The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
mkuu hupendi timu yako ikibeba kombe sio...pia vilevile kumbuka ueropa lig ni moja ya njia ya kufuzu champions league endapo mngebeba hlo kombe ilhali kwny top four hakueleweki
Dany alikua mzigo kuliko Balotelli kwa leo
to be honest,nilitaka sana tutoke kwenye mashindano haya na thanks god tumetoka,hebu angalieni idadi ya majeruhi tulionao,angalieni fixtures za epl,kwa timu yetu hii tusingefika popote,sanasana tungeendlea kutengeneza majeruhi na huku ligi inaelekea mwishoni,sasa hivi at least wachezaji watapata recovery time,watajiandaa kwa game moja kwa wiki,etc. Siyapendi mashindano ya europa league kwa sababu yanachezwa alhamis
Kama tutapoteza game ya City basi tunaweza poteza muelekeo, ivyo lazima tushinde na tukishindwa basi hata sare ili tusipoteze consistency
Sturridge alikuwa na injury... sasa kwa nini BR hakuanza na Lambert...
City HATOKI Anfield!!!
Mark hii Post!!!
br atakuwa kashukuru kweli!!!
City HATOKI Anfield!!!
Mark hii Post!!!
Lawama zangu mi kwa BR na sturidge lovren ni bahati mbaya tu...wala ata secobd half atukutakiwa kufika hii game iilishaisha mapema kbsa.!!
Ngoja niyahifadhi haya maneno, kocha wako haeleweki
Ha ha ha na akishindwa kuiweka team top4 itakua dah
Tehteh mmetoka kwenye machimboni sio hehe tunakubali tumefungwa hakuna sababu zengine lol Nyie mlitolewa lini au bado mpo? Bora Arsenal wanamatumaini ya dk 90 then watarudi kwenye Reality soon nao Uengereza hakuna football ni matangazo tu Yamebakia.Mkubwa hapo una maanisha nini kuwa mwakani watarudi tena?
Poleni sana liver kwa kutolewa
Pazi sisi sote ni ndugu acha kuwa unajificha ficha
Europa kuna BENITEZ huko!!
Fedheha Zingezidi!!!
sijaona sababu ya kumtoa Balotelli alaf sturdge aka baki ttzo kuna uingereza kwenye hii team.
Naona English teams zinaondolewa zote, hadi huku naona mambo si shwari
Dah tukomae na top4 kwasasa, but nilitamani jamaa (BR) ashinde kitu msimu huu, no pbm ana chance moja now FA cup