The MoNA
JF-Expert Member
- Sep 19, 2014
- 4,168
- 10,184
Mashabiki wa kike bhana [emoji23]
[emoji3060] napenda emotion zao kwenye mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wa kike bhana [emoji23]
Kelleher hata level ya prime Simon Mignolet hawezi fikia achiliambali Alisson Becker.
Msimamo wangu ni uleule
Kelleher ni the best golikipa
DM muhimu aisee leo tazama Endo alivyo struggle vs Palace....
Tuna katika mno pale kati kati bila kuwapa ulinzi mabeki tutapata matatizo.
Kipara bila KDB kumlisha Halaand wanapata matatizo makubwa sana.
Cha msingi tujikusanyie pointi mapema za kutosha maana Kipara kuanzia Februari hua hatanii kabisa.
YNWA
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Team ya Miss Liverpool
Kelleher
Matip
VVD
Domy
.
.
Salah
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
YNWA
Bro mambo ndio yalikuwa mengi kidogo but tuko pamoja ndugu mpaka pale tutakapopewa mwali wetu
Hivi hawa Aston villa hamuoni watakuja kutupa tabu
Huyu tulishamalizana nae hivyo pointi tulichukua pointi 3 safi n mechi inayofuata ni May 24 2024 saa kumi na moja pale Villa Park hivyo kwa sasa kila mmoja ashinde mechi zake aafu mpaka tunafika hukoo April ndio mbio za ubingwa tutajua ni namna gani.
Kwanza kafanya jambo safiii kuwapiga Manchester City na Arsenal amewapunguza pointi haswa huku akisogea... Ni bora iwe mbio za timu 4 kwenye ubingwa kuliko mbili aisee zikiwa nyingi na burudani inakua powaa kabisa.
YNWA
Tumpe basi airtime halafu tuoneOk best but not even closer to among the best.
Tunatatua vipi tatizo wakati mwamba anapaisha?Generally in football the most difficult thing is creating scoring opportunities, sasa kama una mtu ambae ni natural opportunity creator tayari umetatua nusu ya tatizo la timu.
Nunez will win a Ballon D'or in five years! ... save this!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3060] napenda emotion zao kwenye mpira.
Saivi siongei sana.Kwa haya maneno mbofu mbofu nawalaani. Kuanzia sasa mtapokea vipigo na mkikutana na sisi tutawapiga kipigo cha uuumbwa koko
Nunez?Generally in football the most difficult thing is creating scoring opportunities, sasa kama una mtu ambae ni natural opportunity creator tayari umetatua nusu ya tatizo la timu.
Nunez will win a Ballon D'or in five years! ... save this!
Picha umeiona?Kwamba nyie saivi mnajiona maisha mmeyapatiiiaaaa?
Kwa kweli anatisha uzuri kaleta sana wachezaji wazuriEmery jamaa hatari aisee. Villa Park panazidi kuwa pamoto kwa wageni.
Acha zako Ngwaba, Liverpool ni moja ya timu zilizonufaika na maamuzi ya hovyo ya marefa na inaendelea kunufaika. Liverpool na Man utd hazina tofauti linapokuja suala la marefa. Kuna United, Liver, Newcastle, City hawa ndio marafiki wa Pgmol.
😂😂😂
Unajua Kalleher anapewa airtime kwa manati na bado ana deliver
Kacheza hadi fainali na wapinzani imara Chelsea wakiwa katika ubora wao
Na tukashinda.
Angekuwa Allison,,ule muda wa magolikipa kupiga penati,angepaisha kama Kepa.
😂😂😂Hivi unajua kuna mwamba anaitwa Adrian alidakia Fainali Club bingwa ya Dunia na Super cup na zote tukashinda? Kwahiyo ni Bonge la Goalkeeper sio?
Au unataka kuniambia Jerzy Dudek kwasababu alidakia Fainali ya UCL tukashinda kombe alikuwa ni bonge la Kipa kuliko Pepe Reiner?
Lady tunakukaribisha ujifunze zaidi kuhusu Mpira una kitu utafika mbali.