Si kweli!Sisi ni wana soka haswa tunajua soka ina matokeo matatu so hatuwezi kukimbia hapa!!
Unajua msimu uliopita, defensively Liverpool walikuwa sooooo bad.
Lakini kwa sababu walikuwa wakifungwa bao 2 wanafunga 3, wengi hawakugundua.
Ni mpaka msimu huu Liverpool ilipokuwa exposed.
Bado wanafungwa mabao kama msimu uliopita; lakini hawafungi tena.
They could have won the Premiership last season kama wangekuwa na defense imara.
Signs zilikuwa wazi kabisa kwenye ile mechi ya Norwich walioshinda 3-2.
Media wakawafagilia for a thrilling comeback, wakajisahau.
What followed next ilikuwa ni majanga.
Itawachukuwa muda mrefu kufika level waliofikia msimu uliopita.
The most interesting though is that mashabiki wengi wa Liverpool wanadai Feggie ndo chanzo cha wao kutofanya vizuri kabla ya msimu uliopita.
Waliotoa mpaka ushahidi kuwa msimu uliopita Liverpool ilifanya vizuri kwa sababu Feggie hakuwepo. Wachache wakaamini hivyo.
Lakini msimu huu sijui kama watakuwa tena na excuse hiyo.
kwenye defence nakubaliana na wewe....wana beki wao anaitwa Lovren huyu peke yake ashatoa maboko kama 8 ambayo yamesababisha goli au shot on target....goli la RVP lilianza na boko la huyu Lovren, watasubiri sana baada ya kukosa last season,fursa hizo ni chache sana,Chelsea na timu yao nzuri hawajachukua EPL tangu 2010 i think!
Sikuoni kwenye Capital One mbona?
Upo bado FA?
Amekosa mpinzani wa kucheza nae.
Tehe tehe!!!!
Wameanza kucheka mwanzo sisi tutacheka mwisho!
Week hii Britannia Stadium the most difficulty place for visitor to accumulate the maximum points- Ntuzu mna shida Jumatatu ugenini ehehehe!
RRONDO nikisikia Hirshley akitangaza "Benteke is getting better and better" huwa nakimbilia kwenye TV ehehehehe
@agosti kama tu Mentor wao hadi washinde ndiyo wanakuja kutusalimia,the same to EMT na Mbu ila kalon huwa anajitutumua na maumivu yake ehehehe
Tulipoteza mchezo Wa Newcastle kwasababu bahati haikua yetu! Stock City watakua na wakati mgumu sn j3 Usiku!
No point to drop!
Ndugu yangu Stoke City beki zake zinamuweza Costa,Remy na Drogba bila wasi wasi wowote
Siyo mechi rahisi hii kwenu hata kidogo
Hivi wana liverpool wenzangu ni kweli ruddy kutoka norwich ndio ideal replacement ya mignolet??tusipomaliza wa 13 basi mungu yu pamoja nasi
Hivi wana liverpool wenzangu ni kweli ruddy kutoka norwich ndio ideal replacement ya mignolet??tusipomaliza wa 13 basi mungu yu pamoja nasi
hizo ni rumaz tu, for the past 2 weeks, tumekuwa linked na makeeper wengi sana...But tangu juzi tumekuwa strongly linked na OCHOA for £3m, ambaye August Kipind cha usajili alikuwa ni "Free Agent" akaenda Malaga, lakin Sahiv tunamtaka na HELA tu (Transfer commitee ya LFC ni ya kizembe sana)..lakin BR kasema Anahitaji KEEPER na ST mwingine (ingawa upande wa ST inategemea kama Borini ambaye BR is trying to force him out atauzika)..
BUT, reports za kuaminika zinasema we Want Xherdan Shaquir on LOAN, na wakat huo hou Atletico Madrid wapo tayari kutoa £10m kwa Bayern kumchukua Dogo...hii inaonyesha hatupo serious kabisa, we desperately need mchezaji aina ya Shaqir, lakin eti tunamtaka kwa LOAN....imagine loosing such a wonderfull player for just £10m???...
Mignolet wakat yupo Sunderland alikuwa ni GOAL KEEPER mzuri sana, nakumbuka alikuwa anaenda mpka game 6 na CLEAN SHEETS, lakin tangu kaja LFC, amekuwa shit.
Me kwa mtazamo wangu naona, Tatizo la Makeeper LFC linasababishwa na ufundishaji m-bovu wa kocha wa makeeper ACHTERBERG, nakumbuka chini ya huyu jamaa REINA ndo alianza kupotea, as soon as alipoanza kazi pale LFC, Kiwango Cha REINa kiliporomoka sana, na Sahiv tunashuhudia hiki kitu kwa MIGNOLET...me nadhan hata OCHOA akija ataharibiwa tu na huyu jamaa...Kama FSG hawataki kuget rid of BR, basi waipige chini Back-room ile yote, haina msaada wowote kwa team..
Am Glad LOVREN is injured though..
Xhaqiri ni another disaster
Liverpool in maandunje na wakimbiaji wa kutosha, Shaqiri hana aCCURANCY, hana akili ya soka na hana focus
we need a serious player, kama tutshindwa kuleta akina Vidal, Kroos, Higuain, Casilas, Cech then ni bora tubaki tulivyo
Shaqiri hamfikii hata IBE
I think BR ana nia ya kuidestroy kabisa liverpool