The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,249
BR anapiga porojo tu,sturidge mgonjwa kila siku,Borini kimeo,Lambert mzee! Nani atafunga? We really need a striker,proven striker!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
true game Leo ukweli sio mbaya japo Man United wametufunga haimaanishi wabovu Mie nafikiri tukubali Man United wamejitahidi na wamebadilika kati ila ukiitizama Game Leo LFC ilicheza vizuri tofauti ni Strikers kungekuwa na Real Strikers Pengine game ingekuwa tofauti hata tungeshinda Leo ukweli wa Strikers usipotee timu nzuri ila umaliziaji isipokuwepo tusitegemee magoli Kuwepo! Tuwape hongera zao Man United wamehitaji zaidi hii game kuliko sie.
Sio strikers tu na Dribbler wa mpira atayechezesha muhimu ila timu imecheza vizuri Raheem na Sakho ndio waliocheza vizuri ila GJ Mie bado namuona anapenda kusinzia Sema game ilikuwa nzuri kwa timu zote mbili japo speed haikuwa kubwa.Bila striker wa maana,msimu huu hatufiki kokote,just mark my words pazi.
Sio strikers tu na Dribbler wa mpira atayechezesha muhimu ila timu imecheza vizuri Raheem na Sakho ndio waliocheza vizuri ila GJ Mie bado namuona anapenda kusinzia Sema game ilikuwa nzuri kwa timu zote mbili japo speed haikuwa kubwa.
Tunahitaji striker haraka... Bony au Falcao plz....
Ila team inacheza vizuri.....
Mkuu,hv mechi huwa mnacheki kwa channel gan? Make supaspoti naona hawaoneshi kbs.
Ilikuwa inaonyeshwa FOX,SKYSPORT NA ONLINE,
Mie binafsi naona heli tumefungwa sasa kuliko kufungwa ligi imeanza,ukiangalia vizuri magori ya man kuna uzembe wa kuwa makini kwa beki zetu.Tatizo hili lilitugarimu msimu uliyopita,Liver inaongoza watu wanatoka nyuma wanasawazisha na kupata ushindi,
Mfano dk 3 zimezaa gori mbili kwa man 55 na 57 pia dk 3 za mwisho 86 na 89 zilizaa gori mbili moja alikuwa gori,
Magori mawili la pili na la tatu yalifungwa maeneo yaleyale kwenye mstari wa 18, Tatizo la mwaka jana linaanza sasa,Liverpool ilitengeneza nafsi nyingiza za kufunga lakini hatukuzitumi na jana hivyo hivyo
Bora tumefungwa tujifunze sasa.Kocha ingia sokoni mapema,Naona deal la Merone linakalibia kwa Pound 18m
Mkuu,hv mechi huwa mnacheki kwa channel gan? Make supaspoti naona hawaoneshi kbs.
Thanks mkuu
Mkuu towa wasiwasi mambo yapo ok tu kuwekwa sawa tu tukumbuke Henry mpaka sasa si wakuja kulaumiwa wala Mashabiki ni wachezaji na Rogers so tu namuachia Rogers akileta ujinga asitulaumu wala asimlaumu Henry wala hatutomlaumu Henry! Bora upo Kijijini unapata Organic na Viagra asili(Mihogo Mabichi) vyakula vya ukweli ukirudi usitusahau hata matunda huku Urojo tu na Chips Mafuta yatauwaaaaa!Wakuu,kwa wiki mbili sasa nipo huku kijijini kwetu Sitimbi,sina acess ya kuangalia mpira kbs,zaidi ya kufuatilia updates hapa kwenye kamchina kangu,sijaiona timu tangu iende US,but hopeful they are duing great!
Mkuu towa wasiwasi mambo yapo ok tu kuwekwa sawa tu tukumbuke Henry mpaka sasa si wakuja kulaumiwa wala Mashabiki ni wachezaji na Rogers so tu namuachia Rogers akileta ujinga asitulaumu wala asimlaumu Henry wala hatutomlaumu Henry! Bora upo Kijijini unapata Organic na Viagra asili(Mihogo Mabichi) vyakula vya ukweli ukirudi usitusahau hata matunda huku Urojo tu na Chips Mafuta yatauwaaaaa!
Hehehe kuna Mkereketwa mwenzangu Leo sijamuona timu ikifungwa Hana Hamu Mosdef ila kaka njoo tu si kwamba tumefungwa game ya kukosa usingizi au tulicheza vibaya ni tumecheza vizuri na wao wamecheza kwa kadri ya kumuonyesha manager nani anataka Kubaki! Ila tutizame yetu ya kwetu ni kwamba Mignolet anahitaji kujifunza kupiga mipira kwa mguu vizuri na awe na mwenzake wa kweli Bench Kama mabeki tutamaliza ku sign hao wanaotajwa nyuma kutapendaza na katikati ya uwanja kumenifurahisha zaidi ila ukweli tunahitaji Middle mmoja anayeweza number 8 na 10 kwa upamoja yani anakaba na anafunga mabao kutokea Middle mengi 8 anapiga na 10 anapiga Huyu hata kuchezesha striker anakuwa Mzuri na Striker wa ukweli vichwa yupo ubavu yupo kuzuia mpira yupo na nyavu ndio uponaji wake ndio muhimu sababu game ya Jana ndio tulipojifunzia Hilo ndio tofauti si kwamba timu imefungwa na kusema dah timu limekuwa bovu ni timu imetia matumaini nakushukuru tumefungwa Rogers atapata kuelewa ukweli na raha zaidi timu inarudi England watafikiria kwa unmakini zaidi hata tungeshinda ile game ukweli ulikuwa ni Striker sababu 1-0 nilijuwa game inaisha Hivyo kwa namna game ilivyokuwa Inaenda huo ndio ukweli nafikiri Malafyale kaona nilichoona.
Hahaahahahah!
We've spent like £100m and we didn't have a proven striker on the pitch jana usiku...
Nadhan itakuwa imewashtua LFC stuffs pia, we desperately need a ST..
And kinachoogopesha zaidi, game yetu na Man city ipo karibu sana..tusije tukatia aibu aisee!!!