Jamaa kafafanua poa sana.
Sana hata mie nimemkubali na nitawa-follow hao ''itk'' ili niwe najiridhisha na other sources mkuu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa kafafanua poa sana.
Best katika hao ni Indykaila kwenye twitter jamaa utacheka anachukiwa na kupendwa sababu ni Muhindi na Wahindi wengi wanafanya kazi KFC basi watu wanaumuita KFC wengine Kama unavyowajuwa wazungu na tabia zao humrushia mpaka maneno ya ubaguzi ila jamaa anaendelea na kazi yake tu wanaompa Nguvu wanamuita Cheif hehehe! Ila Dimarzio sio itk Huyu Dimarzio twitter yake sana Italy na Timu mchezaji Italy aki link na British Football anaongelea Sema utaona Kitaliano ameiwekea link kwa English pia jamaa ndio aliosema mwanzo Ashley Cole na Evra kwa kuhusiana na Italy mpira na hata Loic Remy yeye ndio wa kwanza anawajua ma Agent wa wachezaji wengi.Sana hata mie nimemkubali na nitawa-follow hao ''itk'' ili niwe najiridhisha na other sources mkuu!
Sana hata mie nimemkubali na nitawa-follow hao ''itk'' ili niwe najiridhisha na other sources mkuu!
Best katika hao ni Indykaila kwenye twitter jamaa utacheka anachukiwa na kupendwa sababu ni Muhindi na Wahindi wengi wanafanya kazi KFC basi watu wanaumuita KFC wengine Kama unavyowajuwa wazungu na tabia zao humrushia mpaka maneno ya ubaguzi ila jamaa anaendelea na kazi yake tu wanaompa Nguvu wanamuita Cheif hehehe! Ila Dimarzio sio itk Huyu Dimarzio twitter yake sana Italy na Timu mchezaji Italy aki link na British Football anaongelea Sema utaona Kitaliano ameiwekea link kwa English pia jamaa ndio aliosema mwanzo Ashley Cole na Evra kwa kuhusiana na Italy mpira na hata Loic Remy yeye ndio wa kwanza anawajua ma Agent wa wachezaji wengi.

Jay Riley (@Jay_78_)
Graeme Kelly (@GraemeKelly1)
Karl (@Karlton81)
Moley (@Moley_LFCDT)
Peter phillips (@PeterPhillips_)
Kuna huyu red army (@19YNWA)
Kuna Anfield HQ (@AnfieldHQ96) huyu ana mpaka website...
BUT hawa ndo wenyewe sasa!
James Pearce
Tony Barret
Ben Smith
Neil jones (siyo sana lakin)
Hata Bascombe wa Telegraph nae ni mzuri.kuhusu habari za LFC
Na Paul Joyce pia...
Hivi hii inaweza kutokea dunia hii???
Nimeona... Nadhani liverpool wanamtaka....
Hope atabadilika....
Sio mbaya make club yake wameshusha ada hadi m14£.
Hivi hii inaweza kutokea dunia hii???
kwanini Rogers ham hamchezeshi Reina? Kamkosea nini sipendi kumuona Jones golini Mie.
kwanini Rogers ham hamchezeshi Reina? Kamkosea nini sipendi kumuona Jones golini Mie.