Liverpool FC (The Reds) | Special Thread


Mkuu MosDef, sijamlaumu BR kwa performance mbovu bali kwa kuwaacha watu ambao walikuwa wamefeli kwa game ya jana kama Gerrard ambapo mi nadhani lallana ilikuwa ni sub nzuri he's trickery na tayari Terry na Ivanovic walikuwa na kadi za njano hapo kungeongeza pressure kwao maana walikuwa na kutana na mtu mwenye speed.


Kushinda mechi ya jana ilikuwa ni hatua ya mwisho ya kumpeleka Gerrard Wembley, ningependa kuona Gerrard anaondoka na vikombe atleast viwili.


Katika strikers tuliyonao ukitoa sturridge mwenye afadhali ni Lambert sema hana speed tu na tangu tumeanza kuutumia huu mfumo wa 3-4-3 lambert kacheza game mbili na zote kaingia sub na kafunga goli moja ingekuwa vizuri kama tungeanza na lambert.

Mignolet ame-improve sana lazima tumpe credit kwa hilo. Sasa waweke nguvu zao wenye game na west ham kama tutashinda tutakuwa kwenye nafasi nzuri sana ya kurudi top4.


3-4-3 na 4-4-2 diamond, kwa kuwa kuna tetesi kuwa Sturridge atarudi game ya west ham, mi nadhani we should switch to 4-4-2 diamond ili kumpunguzia pressure maana ni injury prone, tukiwa na striker wawili itasaidia countinho acheze kwenye tip ya diamond. Kwenye 3-4-3 ni nzuri ila chances za sturridge atakuwa vulnerable kuwa injured.
 
Last edited by a moderator:

Bayen wanamtaka? Aende tu...huyu dogo mbinafsi sana aisee...yaani inaonekana hakujifunza kitu kutoka kwa Suarez kabisa
 
Tunaweza zungumza yote ila Mignolet anastahili credit nyingi he's the beast now, hatetereki hata akiwa anam-face ST (mfano jana kwa Costa)

Still believe kwa MB ingawa anafanya some blunder nilichokiona kwenye gemu kadhaa Coutinho ni mgumu kumpa mipira MB even yupo kwenye good position .... tusubiri ujio wa DS kama watacheza pamoja na MB pale mbele(hata kwa dk 60) I BET IN THREE MATCH MB CAN SCORE 4 GOALS.

Mwenye taarifa ya the beast Sakho kuhusu injury yake jamaa anaendeleaje?
 
I love my club...no matter we win or lose,LFC will always be in my heart...

The greatest English football club with an amazing history and fantastic fans across the world....

and this short video clip shows why this is the club of my heart....

hapa Ni Australia,kwenye moja ya pre season matches.....it was against Merborne Victory...

Look at these fans....

https://www.youtube.com/watch?v=5iLL57puZPM


YOU'LL NEVER WALK ALONE....


#RedOrDead

CC. Janjaweed MosDef Malafyale mak89 Ed n Edd nEddy Tisha-TOTO osokonoi Pazi Asprin miss chagga....

Bila kuwasahau HATERS wote wa manure wakiongozwa na RRONDO.....
 
Last edited by a moderator:

thank u sana
 
Poleni sana!!

Ila BR ni mwanafunzi kwa Mourinho.... He still have to learn!
 

najua huwa hampati usingizi bila kutaja hio timu....poleni kwa kuchapwa jana lakini ni kawaida tu mlitegemea nini sasa kama hata kwenu mlishindwa!
 

BR na FSG wamefanya blunder katika mkataba wa SG, na hakuna turning back yoyote..ile game ilikuwa inahitaji presence ya SG..

Coutinho alikuwa na Room kubwa jana, coz SG alifanikiwa kule kwenye zone ya mbele, kuizima ile balance ya Matic, coz Matic alishindwa kukibalance kiungo jana, Na movements za SG zikafanya akina Terry kukatika mara kwa mara, SG alifanya chochote kile ili kuwaacha Countinho na Raheem wasumbue mbele kule...

Jana Hendo (captain wenu mtarajiwa) ndo kachemsha sana, ye ndo alikuwa na kazi ya kuwacover SG, Phill na Raheem, lakin cha ajabu Lucas na Leiva ndo wakawa wanafanya hiyo shughuli, kitu kilichopelekea mpaka markovic kuingia ndan kidogo kutafuta mipira, na kumuachia Emre Can abak peke yake na Hazard...

Ukimwaribia Matic balance kwenye Kiungo, Cesc anakuwa na madhara kidogo sana, Na kumstress Matic kuna hitaji legends kama SG, Lallana hawez fanya kazi hyo hata kidogo, Na sidhan kama BR ndo huwa anamwelekeza hivyo bali antumia ukongwe wake tu kuusoma mchezo...na ndo maana replacement ya SG inatakiwa iwe kubwa sana, mtu kama Javi Martnez anatakiwa kuja kucover hiyo void ya SG (atleast)..

Yeah! kurud kwa Danny, that means lazima formation iwe switched, unless kama BR atataka kumdrop Markovic or Sterling.. na kurudi kwenye back-4..kitu ambacho me nafikir tungestick na mfumo huu huu... Sakho, Can and skritel wako so composed at the back, hii inampa hata kujiamini Mignolet..

GJ game ya Bolton alicheza kama LCB, na he bossed ule upande..
 

Thats the LFC way man!!!!!

DOPE saaaana!!!!!
The Magnificent A.K.A Teixeira!!!

hahahahah!!!!
 
Last edited by a moderator:

Yaani bila kutaja MANU hamsikiii raha kabisaaaa.....
 
Last edited by a moderator:
Chelsea striker Diego Costa has been charged with violent conduct over his clash with Liverpool's Emre Can on Tuesday night.




A statement from the Football Association confirmed Costa's alleged stamp was missed by all four officials on duty for the second leg of the Capital One Cup semi-final at Stamford Bridge.
 

The crowd is amaizing
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…