Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

mkuu hupendi timu yako ikibeba kombe sio...pia vilevile kumbuka ueropa lig ni moja ya njia ya kufuzu champions league endapo mngebeba hlo kombe ilhali kwny top four hakueleweki

Kwa timu na kocha tulienae kwa sasa tusingefika popote ndugu yangu,bora tumetoka mapema tukaconcentrate na EPL,hata tungefika fainali afu tusichukue kombe na tayari tumekosa top4,ingekuwa nonsense.
 
Manure Utd fans trolling LFC fans!!!! ImageUploadedByJamiiForums1424985280.114795.jpg
 
Kama tutapoteza game ya City basi tunaweza poteza muelekeo, ivyo lazima tushinde na tukishindwa basi hata sare ili tusipoteze consistency
 
to be honest,nilitaka sana tutoke kwenye mashindano haya na thanks god tumetoka,hebu angalieni idadi ya majeruhi tulionao,angalieni fixtures za epl,kwa timu yetu hii tusingefika popote,sanasana tungeendlea kutengeneza majeruhi na huku ligi inaelekea mwishoni,sasa hivi at least wachezaji watapata recovery time,watajiandaa kwa game moja kwa wiki,etc. Siyapendi mashindano ya europa league kwa sababu yanachezwa alhamis

br atakuwa kashukuru kweli!!!
 
Lawama zangu mi kwa BR na sturidge lovren ni bahati mbaya tu...wala ata secobd half atukutakiwa kufika hii game iilishaisha mapema kbsa.!!

Why BR bro???

Henderson, Coutinho etc, wangecheza leo, energy ya kuifunga City ingetoka wapi???

And after all, ni Europa league bro!!!!...

haina HAJA ya kuMoan!!
 
Mkubwa hapo una maanisha nini kuwa mwakani watarudi tena?

Poleni sana liver kwa kutolewa
Pazi sisi sote ni ndugu acha kuwa unajificha ficha
Tehteh mmetoka kwenye machimboni sio hehe tunakubali tumefungwa hakuna sababu zengine lol Nyie mlitolewa lini au bado mpo? Bora Arsenal wanamatumaini ya dk 90 then watarudi kwenye Reality soon nao Uengereza hakuna football ni matangazo tu Yamebakia.
 
Naona English teams zinaondolewa zote, hadi huku naona mambo si shwari

Chelsea wataendelea, ndiyo mwakilishi pekee wa kueleweka wa EPL kwenye michuano ya UEFA! Poleni l/p, japo siyo ajabu ukitilia maanani current position ya l/p kwenye premier league. Ila nafasi bado iko wazi tofauti na arsenal waliobakiza nafasi ya kwenda kufanya utalii ufaransa!
 
Back
Top Bottom