Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nafikiri umepata jibu lile unapenda kusikia.......

Mkuu mi huwa sio muumini wa "conclusion" kabla ya Event yenyewe!!Ulichokiongea sasa ndicho sahihi ili ikija kutokea tofauti na ulivyotaka ku conclude hautaweza kuhukumiwa kabisa
 
Mkuu let us see and wait

Chochote chaweza kutokea muda wowote
 
Mlinibishia sn asubuhi leo...sasa yametimia haya hapa sasa.

Liverpool's Martin Skrtel charged over 'stamp' on David De Gea

Liverpool defender Martin Skrtel has been charged with violent conduct over an alleged stamp on Manchester United goalkeeper David De Gea.

The incident happened in injury time during the Reds' 2-1 Premier League defeat at Anfield on Sunday.

The Slovakia international, 30, has to respond by 18:00 GMT on Tuesday and the offence carries a three-match ban.

Referee Martin Atkinson did not see the incident but three former officials agreed it was a sending-off offence.

The trio made the decision after reviewing footage of the incident.

Unless Skrtel successfully appeals he will be banned for Liverpool's Premier League matches at Arsenal (4 April) and at home to Newcastle (April 13), plus the FA Cup quarter-final replay at Blackburn on 8 April.

Captain Steven Gerrard will also miss those matches
 
Mkuu mi huwa sio muumini wa "conclusion" kabla ya Event yenyewe!!Ulichokiongea sasa ndicho sahihi ili ikija kutokea tofauti na ulivyotaka ku conclude hautaweza kuhukumiwa kabisa

Mh! Siyo wewe ulisema United hatoki kwa Liverpool?
 
Mkuu mi huwa sio muumini wa "conclusion" kabla ya Event yenyewe!!Ulichokiongea sasa ndicho sahihi ili ikija kutokea tofauti na ulivyotaka ku conclude hautaweza kuhukumiwa kabisa

Huyu ndiye "siyo muumini wa conclusion kabla ya event yenyewe"!!

Yani unataka kusema Man U msimu huu alivyo mbovu atapona kwa City, Arsenal, Chelsea, Kwetu, na kwa Everton
 
Doh! Sawa basi United haikutawala, Loserfools walitawala lakini wakaishiwa kupewa dozi. Nani mjanja?!?

Unatia huruma ewe kigeugeu kama Zitto Kabwe. Nashangaa mods hawajakupa bans kama walivyopewa Root na Salamander kwa kusema wafanywe iwapo R. Madrid hawatashinda.
 
Last edited by a moderator:
Huyu ndiye "siyo muumini wa conclusion kabla ya event yenyewe"!!

Mkuu usilazimishe saaaana hapo, hakuna mahali pameandikwa kua Man U atapigwa, nilimwachia swali muongeaji aliyetangulia.
 
Huyu ndiye "siyo muumini wa conclusion kabla ya event yenyewe"!!

Jst to remind u,before the game nilikuambia maneno yetu hayawezi hamua mchezo tusubiri dk90 jumapili....so unge quote iyo ingekua vyema, ila si swali lililotaka kujua mtazamo wa mtu.
 
kipigo cha jana kibaya sana, tumekua wapoleeee

I still think starting Sturridge slows our attack down, and sub ya ---- wasnt neccesary
 
Nakupinga kwa hoja!

Kutawala bila ku create any chance ni kutawala gani sasa?Mlikuwa mnataka Herera akiwa anapiga pasi golini kwake Liverpool wakamkabe?

Siwezi kujitoa sababu nimepoteza mchezo kwa ajili ya SG sio soka la uwanjani
 
Last edited by a moderator:
Nakupinga kwa hoja!

Kutawala bila ku create any chance ni kutawala gani sasa?Mlikuwa mnataka Herera akiwa anapiga pasi golini kwake Liverpool wakamkabe?

Siwezi kujitoa sababu nimepoteza mchezo kwa ajili ya SG sio soka la uwanjani

Chifu, umeshinda kwa hoja, kwamba Liverpool walitawala mchezo.
 
Ntuzu hii notion yako kama BR hashindi teams kubwa anakuwa hana back up ya kum support

Man U mwaka jana nimempiga home and away=fact

Mwaka jana Arsenal kanipiga kwake nikampiga kwangu=fact

Man City mwaka jana nimempiga kwangu kanipiga kwake=fact

Sasa madai kama BR anafungwa na team kubwa ipo wapi?Man U ni team kubwa zaidi ya Chelsea na BR kampiga mara mbili kwenye league
 
Last edited by a moderator:
Skrtel kukosa mechi na Arsenal ni pengo sana!Huyu ni moja kati ya CB bora kabisa kwa sasa EPL

Sakho alikuwa bora kabisa ktk game na Man U sababu anajua akikosea Skrtel ata cover,sasa atacheza Lovren daaah
 
Daaah kumbe habari ya Skrtel ipi hapa tayari!

Huwa siwaelewi kabisa FA kwa kweli!Atakosa mechi 3 daaah

Mkuu jana nilikuambia mapema kabisa kua Martin Skrtel aadhibiwe lkn ulikataa kwa misukumo ya kiushabiki....lkn km ukiangalia kile kitendo alichofanya Skrtel kwa De Gea km mwaamuzi angemuona basi lazima kadi nyekundu ilikua imshukie.....Maana alivofanya SG ni sawa alivofanya Skrtel na ni sawa alivofanya Costa kwa Can.......

Hapa FA wametende haki kabisa.......
 
Reactions: Nzi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…