Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

FMES et al muje muelezee yale makonzi mliyokuwa mkiyaota...Teh,teh,teh...
 
You think so?!!! wakitwaa ubingwa ndo tunaweza conclude. Liverpool wako strong sana, wamefungwa hapa lakini hawajadata wanajitahidi warudishe!..Game tough though!

I think so. Team imechange sana kimfumo toka huyu Guus alivyoingia. Mechi ambazo Chelsea wangefungwa au kudraw under Phir jamaa amewamotivate na wanashinda sasa. Mifano ipo mingi tu...

Nyota njema huonekana asubuhi mkuu!
 
Mpira umekwisha hapa naona Ngoma ya shughuli itakuwa imebaki darajani vijana wa blues watakapokuwa wanafanya karamu yao..hongera ze bluess
 
- Duh! noma leo tumedata tena bigtime, noma kichizi yaani tunajuta kweli kuwafahamu Chelsea, haya wakuu tusubiri next time, haya Chelsea mmeshidna tena home kwetu ambako hatujawahi kufungwa toka February last years, sasa turudi tuanze upya.

- Leo tumepigwa hands down.

FMES
 
Poleni watani, lakini kama nilivyomwambia Ab-Tichaz kwenye ile thread nyingine lazima The Blues wapite kwa Kop, naona maneno yanatimia taratibu.
 
Halafu Mbu nshakushitukia...wewe ni mmoja wa wale damdam Liverpoolians ambao walikumbwa na fantasy storm ya Arsenal enzi za akina T. adams, D. Benkamp, P. Viera., T. Henry et la. Rudi nyumbani yakhe, usione khaya kushika bendera ya Bwawa la Maini tena baada ya storm ya Washika Bunduki kuisha. Tulishakusamekhe....lol

...😀 QM kwanza poleni!

umepatia ndugu yangu, Liverpodians enzi za kina Kevin Keegan, John Barnes, Ian Rush, Bruce Grobbelar, Peter Beardsley, na Kenny Dalgish,....baada ya Generation ile antics za kina Robbie Fowler zilinikinaisha...wakati huo Nwanko Kanu na generation ya 'weusi' wanaanza kufanya mavituz pale Highbury.

...kabumbu safi ya Arsenal kwasasa huko kwenye Bwawa itabidi mnisamehe kwanza...kwasasa am not fanatical, only sympathetical kwa Liverpool.

All in all, bado nafasi ya ushindi ipo, hata kama kwa extra minutes kisha matuta,...kwanza JT hatocheza mechi inayofuatia, ila huyu mserbia Branislav Ivanovic katokea wapi huyu naye? halafu Essien, Lampard na Drogba wote wapo in-form mnhhhh!!! 🙁
 
RAFA BENITEZ: BARCLAYS MANAGER OF THE MONTH FOR MARCH

• Benitez was born on 16th April, 1960, in Madrid, Spain.
• Benitez worked on the coaching staff at Real Madrid from the age of 26 after injury cut short his playing career, and followed this with management spells at Real Valladolid and Osasuna. He was promoted with Extremadura and then Tenerife before joining Valencia in 2001. At the Mestalla, Benitez won La Liga twice and the UEFA Cup.
• He joined Liverpool in June 2004, replacing Gerard Houllier.
• In his first season at the club Benitez won the Champions League. He also secured the Super Cup in August 2005 and followed this by winning the FA Cup in 2006.
• Benitez's four previous Barclays Manager of the Month awards came in November 2006, December 2006, January 2007 and October 2008.
• The seven other managers to have won the Barclays Premier League Manager of the Month award on five or more occasions are Sir Alex Ferguson, Arsene Wenger, Bobby Robson, Martin O'Neill, Kevin Keegan, David Moyes and Harry Redknapp.
• Since taking over at Liverpool, Benitez's managerial record in the Barclays Premier League reads: Played 182, Won 101, Drawn 45, Lost 36 (up to 3rd April).

STEVEN GERRARD: BARCLAYS PLAYER OF THE MONTH FOR MARCH

• Steven Gerrard was born on 30th May, 1980, in Whiston.
• Having signed as a trainee, Gerrard made his Liverpool debut in November 1998 against Blackburn Rovers and has remained with the club ever since.
• In 2001 Gerrard won the treble of League Cup, FA Cup and UEFA Cup.
• Gerrard lifted the Champions League trophy as captain in 2005, scoring in a 3-3 draw with AC Milan before Liverpool triumphed on penalties.
• In total, Gerrard has accumulated two FA Cups, two League Cups, the UEFA Cup, the Champions League and two Super Cups with Liverpool.
• Gerrard was named UEFA Club Footballer of the Year following the 2005-06 season, and won the PFA Players' Player of the Year in the same season.
• This is Gerrard's fifth Barclays Player of the Month award, having previously scooped the prize in March 2001, March 2003, December 2004 and April 2006.
 
Poleni kwa kipigo cha mbwa mwizi, mjue Chelsea sio man u wala madrid. Hapo UCL hakuna matumaini tena mpaka mwakani, bora hata man u bado wana ka-fantansy fulani! Hakuna mtu kanifurahisha kama huyu kocha wa chelsea, yaani mtu kama essien kazi yake ilikuwa gerrald tu! noma ...
 
Saikosisi;

If you are a football fan you'll have to admit that Chelsea managed liverpool fair and square; it was all about tactics and nothing more...

Chelsea suffocated the kops midfield easily due to slow pace of both alonso and lucas. Rafa underestimated them and he realised the plan very late. in addition, the defence of chelsea was excellent especially the cover that was brought by essien [he is classic and managed gerrard like a baby]. when chelsea equalised i thought we were done but then we went to break i said ok ...lucas out masch in, and aurelio out insua in... it didnt happen

credit to HIddinks.. he is a whiz and a master tacktician,

Respect and we shall see you next week

honestly, i have very limited hopes especially after watching essien commanding the holding midfield like that
 
MWOSHA HUOSHWA, POLENI SANA THE KOP
Nafikiri kutokuwepo kwa Mascherano kuliwapa nafasi viungo wa Chelsea,muangalie sana weekend huenda mkatetereka kwenye ligi na msimu huu pia hamna kombe
 
Saikosisi;

If you are a football fan you'll have to admit that Chelsea managed liverpool fair and square; it was all about tactics and nothing more...

Chelsea suffocated the kops midfield easily due to slow pace of both alonso and lucas. Rafa underestimated them and he realised the plan very late. in addition, the defence of chelsea was excellent especially the cover that was brought by essien [he is classic and managed gerrard like a baby]. when chelsea equalised i thought we were done but then we went to break i said ok ...lucas out masch in, and aurelio out insua in... it didnt happen

credit to HIddinks.. he is a whiz and a master tacktician,

Respect and we shall see you next week

honestly, i have very limited hopes especially after watching essien commanding the holding midfield like that

Javier Mascherano was banned for one match.
Essien was simply the midfield BOSS, he kept Gerald quiet the whole night, and Masch wouldn't help.
 
Kwa ambao walishakamatwa ugoni wanaelewa,Hata John Cena ukimkamata na mke wako utamdunda ajabu na hataweza kutumia miguvu yake,Liver jana walikamatwa ugoni thatz why walitulia tuliii!wakipokea kipondo..Big up Chelsea fun,w're the winner of Champion league "2008/09.Tunawakaribisha sana darajani next week.FMES! nakushauri usiangalie hiyo mechi coz unaweza ukafa kwa presha.
 
[QUOTE=Field Marshall ES;418405]- Inauma lakini ahsante mkuu, duh! kipigo cha jana kama cha Minziro.

FMES!
[/QUOTE]

Pole mkuu.

Jana ile ilikuwa ni 'reality check' kwa Liverpool. Kwa kuwafunga Man U na Madrid mlidhani tayari mpo on top. Jana imeprove bado long way to go.

Jana ingweze kuwa hata 5-1 kama Drogba angekuwa makini

But still wanaweza kuoverturn results pale darajani
 
But still wanaweza kuoverturn results pale darajani

Mgonjwa ameshakatamaa na amekubali kuwa atakufa tu haina haja ya kumpa maneno ya mkufariji wakati anajua kuwa tayari ni nusu mfu hapo alipo....Kocha wao amekiri kwamba ni ngumu tena ngumu sana kushinda pale darajani!!
 
Back
Top Bottom