Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Yes they can.....
Mkuu J2 km msipowafunga hawa ManU basi hamuwezi kuwashusha tena kwasabbu kuna michezo miwili hiyo lazima mpoteze wa Arsenal na Chelsea....hii michezo lazima mfungwe.....wakati huo huo ManU km mtashindwa kuwafunga J2, mchezo wao ambao wanaweza kupoteza ni wa Chelsea lkn wa Arsenal na City pale OT lazima washinde.....kwa mtazamo huo hamuwezi kuwatoa hapo juu km mtashindwa J2 kuwafung.
Lzm tupoteze kwa Arsenal na Chelsea hii inayoshindwa kumfunga Soton kwake?Chelsea iliyoshinda Capital One kwake huku kipa wake Courtouis akiwa Man of the Match?
Sifungwi na yyt ktk EPL tena hata ww unawaogopa MAJOGOO sasa
Huyu jamaa bana eti "lzm Man U"amshinde City na Arsenal?Kwa takwimu zipi?Arsenal kampiga Man U FA hapo hapo juzi tu!Ww hauna uhakika wa kumpiga "mkubwa" yyt kwa sasa maana umetepeta sana