Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Yes they can.....

Mkuu J2 km msipowafunga hawa ManU basi hamuwezi kuwashusha tena kwasabbu kuna michezo miwili hiyo lazima mpoteze wa Arsenal na Chelsea....hii michezo lazima mfungwe.....wakati huo huo ManU km mtashindwa kuwafunga J2, mchezo wao ambao wanaweza kupoteza ni wa Chelsea lkn wa Arsenal na City pale OT lazima washinde.....kwa mtazamo huo hamuwezi kuwatoa hapo juu km mtashindwa J2 kuwafung.

Lzm tupoteze kwa Arsenal na Chelsea hii inayoshindwa kumfunga Soton kwake?Chelsea iliyoshinda Capital One kwake huku kipa wake Courtouis akiwa Man of the Match?

Sifungwi na yyt ktk EPL tena hata ww unawaogopa MAJOGOO sasa

Huyu jamaa bana eti "lzm Man U"amshinde City na Arsenal?Kwa takwimu zipi?Arsenal kampiga Man U FA hapo hapo juzi tu!Ww hauna uhakika wa kumpiga "mkubwa" yyt kwa sasa maana umetepeta sana
 
Hujavuka mto wa J2 unaaza kutukana mamba mpk wa darajani? Teh teh teh teh J2 baada ya game yenu na ManU tutaongea vzr......
 
Mkuu naona mgonjwa kaanza kunywa uji mategemeo kibao!Kucheza vyema na Tots sio ndiyo kibali cha kuisumbua Majogoo tena Anfield

Kumbuka hata Chelsea alishinda kwa sababu ya refa kuruhusu Cahil ausukume mpira kwa mkono ukielekea wavuni!Cahil alistahili kadi nyekundu na penalty

Man U hata sare hapati Anfield na Man U hii hamfungi Chelsea,Man City wala Arsenal
 
The best team in 2015..with many young players we have,we will take the premier league title back home in a year or two.
 
Mkuu ata km tumepoteana lkn hatupotezi mchezo zaidi ya kupata sare...ManU ni wabovu kwa timu ndogo tu lkn wakikutana na timu kubwa lazima wanakua wazuri.... hakuna kazi rahisi kwenu mkuu na ligi imeshakwisha mkuu.

Ebu tusubirie iyo jumapili, sasa mkuu kama umeamini lolote laweza tokea basi inabidi uanze kuamini kua hata CFC mnaweza kuugawa ubingwa ambao tayari fans mnaamini mmeubeba
 
Kugawa ubingwa hilo haliwezwkani mkuu.....
 
Lzm tupoteze kwa Arsenal na Chelsea hii inayoshindwa kumfunga Soton kwake?Chelsea iliyoshinda Capital One kwake huku kipa wake Courtouis akiwa Man of the Match?

Sifungwi na yyt ktk EPL tena hata ww unawaogopa MAJOGOO sasa

Huyu jamaa bana eti "lzm Man U"amshinde City na Arsenal?Kwa takwimu zipi?Arsenal kampiga Man U FA hapo hapo juzi tu!Ww hauna uhakika wa kumpiga "mkubwa" yyt kwa sasa maana umetepeta sana

kamanda, mpira unadunda... lets wait and see

I see us struggling against asses, because their formation and pace bado inatusumbua pale emirates,
 
Mkuu naona mgonjwa kaanza kunywa uji mategemeo kibao!Kucheza vyema na Tots sio ndiyo kibali cha kuisumbua Majogoo tena Anfield

Kumbuka hata Chelsea alishinda kwa sababu ya refa kuruhusu Cahil ausukume mpira kwa mkono ukielekea wavuni!Cahil alistahili kadi nyekundu na penalty

Man U hata sare hapati Anfield na Man U hii hamfungi Chelsea,Man City wala Arsenal

Yetu macho kushuhudia hizi tambo zenu.
 
Jamie Carragher has picked the Liverpool side he’d choose to play Man United at Anfield on Sunday.

...........Mignolet,...........

......can, skirtel, sakho,....

....marcovic Allen, Henderson, Moreno

...... Lallana, Coutinho........

............Starling.............
 
Jamie Carragher has picked the Liverpool side he’d choose to play Man United at Anfield on Sunday.

Mignolet,

can, skirtel, sakho,

marcovic Allen, Henderson, Moreno

Lallana, Coutinho

Statling
Statling ni nani
 
Imetulia hiyo...
 
11046485_828486860522361_5157194528719420222_n.jpg
 
DS tangu anarudi Kutoka majeruhi, his pace and movements zimepungua, He needs time kurecover, Kakaa nje muda mrefu!!

But, Siyo wa kuanza kwenye big matches, atakuwa anaslow mashambulizi!!

I'd go with RS upfront..

Pundit wengi wana sema itakuwa better kama tutaanza na Sterling badala ya Sturridge, ile first eleven vs Man city because of his pace, sturridge anakuwa kama impact subs, kama mliangalia uchambuzi wa Carra na Neville baada ya mechi walizungumzia hilo.

Mi nadhani ile timu ya kipindi cha pili itakuwa bora kama ikianza japo Carra alisema hakuna haja ya kumuanzisha SG, mi naona itakuwa vizuri maana atakuwa na vijana wanamfanyia kazi kubwa yeye atakuwa ni kudistribute mipira tu
 
Back
Top Bottom