Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

true game Leo ukweli sio mbaya japo Man United wametufunga haimaanishi wabovu Mie nafikiri tukubali Man United wamejitahidi na wamebadilika kati ila ukiitizama Game Leo LFC ilicheza vizuri tofauti ni Strikers kungekuwa na Real Strikers Pengine game ingekuwa tofauti hata tungeshinda Leo ukweli wa Strikers usipotee timu nzuri ila umaliziaji isipokuwepo tusitegemee magoli Kuwepo! Tuwape hongera zao Man United wamehitaji zaidi hii game kuliko sie.
 
Bila striker wa maana,msimu huu hatufiki kokote,just mark my words pazi.
 
Sio strikers tu na Dribbler wa mpira atayechezesha muhimu ila timu imecheza vizuri Raheem na Sakho ndio waliocheza vizuri ila GJ Mie bado namuona anapenda kusinzia Sema game ilikuwa nzuri kwa timu zote mbili japo speed haikuwa kubwa.
 
Team siyo mbaya kabisa na nakukumbusheni tu kuwa hatukuwa na strikers wote wawili pale mbele!

Kama Stur angecheza leo hawa Man U wangeondoka tu maana tunafika kabisa golini tatizo ni kufunga!
 
Tunahitaji striker haraka... Bony au Falcao plz....

Ila team inacheza vizuri.....
 
Mkuu,hv mechi huwa mnacheki kwa channel gan? Make supaspoti naona hawaoneshi kbs.

Ilikuwa inaonyeshwa FOX,SKYSPORT NA ONLINE,
Mie binafsi naona heli tumefungwa sasa kuliko kufungwa ligi imeanza,ukiangalia vizuri magori ya man kuna uzembe wa kuwa makini kwa beki zetu.Tatizo hili lilitugarimu msimu uliyopita,Liver inaongoza watu wanatoka nyuma wanasawazisha na kupata ushindi,
Mfano dk 3 zimezaa gori mbili kwa man 55 na 57 pia dk 3 za mwisho 86 na 89 zilizaa gori mbili moja alikuwa gori,
Magori mawili la pili na la tatu yalifungwa maeneo yaleyale kwenye mstari wa 18, Tatizo la mwaka jana linaanza sasa,Liverpool ilitengeneza nafsi nyingiza za kufunga lakini hatukuzitumi na jana hivyo hivyo
Bora tumefungwa tujifunze sasa.Kocha ingia sokoni mapema,Naona deal la Merone linakalibia kwa Pound 18m
 
Thanks mkuu
 
Mkuu,hv mechi huwa mnacheki kwa channel gan? Make supaspoti naona hawaoneshi kbs.

ESPN-USA wameonyesha game hizi!Tumecheza vizuri sana tunafika golini lkn hamna strikers wale 2 pale mbele!Lambert ni madudu matupu na nashukuru matokeo haya yatamfanya BR alete strikers mpya maana Lambert ange perfom vyema BR angemuamini asingeleta striker!

Then Gerrard jana alikuwa saafi sana,ana tackle anapiga pasi ndefu lkn BR akamtoa mapema tu na ndipo balaa la kuzidiwa kwenye possession likawa kubwa!Bao la Rooney na lile la 3 keeper wetu nae jana mhh

Man of the match kwetu ni Sterling na Sakho
 
Thanks mkuu

Mkuu toa wasiwasi,vijana wanacheza vyema sana tatizo pale mbele hakukuw ana mtu!Angekuwepo Stur na Markovic hawa Man U wetu kabisa!Kipindi cha kwanza tumetengeneza nafasi nzuri na nyingi zaidi yao lkn keeper De Gea kaokoa bao 2 zilizokuwa zinaenda kabisa nyavuni!

Goli la Man u la Kwanza dakika ya 55 ni la keeper wetu na ni goli rahisi mno!Goli la 2 la Matta ni unexpected ambapo ulikuwa mpira usio na madhara Mignolet anachupa kuupangua ukamgonga Sakho ikawa deflection!Bao la 3 ndiyo jepesi zaidi!Nina uhakika Lovren na Stur na Markovic au Lallana wangekuwepo hawa wachumba tu kwetu!
 
Hehehe kuna Mkereketwa mwenzangu Leo sijamuona timu ikifungwa Hana Hamu Mosdef ila kaka njoo tu si kwamba tumefungwa game ya kukosa usingizi au tulicheza vibaya ni tumecheza vizuri na wao wamecheza kwa kadri ya kumuonyesha manager nani anataka Kubaki! Ila tutizame yetu ya kwetu ni kwamba Mignolet anahitaji kujifunza kupiga mipira kwa mguu vizuri na awe na mwenzake wa kweli Bench Kama mabeki tutamaliza ku sign hao wanaotajwa nyuma kutapendaza na katikati ya uwanja kumenifurahisha zaidi ila ukweli tunahitaji Middle mmoja anayeweza number 8 na 10 kwa upamoja yani anakaba na anafunga mabao kutokea Middle mengi 8 anapiga na 10 anapiga Huyu hata kuchezesha striker anakuwa Mzuri na Striker wa ukweli vichwa yupo ubavu yupo kuzuia mpira yupo na nyavu ndio uponaji wake ndio muhimu sababu game ya Jana ndio tulipojifunzia Hilo ndio tofauti si kwamba timu imefungwa na kusema dah timu limekuwa bovu ni timu imetia matumaini nakushukuru tumefungwa Rogers atapata kuelewa ukweli na raha zaidi timu inarudi England watafikiria kwa unmakini zaidi hata tungeshinda ile game ukweli ulikuwa ni Striker sababu 1-0 nilijuwa game inaisha Hivyo kwa namna game ilivyokuwa Inaenda huo ndio ukweli nafikiri Malafyale kaona nilichoona.
 
Wakuu,kwa wiki mbili sasa nipo huku kijijini kwetu Sitimbi,sina acess ya kuangalia mpira kbs,zaidi ya kufuatilia updates hapa kwenye kamchina kangu,sijaiona timu tangu iende US,but hopeful they are duing great!
 
Mkuu towa wasiwasi mambo yapo ok tu kuwekwa sawa tu tukumbuke Henry mpaka sasa si wakuja kulaumiwa wala Mashabiki ni wachezaji na Rogers so tu namuachia Rogers akileta ujinga asitulaumu wala asimlaumu Henry wala hatutomlaumu Henry! Bora upo Kijijini unapata Organic na Viagra asili(Mihogo Mabichi) vyakula vya ukweli ukirudi usitusahau hata matunda huku Urojo tu na Chips Mafuta yatauwaaaaa!
 
ha hahaha ha haha! Poa mkuu
 
Hehehe kuna Mkereketwa mwenzangu Leo sijamuona timu ikifungwa Hana Hamu Mosdef ila kaka njoo tu si kwamba tumefungwa game ya kukosa usingizi au tulicheza vibaya ni tumecheza vizuri na wao wamecheza kwa kadri ya kumuonyesha manager nani anataka Kubaki! Ila tutizame yetu ya kwetu ni kwamba Mignolet anahitaji kujifunza kupiga mipira kwa mguu vizuri na awe na mwenzake wa kweli Bench Kama mabeki tutamaliza ku sign hao wanaotajwa nyuma kutapendaza na katikati ya uwanja kumenifurahisha zaidi ila ukweli tunahitaji Middle mmoja anayeweza number 8 na 10 kwa upamoja yani anakaba na anafunga mabao kutokea Middle mengi 8 anapiga na 10 anapiga Huyu hata kuchezesha striker anakuwa Mzuri na Striker wa ukweli vichwa yupo ubavu yupo kuzuia mpira yupo na nyavu ndio uponaji wake ndio muhimu sababu game ya Jana ndio tulipojifunzia Hilo ndio tofauti si kwamba timu imefungwa na kusema dah timu limekuwa bovu ni timu imetia matumaini nakushukuru tumefungwa Rogers atapata kuelewa ukweli na raha zaidi timu inarudi England watafikiria kwa unmakini zaidi hata tungeshinda ile game ukweli ulikuwa ni Striker sababu 1-0 nilijuwa game inaisha Hivyo kwa namna game ilivyokuwa Inaenda huo ndio ukweli nafikiri Malafyale kaona nilichoona.

Hahaahahahah!

We've spent like £100m and we didn't have a proven striker on the pitch jana usiku...

Nadhan itakuwa imewashtua LFC stuffs pia, we desperately need a ST..

And kinachoogopesha zaidi, game yetu na Man city ipo karibu sana..tusije tukatia aibu aisee!!!
 
Nimecheki game mbili, tatu za Guiness championship ki ukweli tunahitaji striker hasa hasa finisher atayesaidiana na Sturridge. Tunao watu wa kutoa pasi za mwisho wa kutosha ila tunakosa finisher. Kuwategemea attacking midfielders kufunga tutakuwa kama chelsea mwaka jana
 
Hahaahahahah!

We've spent like £100m and we didn't have a proven striker on the pitch jana usiku...

Nadhan itakuwa imewashtua LFC stuffs pia, we desperately need a ST..

And kinachoogopesha zaidi, game yetu na Man city ipo karibu sana..tusije tukatia aibu aisee!!!

Apart from the old Lambert, the backUp ST on the bench was PIETERSON.

Tunahitaji sana ST..idara zote zipo sawa now, i mean kwa Defense na mids tushakujaza sana...we need to work hard kumapata a decent ST au AM...na ST wa maana wanapatikana kwa uchache sana.

Just tupa jiwe gizani la £40m pale madrid, afu wasikizie watareact vipiiiiiiii!!!!!!!...
 
Back
Top Bottom