Why BR bro???
Henderson, Coutinho etc, wangecheza leo, energy ya kuifunga City ingetoka wapi???
And after all, ni Europa league bro!!!!...
haina HAJA ya kuMoan!!
FA kuna CHANCE kubwa SANA!!!
EUROPA ingepoteza malengo Mengi!!!
. Hakuna cha Energy wangetoa wapi wanalipwa kwa week pesa nyingi mbona timu zengine wanacheza hawaleti zarau sheria Kote lazima mtu mjitume makombe yote hakuna kulaza damu angekuwa benitez usingeona Players Kuwa Lazy vile au asimame tu kimya anajuwa amepewa kazi ili awe traffic kwa wachezaji Mie binafsi kila kombe muhimu sipendi sababu za Bora tumetolewa kombe hili soon Brendan Rogers ndio anatakiwa kuitwa Specialist in failure na si Wenger.Why BR bro???
Henderson, Coutinho etc, wangecheza leo, energy ya kuifunga City ingetoka wapi???
And after all, ni Europa league bro!!!!...
haina HAJA ya kuMoan!!
. Hakuna cha Energy wangetoa wapi wanalipwa kwa week pesa nyingi mbona timu zengine wanacheza hawaleti zarau sheria Kote lazima mtu mjitume makombe yote hakuna kulaza damu angekuwa benitez usingeona Players Kuwa Lazy vile au asimame tu kimya anajuwa amepewa kazi ili awe traffic kwa wachezaji Mie binafsi kila kombe muhimu sipendi sababu za Bora tumetolewa kombe hili soon Brendan Rogers ndio anatakiwa kuitwa Specialist in failure na si Wenger.
Mkuu naona vipigo vya Arsenal na Liverpool Europe vinakufariji. Maumivu ya kukosa mid-week games yameshapotea. Anyway Manchester United fans mtaendelea kujutia kustaafu kwa Fergie kwa msimu mwingine.
Pole kaka yangu Malafyale hukutumia ile plan B...pole Ed n Edd nEddy.
Poleni sana...ila mwakani mtarudi tena Europa..
Nacheza CL mwakani kiurahisi kabisa!Ww utarudi Europa Mungu akisaidia
Kama ulivyosonga mbele kiurahisi leo mbele ya Besiktas 😂😂😂😂😂
Nimekwambia uweke bet, unarukaruka tu 🙈🙈🙈🙈🙈
Kalele zinakuwa zinapungia mjini
..Si unaona hata Pazi anaonekana kwa kunyata.
Mwisho wa msimu utajua kama tunajuta kuhusu Fergie kustaafu au la
...utd watamaliza juu yenu na liver
#Bookmark 02/26/2015
Nina uhakika na nilichokiandika
Mwezi wa tano tutakumbushana kuhusu jambo hili.
Jumapili kama namuona Lukaku atakavyokuwa anacheka na nyavu... na kule Aguero atakavyoondoka na mpira wake baada ya kutupia tatu