Tee Bag
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 7,220
- 5,622
Why BR bro???
Henderson, Coutinho etc, wangecheza leo, energy ya kuifunga City ingetoka wapi???
And after all, ni Europa league bro!!!!...
haina HAJA ya kuMoan!!
Tulifanya hivi na real Madrid tukafungwa tukacheza na Chelsea pia tukafungwa, hatujifunzi tu