Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kama kawaida,Sturidge may be out up to six weeks,kaumia mazoezini na timu ya taifa! Tunalo wakuu!

Mkuu sijaona sehemu kuwa confirmed kama Dan atakaa nje kwa muda huo?Bado ipo hivyo hivyo au after assesment kuna relief kidogo so atawahi kurudi?
 
Daah...kweli mwaka huu cover players tunao. Ila bado workrate ya Hendo ni muhimu sana, I hope sio serious injury.

Japokuwa Hendo ni Hendo,but Can ni mashine pia...hakuna kitakachoharibika mkuu,afu kama mmefuatilia vizuri,wachezaji wengi wa England wanakuwa injured kwenye timu ya taifa,yule mzee sijui anawapa mazoezi gani tu
 
Kweli mkuu pale timu ya taifa kuna shida. Nadhani itakuwa aina ya program ya mazoezi.
 
Asante Osokonoi kwa taarifa ya kutia moyo, ya kiuanamichezo, ya kuonesha unajua unachokiandika. Ingawa jina lako lanikumbusha enzi za IS IT POSSIBLE by Henry Ole Kulet!!!!

Ehe ehe ehe ehe ehe…mkuu ngumbuke hapo kwa Ole umegusa mulemule…

Hii ishu ya danny kuumia anapokuwa na national team inaanza kutufanya ku-doubts method za Hodson in training. Hii ni mara ya nne sasa anaumia ndani ya kipindi cha miaka miwili while with national team!

Danny got personalised training while in Liverpool and probably now it’s time to introduce it in his national team.

Haya mashabiki wa Manuer nanyie mjipooze. Gemu ya leo vs Switzerland, rooney won’t have danny on his way, it’s time for him to answer the critics…raheem will do the running, tricks and through passes…kazi kwake
 
Ohooo…huyu jamaa anawafanyaje wachezaji? Ben foster, Jack Colback, Danny, Cahil and now hendo!!? Seriously…hendo has never missed Liverpool games through injury…Ni kwann wachezaji wa England wanaumia kwenye mazoezi more than in the competitive games..? Kuna wakati mzee kifegi alituhumiwa kuwakataza wachezaji kwenda kucheza Inter Friendly’s, daah, sasa nimeanza kumuelewa...

Eeh, umesikia rooney alichokisema leo…bealive it or not sasa hivi pressure atatwishwa raheem…c’mon the boy is only 19! I hope they won’t over work him
 
Haya mambo ya wachezaji wetu kuumia yamenipa wasiwasi mpaka imebidi kuchungulia na huku kwengine

Germany vs Rep. Ireland “U21’s”; The boy played as CB and contributed a lot kwenye ushindi…yuko poa
Serbia Vs France; It seems Marko na Sakho wako salama
Croatia Vs Malta; Mpambanaji, while you play kumbuka kuna upungufu kwenye zone yako…
Wales Vs Andorra; Allen umakini unahitajika, na ndiyo umeanza ku-shine…
England Vs Switzerland; I hope hii gemu haitotu-cost!
Brazil Vs Ecuador; Our magician...oh, this is a friend game, BR mpigie jamaa simu asimpange dogo…ehe ehe ehe ehe ehe ehe…
 
kuna writer mmoja ameweka a very good observation kwamba Hodgson anawachezesha liverpool players 90 minutes hata kama hakuna sababu... while he rests arsenal and manure players

I hope hiyo haitaleta another media hype, but surely BR needs to say something about his players who are playing for england, they need protection
 
Hizi injuries zinanikosesha raha...!

Duh,huyu Hodgson ana roho mbaya,anaangalia maslahi yake tu,huwez amini kampanga Hendo kuanza game ya leo huku akiwa injured,i am sure after this game,we are going to miss Hendo two months out,inauma sana.
 
Nimeona sehemu kama GJ anatakiwa na timu moja uko italy.........hii itakua habari njema kwa wanakops fulani.....teeehteeh
 
Wamchukue tu hata bure, ikibidi tuwazawadie na Kolo.
 
Tangu kipindi kile cha Benitez mpaka hiki cha BR, yule Tony Evans sijawahi kumsikiliza na kuchukua mawazo yake yoyote yale, huwa namuona ni mpuuzi sana!!!

Na ndo maana juzi alivyosema LFC hawajawa impressed na EMRE CAN so far, nikaona ni upuuzi, lakin leo naona many ITK's wanarun na hyo same story, kuwa LFC officials wamekuwa dissapointed na perfomance ya CAN so far, kwamba they expected more kutoka kwa CAN..

Hii ishu ni ya KIJINGA sana, mzee Tony Evans ni mmoja kati ya watu WATATU maarufu ambao wanaongoza kuchukiwa na LFC fans wanaomjua huyu jamaa duniani kote, ana inside infos nyingi za club, lakin tangu aje BR infos zake zimekuwa LIMITED sana!

Hapa inaelekea, kuna MPUUZI mmoja ambaye labda alikuwa AGAINST na usajili wa CAN kwenye ile Transfer comittee ndo kamwambia kuwa LFC and JWH are very dissapointed na perfomance ya CAN mpaka sasa!

huu nu UPUUZI, na ninasema ni upuuzi kwasababu, Club na BR hawawezi wakajitoa akili na kuexpect mchezaji wa Miaka 20 aje LFC na kuperfome level za SG, na offcourse katika game zote alizocheza kwny EPL, sidhan kama kafikisha hata Dk 60(katika games 3), afu mtu unakuja kusema LFC arent impressed na CAN!!!, itakuwa ni dhambi kwa dogo, na itakuwa ni UFINYU wa akili hata kwa BR (kitu ambacho sidhan kama BR anakifikiria), Basi tungeambiwa na MARKOVIC nae hajaImpress so far kutokana na LIMITED time anayopata uwanjani!!!, CAN anacheza maeneo ambayo yana competition kubwa ya No., na mpk sasa kuna watu wawili tu ndo wamejihakikishia Namba kwenye hilo eneo (SG and JH tu), afu eti unataka mtu aje tu kwa miaka yake 20 atoe perfomance kama ya SG, which took SG muda kidogo nae kusettle wakat kipind kile anaanza akiwa na miaka 17, hebu fikiria Tungesemaje kuhusu kina MORENO na MANQUILO kama wangekuja kipind cha GJ wa 2008-2010, kina Riise, Arbeloa, Riera, Aurelio??..and most of all Moreno and Manquilo wanapata muda mwingi wa kucheza ndo maana Vipaji vyao tunaviona, EMRE CAN lini kacheza zaidi hata DK 30 katika game moja??..afu useme hajakuImpress???..na Emre can was our BEST player katika pre-season, and now yupo na under21 ya germany na anacheza kwenye CM na ndo the BEST player kwa Ujeruman, leo katoa Assists kama tatu peke yake!, then WAPUUZI flan wanakaa bar, na kuambiana kuwa BR na JWH hawaja impressed na CAN, mchezaji ambaye alitucost Shaqiri, na recently imejulikana pia BAYERN walipiga chini BID yetu kwa JAVI MARTNEZ, kabla ya WC, baada ya kuona tumewafanyia Uhuni kwa CAN ( kipind kile tulikuwa kwenye mazungumzo na Lervekusen), Bayern tried to block the deal BUT mwisho wa siku CAN himself decided to join the RED NATION, nadhan thats why when Pep contacted BR about Reina, BR responded very quickly ili kusoften uhusiano wa kimichezo baada ya ile ishu ya CAN.

Tony Evans anasema LFC hawajawa Impressed na CAN, coz he "strolls" sana!!! but wote tuliona alivyoiblock mid ya Dembele na capoue kwa dk zile chache alizocheza!!, I wonder huyo aliyemwambia huyo mshenzi Evans kuhusu CAN, sijui alimwambiaje kuhusu JH kipind kile alivyokuwa our worst player on the pitch kuliko hata GJ sahiv, lakin you can see jinsi JH alivyoImprove sasa..

Japokuwa Luis Alberto hakupata muda mrefu wa kucheza last season, lakin BR aligoma kumuuza, kakubali kumtoa kwa mkopo tu, BR rates LUCAS, itakuwa kwa CAN jaman??..

Tony Evans, alishawahi kusema Mignolet siyo chagua la BR (na BR hayuko Impressed na Migs), juzi juzi kasema Sakho halikuwa chaguo la BR, the comittee forced it, (kisa tu sahv BR anaprefer combo ya DL na MS), na akasema Balotelli nalo halikuwa chaguo la BR ( wakat BR alianza kumuongelea MB tangu 2012 wakat yupo swansea, na ukifatilia kwa umakini, wachezaji wengi ambao BR anawasign Alishawah kuwaongelea sana hapo nyuma)..na katika suala la Usajili BR ndo ana MAAMUZI ya mwisho, Kama kukiwa na mgongano, Huwa inapigwa kura, BUT BR ana ile VETO, ndo mtu wa mwisho kuamua, na kama ndo hivyo angewakataa hao kina Migs, sakho na MB, au kama comittee ingekuwa na nguvu zaid ya BR si ingegoma kumleta ASPAS??..

Ni UPUUZI, kujiona upo karibu na Club ndo utoe infos za kijinga kama hizo, ambazo hazina mashiko, na sidhan kama kuna mtu mwenye akili anaweza akazipa uzito zaid ya KUKEREKA NAZO.

Emre can yupo pale kwa ajili ya FUTURE, huwez tu from NOWHERE ukamdrop SG kwenye kikosi chako sahiv, labd angekuja Javi Martnez na angeshindwa kutoa competition kwa SG wa miaka 34 sasa, Tungejiuliza maswali na sisi mashabiki, lakin kwa kijana wa miaka 20, who ambaye bado ana vingi vya kujifunza kutoka kwa SG (role model wake), aje eti kutoa competition kwa SG.

Tony Evans always ataendelea kuwa "disgrace" kwenye family ya LFC duniani kote..Mwandishi wa habari mkongwe sana, afu bado unakuwa na mambo ya kipuuz, ni muda umefika astaafu tu awachie kina Tony Barret, james pearce, paul joyce, Neil jones na kina Bascombe wafanye kazi zao.
 
Why waste you valuable time reading and writing aboute someone you don't like
Bey the way, umeandika kama vile Lila mtu ana insight ya huyo jamaa kama wewe ulivyonayo
 
so kama Shabiki wa LFC, do you think EMRE CAN anadeserve hicho alichokisema Tony Evans??..considering umri wake na Limited time anayopata Uwanjani???

Nimeileta hapa, na kuiandika kwa kirefu ili kupata views na ideas zingine kutoka kwa other fans wa LFC pia, yaan wameipokeaje na wao??..coz nadhan LFC fans karibia wote humu tutakuwa tunamjua Tony Evans, kama siyo kumskia..

So we need kushare ideas kuhusu hili, thats nimelileta kwa kirefu sana, ili lieleweke vizuri, Na nmeshatoa my views tayari..

And thats why kukawa na hii Forum pia, kitu kikiKUKERA kuhusu LFC unakuja kushare na wenzako hapa!!!

#Karibu
 
MosDef...unajua kila mtu ameumbwa kivyake na kimtazamo wake,huyo Evans hayo ni maoni yake na offcourse he's nothing pale LFC,pengine kuna watu huwezi kuwaambia lolote kwa mchezaji kama GJ,wakati dunia nzima inamuona anavyoboronga...kwahyo kila mtu anaweza kutoa maoni yake...kwa mtazamo wake...kwangu mimi EMRE bado kabisa muda wa kumuhukumu...licha ya umri wake mdogo,pia ligi ni mpya kwake,mazingira mapya,etc..ana mengi ya kujifunza.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom