Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

IMG_20231126_150001_413.jpg

Hivi jana huyu hata tackle moja alifanya kweli over to you Saint Anne

Good thing alionekana wakati sahihi.

YNWA
 
Huyu jamaa kama Osman Bay wa kwenye Ottoman😁

Siku nikijiunga na soka, ntakuwa golikipa
🤣 🤣 🤣 🤣 Ndio ushauri wa Giroud wa Ac Milan kuna mechi kipa alikula umeme sasa sub washamaliza ikabidi aseme aaa nitacheza mimi kipa wee dogo alitisha sana kiasi sasa Ac Milan wana kilaka pale ni strika cum keeper haha....
Haya kazi kwako Miss Liverpool.

YNWA
 
Lile jini likidondoka kidogo tu lishakuwa jekundu
Unategemea nini hapo[emoji16]
Wanatia aibu.... Huu ushenzi wanaupenda sana Barcelona na Real Madrid yaan mechi za mtoano wakitangulia basi ujue dakika 15+ watajidodosha ili mradi kukata steam ya gemu... Pazuri angalau sasa gemu kuongezwa dakika 10 au 8 ni jambo la kawaida kabisa... Hii tabia ni ya kukomeshswa kwa nguvu zote.

Watalia sana na kuomboleza
Hakuna mbeleko
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Ndio ushauri wa Giroud wa Ac Milan kuna mechi kipa alikula umeme sasa sub washamaliza ikabidi aseme aaa nitacheza mimi kipa wee dogo alitisha sana kiasi sasa Ac Milan wana kilaka pale ni strika cum keeper haha....
Haya kazi kwako Miss Liverpool.

YNWA
Kazi kwenu
Nitafutieni sasa nafasi huko timu ya wanawake
Mikono yangu kama Ina sumaku hivi ..halafu nimegundua kipa hachoki sana kukimbia kimbia
 
Hivi wakuu hawa wapo wapi kitambo sana hawajaonekana hapa jamvini.

Don njinji
Bengalisis
koncho77
Plesis
AggerFirminho
M-mbabe
Penison
Watery
SG8
Ziroseventytwo
Don Clericuzio
BARDIZBAH
Ed n Edd nEddy
Janja weed
kengele maziwa
Nk nk nk.

Popote mlipo Mungu awatunze mrejee jamvini salama Anfield pamenoga sana mdogo mdogo Klopp 2nd cycle imeanza kuonyesha nuru.

YNWA
Tupo mkuu.
Sema maisha tu ndio yanatukimbiza na kutufanya tupotee.

Tukipata wasaa lazima tuje tutoe hi.
Don Clericuzio huyu mwamba ndio kapotea toka 2020 nadhani.

Miss Liverpool Saint Anne anatuwakilisha vyema, jukwaa lipo mikono salama.
 
Jukwaa lipo mikononi mwa jasusi Ms liver from Nanjilinji😂😂😂

Mimi nipo mwingi,kushuhudia chama langu likinyanyua kwapa makombe yote.
Mungu atupe uzima.

Mzee wa social toka uondoke kule havard umekuwa adimu jukwaani.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Miss Liverpool ni moto sanaaa yupo in da house settled.

Asante sana braza ni mapambano aisee hata mwenyewe kuna kipindi sikuwepo kabisa lakin sasa nipo japo sio kama zamani angalau jukwaa lisilale kabisa....

Don Clericuzio kuna kipindi cha mwisho alitoa ofa ya jezi baada ya hapo sijamuona tena aisee. Popote alipo may Lord protect him.

YNWA
 
Kapteni wa Dunia,Trent Alexander Arnold
Mwamba wa magoli makali pekeyake,,si mmeona lakini?
Anafanya njia pasipo na njia,,
Beki anayefunga mechi muhimu,wakati ambao wafungaji wote wameshindwa.

Trent mi[emoji110] tena na Tena[emoji91][emoji91]View attachment 2825329
🤣 🤣 🤣 Kapteni wa dunia ipi hiiiiioooo.

Huo uwezo hana usimpaishe sanaaa.

Boy wa Miss Liverpool... Ngoja afunge dread umkimbie tena🤣🤣

YNWA
 
Jukwaa lipo mikononi mwa jasusi Ms liver from Nanjilinji😂😂😂

Mimi nipo mwingi,kushuhudia chama langu likinyanyua kwapa makombe yote.
Mungu atupe uzima.

Mzee wa social toka uondoke kule havard umekuwa adimu jukwaani.
Havard imenifanya niembrace knowledge ,, kuna watu nawatumikia wanataka kazi zao.
Nashukuru unatusaidia kuufanya uzi wetu uwe active.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Miss Liverpool ni moto sanaaa yupo in da house settled.

Asante sana braza ni mapambano aisee hata mwenyewe kuna kipindi sikuwepo kabisa lakin sasa nipo japo sio kama zamani angalau jukwaa lisilale kabisa....

Don Clericuzio kuna kipindi cha mwisho alitoa ofa ya jezi baada ya hapo sijamuona tena aisee. Popote alipo may Lord protect him.

YNWA
Amin.
Yah uliweka tafrani humu ndani.
Miss Liverpool hakuchoka kukuulizia Bobby.
Na hii ndio true meaning of love.
Mpira umetuleta pamoja , na mpka watu wanaingiwa na hard feelings endapo mtu atakosekana jukwaani kwa muda mrefu basi ni tafrani kabisa.
 
Bobby alinivuruga sana aise
Ukizingatia last time tulichat mawili matatu akapotea.

Nikawa nawaza
Hendo amesepa
Milner amesepa...hili shangwe vibe linatoka wapi na Bobby hayupo.

Katika siku nilizopata furaha huu mwaka ni pamoja na Ile siku ambayo Bobby alirejea tena.

Kutoka kwenye mawazo,simanzi,hofu ghafla akaibuka.
 
Back
Top Bottom