Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Injury Proneπππ
Reason basi Captain Marvelous
Akiondoka Alison tutasajili kipa mwengine.
Kelleher ataendelea kuwa kipa Carabao na Mapinduzi Cup
Onana ni kipa mzuri sana sema litimu halimo kwenye mfumoAnakuja kipa mpya
Anakuwa kama Onana
Onana ni kipa mzuri sana sema litimu halimo kwenye mfumo
De Gea mpaka sasa hana timuTumnunue basi kama vipi
Aje afungishe magoli
Mtu anauza Degea,analeta Onana!
Unajitetea bure tu ila kubali ukweli huwez kuwaweka kwenye kikosi chako watu ambao hujawachek kila week live zaidi ya hizo recorded chache, youtube au LFCTV. Kuhusu hiyo LFCTV Ndani ya Azam TV hata sasa hivi naifatilia na wanaonyesha "" 60 MINUTES WITH PATRICK BERGER"".Sijajua point yako ni ipi unapinga maoni yangu ama?
Unajua kwanini sijawaweka kina Roger Hunt?
Hao niliowaweka uliowataja wote nimeshawaangalia sana games zao kwa dakika 90 na sio Clips.
Kiufupi tumetofautiana ufuatiliaji lakini Mechi za 1980s to 90s nyingi zipo recorded Mitandaoni huwa naziangalia.
Kwa kukusaidia nenda AzamTV channel ya LFCTV baadhi ya siku wanaekaga mechi zao hao utawaona uwezo wao wakicheza.
Pia nenda YouTube utakuta mechi mpaka dakika 60 zipo kaangalie.
Hao kina Grobbelaar, Barnes, Rush kama hujui wamecheza Liverpool mpaka juzi miaka ya 1995 tu kama hujui.
Kuangalia mechi zilizorekodiwa haimaanishi kuwa naona uwezo mwengine usiokuwa wa kwao.
Anakuja kipa mpya
Anakuwa kama Onana
Unajitetea bure tu ila kubali ukweli huwez kuwaweka kwenye kikosi chako watu ambao hujawachek kila week live zaidi ya hizo recorded chache, youtube au LFCTV. Kuhusu hiyo LFCTV Ndani ya Azam TV hata sasa hivi naifatilia na wanaonyesha "" 60 MINUTES WITH PATRICK BERGER"".
Toa kikosi chako kwa watu uliowaona kila week live(kuanzia 2000 kwa era yako)
Wakati Kipara anamuuza Cole Palmer sijui klopp alikuwa wapi
π Kelvin is back !Anatoa Salam.....
Kipa no moja ajae Liverpool anaitwa Pitaluga...mbrazil kama Alison...Anakuja kipa mpya
Anakuwa kama Onana
Kiukweli mechi za Academy hata kwa mtutu sijakaa kuconcentrate kuangalia.Kipa no moja ajae Liverpool anaitwa Pitaluga...mbrazil kama Alison...
Tazama makinda kupitia azam TV kuna channel ya Liverpool tv...wanaonesha mechi za timu za academy...makinda Wengi wazuri wanakuja...Pitaluga ndo atamrithi Allison
Kiukweli mechi za Academy hata kwa mtutu sijakaa kuconcentrate kuangalia.
Huwa naziona sana wanarusha,ila lol
Hazina vibe hata.