Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,339
- 30,439
Hivi jana huyu hata tackle moja alifanya kweli over to you Saint Anne
Good thing alionekana wakati sahihi.
YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa kama Osman Bay wa kwenye Ottoman😁
Tunachojua kafunga goli EtihadView attachment 2825693
Hivi jana huyu hata tackle moja alifanya kweli over to you Saint Anne
Good thing alionekana wakati sahihi.
YNWA
Klopp mwamba
🤣 🤣 🤣 🤣 Ndio ushauri wa Giroud wa Ac Milan kuna mechi kipa alikula umeme sasa sub washamaliza ikabidi aseme aaa nitacheza mimi kipa wee dogo alitisha sana kiasi sasa Ac Milan wana kilaka pale ni strika cum keeper haha....Huyu jamaa kama Osman Bay wa kwenye Ottoman😁
Siku nikijiunga na soka, ntakuwa golikipa
🤣 🤣 🤣 🤣 Klopp ni muoga na hataki aonekane kama kafuata ushauri wa wengine especially Southgate aliesema long time huyu dogo ni MF zaidi kuliko RB...Klopp mwamba
Tulikubaliana in Klopp we believe
Wanatia aibu.... Huu ushenzi wanaupenda sana Barcelona na Real Madrid yaan mechi za mtoano wakitangulia basi ujue dakika 15+ watajidodosha ili mradi kukata steam ya gemu... Pazuri angalau sasa gemu kuongezwa dakika 10 au 8 ni jambo la kawaida kabisa... Hii tabia ni ya kukomeshswa kwa nguvu zote.Lile jini likidondoka kidogo tu lishakuwa jekundu
Unategemea nini hapo[emoji16]
Watalia sana na kuombolezaWanatia aibu.... Huu ushenzi wanaupenda sana Barcelona na Real Madrid yaan mechi za mtoano wakitangulia basi ujue dakika 15+ watajidodosha ili mradi kukata steam ya gemu... Pazuri angalau sasa gemu kuongezwa dakika 10 au 8 ni jambo la kawaida kabisa... Hii tabia ni ya kukomeshswa kwa nguvu zote.
YNWA
Klopp mwamba imara🤣 🤣 🤣 🤣 Klopp ni muoga na hataki aonekane kama kafuata ushauri wa wengine especially Southgate aliesema long time huyu dogo ni MF zaidi kuliko RB...
YNWA
Kazi kwenu🤣 🤣 🤣 🤣 Ndio ushauri wa Giroud wa Ac Milan kuna mechi kipa alikula umeme sasa sub washamaliza ikabidi aseme aaa nitacheza mimi kipa wee dogo alitisha sana kiasi sasa Ac Milan wana kilaka pale ni strika cum keeper haha....
Haya kazi kwako Miss Liverpool.
YNWA
Tupo mkuu.Hivi wakuu hawa wapo wapi kitambo sana hawajaonekana hapa jamvini.
Don njinji
Bengalisis
koncho77
Plesis
AggerFirminho
M-mbabe
Penison
Watery
SG8
Ziroseventytwo
Don Clericuzio
BARDIZBAH
Ed n Edd nEddy
Janja weed
kengele maziwa
Nk nk nk.
Popote mlipo Mungu awatunze mrejee jamvini salama Anfield pamenoga sana mdogo mdogo Klopp 2nd cycle imeanza kuonyesha nuru.
YNWA
Jukwaa lipo mikononi mwa jasusi Ms liver from Nanjilinji😂😂😂Tupo mkuu.
Sema maisha tu ndio yanatukimbiza na kutufanya tupotee.
Tukipata wasaa lazima tuje tutoe hi.
Don Clericuzio huyu mwamba ndio kapotea toka 2020 nadhani.
Miss Liverpool Saint Anne anatuwakilisha vyema, jukwaa lipo mikono salama.
🤣 🤣 🤣 🤣 Miss Liverpool ni moto sanaaa yupo in da house settled.Tupo mkuu.
Sema maisha tu ndio yanatukimbiza na kutufanya tupotee.
Tukipata wasaa lazima tuje tutoe hi.
Don Clericuzio huyu mwamba ndio kapotea toka 2020 nadhani.
Miss Liverpool Saint Anne anatuwakilisha vyema, jukwaa lipo mikono salama.
Klopp asepe tu aje Alonso 🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈 Kabla Real Madrid hawajamnyatia.Klopp mwamba imara
Alipo tupo
Maamuzi yake ni yetu
Klopp mitano✊ tena
🤣 🤣 🤣 Kapteni wa dunia ipi hiiiiioooo.Kapteni wa Dunia,Trent Alexander Arnold
Mwamba wa magoli makali pekeyake,,si mmeona lakini?
Anafanya njia pasipo na njia,,
Beki anayefunga mechi muhimu,wakati ambao wafungaji wote wameshindwa.
Trent mi[emoji110] tena na Tena[emoji91][emoji91]View attachment 2825329
Havard imenifanya niembrace knowledge ,, kuna watu nawatumikia wanataka kazi zao.Jukwaa lipo mikononi mwa jasusi Ms liver from Nanjilinji😂😂😂
Mimi nipo mwingi,kushuhudia chama langu likinyanyua kwapa makombe yote.
Mungu atupe uzima.
Mzee wa social toka uondoke kule havard umekuwa adimu jukwaani.
Amin.🤣 🤣 🤣 🤣 Miss Liverpool ni moto sanaaa yupo in da house settled.
Asante sana braza ni mapambano aisee hata mwenyewe kuna kipindi sikuwepo kabisa lakin sasa nipo japo sio kama zamani angalau jukwaa lisilale kabisa....
Don Clericuzio kuna kipindi cha mwisho alitoa ofa ya jezi baada ya hapo sijamuona tena aisee. Popote alipo may Lord protect him.
YNWA
Sijafanikiwa kufuatilia bundasligakwa muda mrefu ila naoba Alonso anaimbwa sana,,yasije yakawa ya Gerrard😅Klopp asepe tu aje Alonso 🤣🤣🤣🤣🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈 Kabla Real Madrid hawajamnyatia.
YNWA
Bobby alinivuruga sana aiseAmin.
Yah uliweka tafrani humu ndani.
Miss Liverpool hakuchoka kukuulizia Bobby.
Na hii ndio true meaning of love.
Mpira umetuleta pamoja , na mpka watu wanaingiwa na hard feelings endapo mtu atakosekana jukwaani kwa muda mrefu basi ni tafrani kabisa.