Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool hawana tofauti na jamaa zangu wa pale jangwani 🚮
 
Moja ya exit ambayo haina maumivu ni hii. Ingawaje ingekuwa poa tu kama tungeweza kuendelea hatua inayofuata.

#YNWA.
 

Mimi simlaumu Jota kwa lolote katika mchezo wa jana ila niseme tu ukweli HAKUNA MSIMU HATA MMOJA AMBAO JOTA KAIBEBA LIVERPOOL.
Huo msimu haupo! Jota ni homa za vipindi tu kuna mechi 4 au 5 anaibuka halafu anapotea mechi 15.
Ingawa ukisema INCONSISTENCY ya Jota hapa tunaletewa useless Takwimu eti tunaambiwa Jota ni Clinical Finisher! Labda awe Clinical Medicine ila sio kwenye mpira.
 
Wakuu, tunaanza kumsifia Allison saa ngap? 😂
Amefanya save moja hatari sana, otherwisehata kwenye matuta tusingefika., ila kwenye penalty kakutana na wapiga penalty waliojiandaa kisawasawa. Becker katubeba sana Liverpool, wachezaji pia wamechoka sana sana sana. EPL kila team ni kama PSG, sina chakuwadai wachezaji, wakomae EPL mechi 3 zinazofuata tupate ushindi kwanza.
 
Tusisahau Arsenal alimfunga PSG tena kimpira na sio kibahati kama tulivyoshinda sisi pale Paris.

Hivyo Mshabiki wa Liverpool hana uhalali wowote wa kumcheka Arsenal msimu huu unless awe dumbass.
Ni mawazo yako mkuu na una haki ya kusema kutokana na uwezo wako wa kufikiria. Vipi lakini mmoja wetu akajaribu kuingia kupitia mlango wa Westham, nimejaribu tu kuwaza kwa sauti.

# This tracherous game called FOOTBALL.
 
Ni rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko Arsenal kubeba UEFA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…