Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Punguza uswahili game ilikuwa ngumu
 
I will never forget hiki kipindi…. He carried LCF pakubwa sana
 
Kwa mara ya kwanza last night nilikumbuka tulivyopenya miaka ile ya 2004/5 tukiwa na akina biscan, diaw, carra, smicer, baros, finnan, kewel etc

Tulikua tunashinda lakini moyo ulikua nje ya shati….. and we won Ucl vilevile
 
Kops mkumbuke team ilicheza kwa kuwaheshimu sana PSG mfumo aliotumia slot ni kukaba ila pale tunapopata mpira ni kufanya mashambulizi ya kushtukiza na kutumia nafasi kwa usahihi ,bahati mbaya PSG wakakaba katikati na kufanya Diaz ,Jota na Salah kukosa nafasi kwa kujiamini ...mpira unamatokeo manne KUSHINDA ,SALE ,KUFUNGWA NA BAHATI .Leo tulikuwa na bahati sana .
 
Mkuu, huyu achana nae alikuwa anapumzika tu. Umeeleza kila kitu na kwa ufasaha mkubwa
 
PSG waliizidi Liverpool midfielders..alipoingia Jones baada ya kutoka Diaz...Liver kidogo wakaanza kupiga hata pasi nne.. kwakuwa walikuwa na midfielders wanne tayari
 
Kwa mara ya kwanza last night nilikumbuka tulivyopenya miaka ile ya 2004/5 tukiwa na akina biscan, diaw, carra, smicer, baros, finnan, kewel etc

Tulikua tunashinda lakini moyo ulikua nje ya shati….. and we won Ucl vilevile
Ikiwa tutashinda CL msimu huu, basi performance ya Alisson vs PSG at Parc de Franceitakumbukwa sana, kama ile save vs Napoli msimu tuliobeba CL.

Ynwa
 
I do agree regardless sijawaon Ian & King Kenny ila point hapo ni "Dominant team" na hapa ni on and off the field. Miaka hiyo ndicho kipindi LFC ilibeba makombe mengi zaidi.

Ynwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…