MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Wapenzi wa mpira bana. Sometimes wanakuwa vigumu kuwa rational, fikiria kama Liverpool wangemsajili wakati wanajua kuwa kafail second medical test then kesho au keshokutwa Remy akaanguka mpirani na kukimbizwa hospitalini ikagundulika chanzo ni moyo, Je mngeilewa na kuwaelewa Liverpool na viongozi wake? Moyo ni kiungo(organ) iliyo delicate wakuu, msilaumu sana. isitoshe jamaa ana historia ya tatizo hilo na mara nyingi historia huwa inajirudia(hasa katika Afya ya binadamu). Mnakumbuka kuna Mcameroon na Mspaniard walifia uwanjani kwa sababu ya ugonjwa wa Moyo? Hii kitu sio ya kuchukulia lelemama hata kidogo. Afu issue ya Remy ni tofauti na ya Kanu ambaye pamoja na kufanyiwa operesheni ya Moyo, kama sikosei hakufail medical test alipohamia Arsenal, Portsmouth, etc. Kama Remy angefail kitu kingine labda angepewa nafasi, nakumbuka Ruud van Nistelrooy naye alifail test ya goti lakini SAF alimpa nafasi
LFC hawajaconfirm kuwa tatizo ni MOYO..habari za ndani zinasema ni knee problem.
LFC wame issue statement kuwa tu, remy kafail medical, hawajatoa sababu.
Speculations za MOYO zimekuja baada ya record yake ya kufail marseille.