confidence enough kusema 90% LFC watashinda??

Didn't watch the match but through highlights, comments, stats and gurus analyst unaona Iraola alicheza kama nilivyofikiri atacheza. That's why I love Iraola hana uoga anakuja mzima mzima ila kwa akili kubwa.

It could be easy kwenda 1-1, VAR rescue it legally.
Ynwa.
Tulihitaji na bahati pia jana
 
Kila nikitazama mateso wanayopata Manchester City pamoja na ma dolali yote na bado wanae Nguli Txiki Begiristain mtalaam wa soko n network pana ya ma scout nk naona mwanga fulani hivi kwamba hata Klopp hakua miracle worker aisee alifanya makosa kama haya yanayomgharimu Kipara lakin FSG bado wakawa na imani Klopp atashangaza dunia na kupindua meza kibambe matokeo yake tukawa wasdikizaji kwa kipara na leo hii na yeye yamemkuta yaani Mansour anategemea kipara afanye miujiza kufuta haya matokeo mambaya akiwa na hawa wachezaji mmh wa sahau.
Its well documented Udhaifu wa Manchester City ni kiungo mzuiaji yaani bila Rodri jamaa hawana komeo ni weupe pee sasa unajiuliza swali dirisha limekua wazi na hao ma DM wapo sokoni wazuri tu lakini kipara na jopo lake wanakwenda kusajili beki na winga tena kwa ela nyingi tuu binafsi nimeshangaa kuona Kipara akijishika kichwa kuvurugwa na matokeo yaani like how hakika inashangaza sana.

YNWA
 
Kuna watu humu eti walikuwa wanafikiri hawa Mamacita wasio na Rodri wala Doku eti wataweza kufanya lolote pale Emirates kwa wababe. Sisi tukawa tunawacheki tu huku tunacheka kwa dharau. Lakini Haaland alifunga...
 
Kila nikitazama mateso wanayopata Manchester City pamoja na ma dolali yote na bado wanae Nguli Txiki Begiristain mtalaam wa soko n network pana ya ma scout nk naona mwanga fulani hivi kwamba hata Klopp hakua miracle worker aisee alifanya makosa kama haya yanayomgharimu Kipara lakin FSG bado wakawa na imani Klopp atashangaza dunia na kupindua meza kibambe matokeo yake tukawa wasdikizaji kwa kipara na leo hii na yeye yamemkuta yaani Mansour anategemea kipara afanye miujiza kufuta haya matokeo mambaya akiwa na hawa wachezaji mmh wa sahau.
Its well documented Udhaifu wa Manchester City ni kiungo mzuiaji yaani bila Rodri jamaa hawana komeo ni weupe pee sasa unajiuliza swali dirisha limekua wazi na hao ma DM wapo sokoni wazuri tu lakini kipara na jopo lake wanakwenda kusajili beki na winga tena kwa ela nyingi tuu binafsi nimeshangaa kuona Kipara akijishika kichwa kuvurugwa na matokeo yaani like how hakika inashangaza sana.

YNWA
Yani Marmoush ndio aiokoe City[emoji1787][emoji1787]

Kwanza goli 3 kati ya 5 ni makosa binafsi haikua mipango ya Arsenal

Pep anahitaji misimu miwili kuirudisha City
 
🤓🤓🤓🤓🤓🤓Raha sanaaa kuona Pep akiteseka hivi yaani raha sana.

Mamosh atulie kwanza wakati wake bado sana. Nimeona kipaji kipo pale.

YNWA
 
Back
Top Bottom