Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

DM muhimu aisee leo tazama Endo alivyo struggle vs Palace....
Tuna katika mno pale kati kati bila kuwapa ulinzi mabeki tutapata matatizo.
Kipara bila KDB kumlisha Halaand wanapata matatizo makubwa sana.
Cha msingi tujikusanyie pointi mapema za kutosha maana Kipara kuanzia Februari hua hatanii kabisa.

YNWA

Hope Klopp hana mpango wowote na namba yoyote isipokua DM coming winter (ATAJARIBU the right player).

Ni wazi TAA hatampeleka MF na CB amesema tayari hataenda kwa ajili hiyo january. Hoja yake ni hakuna timu itakuuzia best player wake katikati ya msimu.

Nimemuelewa kwa kiasi chake, kwan naona huyo wanayemtaka huenda anatoka timu isiyona njaa hivyo ukienda winter utabamizwa bei juu.
 
Huyu tulishamalizana nae hivyo pointi tulichukua pointi 3 safi n mechi inayofuata ni May 24 2024 saa kumi na moja pale Villa Park hivyo kwa sasa kila mmoja ashinde mechi zake aafu mpaka tunafika hukoo April ndio mbio za ubingwa tutajua ni namna gani.

Kwanza kafanya jambo safiii kuwapiga Manchester City na Arsenal amewapunguza pointi haswa huku akisogea... Ni bora iwe mbio za timu 4 kwenye ubingwa kuliko mbili aisee zikiwa nyingi na burudani inakua powaa kabisa.

YNWA

Sema ushindi huu wa Villa tuliuhitaji msimu ule wa 2021/2022, wakaongoza na kupinduliwa.
 
Generally in football the most difficult thing is creating scoring opportunities, sasa kama una mtu ambae ni natural opportunity creator tayari umetatua nusu ya tatizo la timu.

Nunez will win a Ballon D'or in five years! ... save this!
Tunatatua vipi tatizo wakati mwamba anapaisha?

Wenzie wanafight sana,chenga, Kona,mbio,,anapewa mpira huyooo anaupaisha.


Ni sawa na mtu mmekusanya mayai yenu yoote kwenye trey lake,anadondosha trey.
 
[emoji3060] napenda emotion zao kwenye mpira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi ukiangalia mechi na mimi utacheka ufe
Huwa narusha miguu ,vichwa,mikono
Yaani reactions zangu huwa zinapelekea nachoka sana.
Ikifika half time huwa naenda kuoga kwa uchovu.

Hadi mechi iishe nasweat sana..chapachapa utadhani nimetoka utadhani na mimi nimetoka kusakata kambumbu.
Na salia Mungu iwe tumeshinda,,tukishindwa hapo yaani machozi yangu yapo karibu sana.

I know my weaknesses and by saying so I decided not to watch live matches...
Huwa nacheck marudio ,I don't want unnecessary pressure, nacheck mechi nikiwa na matokeo mkononi na specific time tulizofungwa au kufunga na nani kafunga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa haya maneno mbofu mbofu nawalaani. Kuanzia sasa mtapokea vipigo na mkikutana na sisi tutawapiga kipigo cha uuumbwa koko
Saivi siongei sana.

Usinichoshe, nisikuchoshe
Tusichoshane😂😂(Kwa sauti ya UMUGHAKA)

Nakuwekea tu picha mimi
 

Attachments

  • JamiiForums1698015722.jpeg
    JamiiForums1698015722.jpeg
    55.5 KB · Views: 2
Generally in football the most difficult thing is creating scoring opportunities, sasa kama una mtu ambae ni natural opportunity creator tayari umetatua nusu ya tatizo la timu.

Nunez will win a Ballon D'or in five years! ... save this!
Nunez?
Akiwa timu gani?
Hiyo tuzo labda itolewe na klopp
 
Acha zako Ngwaba, Liverpool ni moja ya timu zilizonufaika na maamuzi ya hovyo ya marefa na inaendelea kunufaika. Liverpool na Man utd hazina tofauti linapokuja suala la marefa. Kuna United, Liver, Newcastle, City hawa ndio marafiki wa Pgmol.

Tokea lini umeanza tabia ya kuongea maneno matupu?

Hebu thibitisha hapa ni wapi tunapewa mbeleko?
 
😂😂😂
Unajua Kalleher anapewa airtime kwa manati na bado ana deliver

Kacheza hadi fainali na wapinzani imara Chelsea wakiwa katika ubora wao
Na tukashinda.

Angekuwa Allison,,ule muda wa magolikipa kupiga penati,angepaisha kama Kepa.

Hivi unajua kuna mwamba anaitwa Adrian alidakia Fainali Club bingwa ya Dunia na Super cup na zote tukashinda? Kwahiyo ni Bonge la Goalkeeper sio?

Au unataka kuniambia Jerzy Dudek kwasababu alidakia Fainali ya UCL tukashinda kombe alikuwa ni bonge la Kipa kuliko Pepe Reiner?

Lady tunakukaribisha ujifunze zaidi kuhusu Mpira una kitu utafika mbali.
 
Hivi unajua kuna mwamba anaitwa Adrian alidakia Fainali Club bingwa ya Dunia na Super cup na zote tukashinda? Kwahiyo ni Bonge la Goalkeeper sio?

Au unataka kuniambia Jerzy Dudek kwasababu alidakia Fainali ya UCL tukashinda kombe alikuwa ni bonge la Kipa kuliko Pepe Reiner?

Lady tunakukaribisha ujifunze zaidi kuhusu Mpira una kitu utafika mbali.
😂😂😂
 
Hellow Namtafuta Rafiki yangu kipenzi bwana Chamtigiti Siwa Chamtigiti nilipotezana nae mwaka 2014 huko bunda
 
Back
Top Bottom